Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri cha mwisho kwa Awamu ya Sita

Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri cha mwisho kwa Awamu ya Sita

Elias Msuya

Platinum Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
267
Reaction score
1,014
3fa52273-cfad-4581-a439-b4e98bdd38b5.jpg

Rais Samia Suluhu Hassan leo Julai 14, ameongoza kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri cha Serikali ya Awamu ya Sita kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

Kikao hicho kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Dk Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk Doto Mashaka Biteko, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka pamoja na Mawaziri wengine.

78b3b18e-af67-42b4-b1f0-275e56f4008c.jpg



23bd8cfc-f86f-45a3-bc2a-306a31ae5f5e.jpg
4430cf4d-a1ae-4bd2-a3d2-a8768ef83583.jpg

6bb94e8c-2419-4c6f-9539-ffd3d9897e52.jpg
7a916dd5-2d80-48dc-b966-3fbe56cb5098.jpg
9006b1d0-4923-4b35-ba7e-e97a81bdffbd.jpg
 
hakuna ayeweza kumwambia kuwa hili si sawa, yapo kuangalia matumbo yao
 
Hawana jambo lolote Kwa Taifa hili la maana zaidi ya kuangalia maslahi Yao tu.

Hapo hakuna watu wa maana ni wasaka fursa tu.
 
Back
Top Bottom