kikao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La 13, Mkutano Wa 5, Kikao Cha 6 Tarehe 03 Novemba , 2026, Asubuhi

    https://www.youtube.com/watch?v=7S-uLGhMxNs
  2. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa kwenye kikao ili watusuluhishe, nimewapa jibu ambalo hawato nisahau

    Baada ya kuvunja yale mahusiano, ghafla jioni napokea sim kwa namba nisiyo itambua. Baada ya maongezi kadhaa, nikakubali kwenda kuwasikiliza. Nilipo fika na baada ya kuwaelezea visa vya haka kabinti..... nikamalizia kwa kuwaambia kwamba "huu mwaka nataka niumalizie kwaajili ya kukamilisha mambo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Si kila maamuzi magumu yanahitaji kikao au go ahead ya watu wako, maamuzi gani uliyowahi kufanya lakini leo yamekupa matunda au hujajutia kuyafanya?

    Ni uamuzi gani mgumu uliowahi kufanya ambao hata watu walikuona wa ajabu, walikupinga, walikutilia mashaka, waliona unapotea, unakiuka tamaduni, lakini leo unajivunia kuuchukua ? Tuambie story yako, huenda ikawa funzo kwa mtu mwingine. 🔥💯
  4. USSR

    JamiiForums Tanzania Picha: Leo tarehe Oktoba 21, 2026 Rais Samia ameongoza kikao cha baraza la Mawaziri

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Oktoba, 2026.
  5. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Profesa wa Sayansi ya Siasa na Uongozi Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha baraza la Mawaziri

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Oktoba, 2026.
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo kushiriki kikao cha "The Face of Digital Democracy 2026", Copenhagen, 7/10/2026

    Oktoba 7, 2026, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica, Maxence Melo atashiriki kikao kazi cha "The Face of Digital Democracy 2026" Mjini Copenhagen kilichoandaliwa na Good Commons ambao ni umoja ulioanzishwa na JamiiAfrica kutoka Tanzania, IMS kutoka Denmark na Splice Media kutoka Singapore...
  7. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Tulichangishwa tone tone kwa ajili ya kikao cha Kamati kuu 15/09/2026

    Makamanda Shalom! Ni takribani siku 11 sasa taangu siku ambayo kikao cha kamati kuu cha Chama chetu kingetakiwa kukaa sasa mpaka leo hii hatujapewa taarifa kuwa kikao kitafanyika lini au pesa zimechepushwa kwenda kwenye kilimo cha Maparachichi? Makamanda tuulize viongozi pesa ziko wapi?
  8. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Makonda alitumia methodology gani kusema jezi ni mbaya? Au yeye mawazo yake ni sheria? Kikao cha wizara kinasemaje?

    Wakuu tupelekeni watoto shule.
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma (C-CEOs Forum) 2026

  10. 3

    JamiiForums Tanzania Nandy afafanua vazi la Miss Universe baada ya kikao na BASATA

    Mwanamuziki Nandy amevunja ukimya baada ya kukutana na walezi wa sanaa BASATA kufuatia mjadala mkubwa wa vazi alilovaa kwenye fainali za Miss Universe. Nandy amefafanua kuwa hakuwa utupu kama wengi walivyodhani, bali vazi hilo lilitengenezwa kwa kitambaa kinachofanana na rangi ya ngozi yake...
  11. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Wachagga:Agenda za kikao cha ukoo 2026 hizi hapa!

    Siku 80 tu zimebaki kabla ya wachagga kwenda kuhesabiwa huko kilimanjaro . Tabia ya wachagga kurudi kwao kwa gharama yeyote imekuwa kivutio na inasemekana kuna makampuni ya Utali yameanza kupata booking toka nje ili "wazungu waje kuona wachagga wakirudi kwao" kama wanavyokwenda Koga Tende...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Katibu Mkuu ACT Wazalendo yafanya kikao na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa

    Chama cha ACT Wazalendo kimefanya kikao baina ya Ofisi ya Katibu Mkuu na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa ya Simiyu, Mara, Kagera, Mwanza, Geita, Shinyanga na Mkoa wa Kichama Kahama kwa ajili ya kuweka mkakati wa pamoja wa ujenzi wa Chama Kanda ya Ziwa. Mbali na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndg...
  13. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Kwa hili suala la RC Chacha Kanda ya Ziwa tumeitisha kikao cha Dharura siku ya Jumamosi

    Sisi Wayebusi tumesikitishwa sana kusikia jambo hili na tumeshirikiana na Mwenyekiti wa Wanaume wa Kanda ya Ziwa kuitisha kikao siku ya Jumamosi kujadili hili jambo ambalo bwana Chacha amelianzisha. Wadau wengi wamepiga simu wakiwa na maswali kadhaa kuhusiana na Bwana Chacha wanaume kwa...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Katambi awaita Dudubaya, Pipytida kwenye Kikao Maalum

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobass Katambi ametoa wito maalum kwa baadhi ya Wasanii na watu maarufu mitandaoni kwa kikao maalum ambapo amesema ajenda atakazojadili nao ni za kiserikali na zitajulikana kesho. Kuptiia taarifa aliyotoa leo Septemba 1, 2026 Katambi amewataja wasanii...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La Kumi Na Tatu, Mkutano Wa Nne, Kikao Cha Nne Tarehe 01 Septemba, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=zPQSmOhrGS4
  16. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Ashiriki Kikao cha Bunge

    DKT. MWIGULU ASHIRIKI MKUTANO WA BUNGE Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Agosti 31, 2026 ameshiriki Kikao cha Nne cha Mkutano wa Nne wa Bunge la 13.
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La Kumi Na Tatu, Mkutano Wa Nne, Kikao Cha Nne Tarehe 31 Agosti, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=2XmXCILzRxk
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Katibu wa chadema ndiye aliyetakiwa kutoa tamko la uwepo au hairisho la kikao cha baraza kuu la chadema

    Kwani taratibu za vikao ndani ya CDM zimebadilika lini? kwa nini katibu wa Chadema hatumuoni kutoa tamko rasmi juu ya kikao cha baraza kuu?
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kikao maalum cha Kamati Kuu ya CHADEMA kufanyika Agosti 29, 2026

    TAARIFA KWA UMMA KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA CHADEMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinawataarifu wanachama, viongozi na umma kwa ujumla kuwa Kamati Kuu ya Chama itafanya kikao maalum kesho, Jumamosi tarehe 29 Agosti 2026. Kikao hicho kitafanyika katika ukumbi wa Makao Makuu...
  20. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania CHADEMA itisheni kikao cha dharura haraka sana tembeeni na upepo huu huu wa CCM kumalizana na Mbowe

    Mi ushauri wa bure tu, Ccm inapofanya uhuni wowote msajili anakaa kimya, wote tunajuwa Dr Nchimbi wanamfuta uanachama bila kupewa natural justice ya kusikilizwa na kujitetea. Sasa hoja yangu kwakuwa Mbowe si Chadema tena tangu alipoangushwa Uenyekiti na Tundu Lisu sina haja ya kueleza mengi...
Back
Top Bottom