CHADEMA itisheni kikao cha dharura haraka sana tembeeni na upepo huu huu wa CCM kumalizana na Mbowe

Umeelewa nilichoandika? Soma upya.
Itisheni kikao cha dharura chenye ajenda moja tu msikae zaidi ya lisaa limoja mvuweni uanachama Freeman Mbowe muone kama msajili atafunguwa bakyli lake, kwa sababu uhuni wa Ccm unafanyika hadharani na msajili hawezi kuleta fyokofyoko, sasa dawa ya wahuni ni kutambas na upepo wao, fukuza Mbowe sasa.✔✔❕❗
 
Mi ushauri wa bure tu, Ccm inapofanya uhuni wowote msajili anakaa kimya, wote tunajuwa Dr Nchimbi wanamfuta uanachama bila kupewa natural justice ya kusikilizwa na kujitetea.

Sasa hoja yangu kwakuwa Mbowe si Chadema tena tangu alipoangushwa Uenyekiti na Tundu Lisu sina haja ya kueleza mengi wote mnajuwa Mbowe siyo Chadema na machawa wake kama Yericko ni maafui wakubwa wa Chadema sasa Mungu amewapa nafasi ya kumalizana naye.

Itisheni kikao cha dharura chenye ajenda moja tu msikae zaidi ya lisaa limoja mvuweni uanachama Freeman Mbowe muone kama msajili atafunguwa bakyli lake, kwa sababu uhuni wa Ccm unafanyika hadharani na msajili hawezi kuleta fyokofyoko, sasa dawa ya wahuni ni kutambas na upepo wao, fukuza Mbowe sasa.
Ushauri wako unaweza kuwa wa maana kama katiba ya Chadema inaruhusu kumfukuza mwanachama bila sababu. Huwezi tu kuiga maamuzi ya CCM kichwakichwa bila kuzingatia vipengele vya katiba ya chama chako.
 
Wakimvua anakimbilia Mahakama za Sisiemu! Mahakama itaweka zuio kesi itasikilizwa mwaka 2050!
 
Dk. Nchimbi aliitwa Kamati ya maadili twice haja show up angesikilizwa wapi? Ali opt kutojitetea CHADEMA mchukueni mwanachama huyo.
 
Mi ushauri wa bure tu, Ccm inapofanya uhuni wowote msajili anakaa kimya, wote tunajuwa Dr Nchimbi wanamfuta uanachama bila kupewa natural justice ya kusikilizwa na kujitetea.

Sasa hoja yangu kwakuwa Mbowe si Chadema tena tangu alipoangushwa Uenyekiti na Tundu Lisu sina haja ya kueleza mengi wote mnajuwa Mbowe siyo Chadema na machawa wake kama Yericko ni maafui wakubwa wa Chadema sasa Mungu amewapa nafasi ya kumalizana naye.

Itisheni kikao cha dharura chenye ajenda moja tu msikae zaidi ya lisaa limoja mvuweni uanachama Freeman Mbowe muone kama msajili atafunguwa bakyli lake, kwa sababu uhuni wa Ccm unafanyika hadharani na msajili hawezi kuleta fyokofyoko, sasa dawa ya wahuni ni kutambas na upepo wao, fukuza Mbowe sasa.
Unasema kuwa si Chadema tangu ashindwe uchaguzi halafu unataka afukuzwe Chadema. Lipi ni lipi?

Amandla....
 
Dk. Nchimbi aliitwa Kamati ya maadili twice haja show up angesikilizwa wapi? Ali opt kutojitetea CHADEMA mchukueni mwanachama huyo.
IMG-20260824-WA0073.jpg
 
Nafikiri its all about Chest Stamping. Unanijua mimi nani? you get my point.
Kumbuka barua ya Nchimbi kwa raisi ni siri na in any case ingetakiwa kutoa nafasi ya majadiliano kabla habari haijaenda public.

Lakini Nchimbi akafunga ukurasa wowote wa majadiliano kwa kutoa taarifa kwa uma. so kulikua hakuna any means ya kureverse chochote.

I think you get my point.
Walishashindwana, kinachowauma ni Dr Nchimbi amewawahi na kutumia lugha ya kudiplomasia "Amejiridhisha pasi na shaka yoyote kwamba Rais anatamanj mabadiriko"

Huki ndicho kinachowauma Nchimbi ameondoka kwa kumuweka uchi Mama kwamba hamtaku yeye, hakuna siri tena, uanachama wa ccm una faida gani kwa Nchimbi?

Kikubwa yeye ni mstaafu na atakuwa analipwa stahiki zake kama kawaida, , hii siyo hiyari ni sheria.
 
Mi ushauri wa bure tu, Ccm inapofanya uhuni wowote msajili anakaa kimya, wote tunajuwa Dr Nchimbi wanamfuta uanachama bila kupewa natural justice ya kusikilizwa na kujitetea.

Sasa hoja yangu kwakuwa Mbowe si Chadema tena tangu alipoangushwa Uenyekiti na Tundu Lisu sina haja ya kueleza mengi wote mnajuwa Mbowe siyo Chadema na machawa wake kama Yericko ni maafui wakubwa wa Chadema sasa Mungu amewapa nafasi ya kumalizana naye.

Itisheni kikao cha dharura chenye ajenda moja tu msikae zaidi ya lisaa limoja mvuweni uanachama Freeman Mbowe muone kama msajili atafunguwa bakyli lake, kwa sababu uhuni wa Ccm unafanyika hadharani na msajili hawezi kuleta fyokofyoko, sasa dawa ya wahuni ni kutambas na upepo wao, fukuza Mbowe sasa.
Wamuache tu,hana athari yoyote,ameshajivua nguo na ni wazi pale chadema hakua mtetezi wa haki na demokrasia,alikua akikitumia chama kufanya biashara.
Kwa sababu angekuwa ni mtu wa haki na kukumbuka kwamba kuna mashabiki na wanachama wamevuja maji na damu na wengine kupoteza uhai kipindi cha uongozi wake asinge jitenga na chama baada ya yeye kushindwa. Angekuwa mvumilivu na kuwaunga mkono wenxie hata kinafiki tu
 
Walishashindwana, kinachowauma ni Dr Nchimbi amewawahi na kutumia lugha ya kudiplomasia "Amejiridhisha pasi na shaka yoyote kwamba Rais anatamanj mabadiriko"

Huki ndicho kinachowauma Nchimbi ameondoka kwa kumuweka uchi Mama kwamba hamtaku yeye, hakuna siri tena, uanachama wa ccm una faida gani kwa Nchimbi?

Kikubwa yeye ni mstaafu na atakuwa analipwa stahiki zake kama kawaida, , hii siyo hiyari ni sheria.
Nchimbi kawafanya hivi maccm wote
downloadfile-7.jpg
 
Back
Top Bottom