Katambi awaita Dudubaya, Pipytida kwenye Kikao Maalum

Katambi awaita Dudubaya, Pipytida kwenye Kikao Maalum

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobass Katambi ametoa wito maalum kwa baadhi ya Wasanii na watu maarufu mitandaoni kwa kikao maalum ambapo amesema ajenda atakazojadili nao ni za kiserikali na zitajulikana kesho.

Kuptiia taarifa aliyotoa leo Septemba 1, 2026 Katambi amewataja wasanii akiwemo Godfrey William maarufu Dudubaya, Mwanamtandao Pipytida na wasanii wengine.

Wengine ni Gift Stanford Giggy Money na mwanamitandao Dotto Magari walioitwa ni pamoja na Burton Mwemba(Mwijaku), Juma Lokole, Maimartha Jesse, Anko T na wengineo ambao wameambiwa kufikia saa mbili asubuhi wafike Kituo Kikuu cha Polisi(Central) Dar es Salaam.

 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobass Katambi ametoa wito maalum kwa baadhi ya Wasanii na watu maarufu mitandaoni kwa kikao maalum ambapo amesema ajenda atakazojadili nao ni za kiserikali na zitajulikana kesho.

Kuptiia taarifa aliyotoa leo Septemba 1, 2026 Katambi amewataja wasanii akiwemo Godfrey William maarufu Dudubaya, Mwanamtandao Pipytida na wasanii wengine.

Wasanii wengi wa mziki wa kizazi kipya, bongo movie, na watengeneza mahudhui wamepewa uhuru wameutumia vibaya.

Siku hizi main content kwenye nyimbo nyingi za bongo flavor wasanii wanawaza tu "ngono", ma video vixen na wasanii wa kike nao washajitoa ufahamu. Lakini ipo taasisi ya BASATA hawa sijui wanafanyaga kazi gani!

Tunajikita kwenye mwamvuli wa kila mtu ana uhuru wa kuchagua na kuishi maisha yake, na mwamvuli wa wasanii wanachangia uchumi wa nchi
 
Wasanii wengi wa mziki wa kizazi kipya, bongo movie, naa watengeneza mahudhui wamepewa uhuru wameutumia vibaya.

Siku hizi main content kwenye nyimbo nyingi za bongo flavor wasanii wanawaz atu "ngono", ma video vixen na wasanii wa kike nao washajitoa ufahamu. Lakini ipo taasisi ya BASATA hawa sijui wanafanyaga kazi gani!

Tunajikita kwenye mwamvuli wa kila mdu ana uhuru wa kuchagua na kuishi maisha yake, na mwamvuli wa wasanii wanachangia uchumi wa nchi
Asa ndo vitu tunapenda kuona au kuvisikia mkuu
KWANI WE HUPENDI KUMUONA PIPY!?
 
KIongozi ana dukuduku lake anataka kulitoa
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobass Katambi ametoa wito maalum kwa baadhi ya Wasanii na watu maarufu mitandaoni kwa kikao maalum ambapo amesema ajenda atakazojadili nao ni za kiserikali na zitajulikana kesho.

Kuptiia taarifa aliyotoa leo Septemba 1, 2026 Katambi amewataja wasanii akiwemo Godfrey William maarufu Dudubaya, Mwanamtandao Pipytida na wasanii wengine.

Amewatumia nauli?
 
Back
Top Bottom