Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,788
- 113,025
Baada ya kuvunja yale mahusiano, ghafla jioni napokea sim kwa namba nisiyo itambua.
Baada ya maongezi kadhaa, nikakubali kwenda kuwasikiliza.
Nilipo fika na baada ya kuwaelezea visa vya haka kabinti..... nikamalizia kwa kuwaambia kwamba "huu mwaka nataka niumalizie kwaajili ya kukamilisha mambo na mipango yangu muhimu sana"
Mara ghafla kikadakia eti "kwenye mipango yako namimi utanisamehe na tuendelee na maisha??"
Nikajibu kwamba..... mimi nazungumzia mipango ya muhimu na sio wewe...🤣
Kikao kimevunjika nimekiacha kinalia tu hapo, kanabembelezwa na mijimama flani hivi sijui mamazake wakubwa ama shangazi zake......🫤
Haka ndio kale ka Gen-Z kaliko nisevu eti "mubaba wangu"
Au nimekosea kutoa jibu wakuu...🤗