Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Mi ushauri wa bure tu, Ccm inapofanya uhuni wowote msajili anakaa kimya, wote tunajuwa Dr Nchimbi wanamfuta uanachama bila kupewa natural justice ya kusikilizwa na kujitetea.
Sasa hoja yangu kwakuwa Mbowe si Chadema tena tangu alipoangushwa Uenyekiti na Tundu Lisu sina haja ya kueleza mengi wote mnajuwa Mbowe siyo Chadema na machawa wake kama Yericko ni maafui wakubwa wa Chadema sasa Mungu amewapa nafasi ya kumalizana naye.
Itisheni kikao cha dharura chenye ajenda moja tu msikae zaidi ya lisaa limoja mvuweni uanachama Freeman Mbowe muone kama msajili atafunguwa bakyli lake, kwa sababu uhuni wa Ccm unafanyika hadharani na msajili hawezi kuleta fyokofyoko, sasa dawa ya wahuni ni kutambas na upepo wao, fukuza Mbowe sasa.