Waziri wa ulinzi wa Iran anakamilisha swali kuwa jana waliuwawa ni viongozi wakuu wa Hizbbolah waliuwawa ikiwa ni pamoja na kiongozi wao wa kijeshi,huu unamaana walikuwa kwenye kikao cha mwisho cha kujibu mashambulizi makubwa baada ya tamko la kiongozi wao mkuu baada ya simu kulipuka .
Hii...
Ni hali ambayo si yakawaida kwa hawa ndugu zetu chadema, Juzi hapa walikuwa wakiomba uchunguzi wa kifo Cha ndugu yetu Ally Mohammed Kibao uende haraka na Serikali yetu ikatekeleza Hilo.
Cha ajabu leo hii Mnyika anaitwa Polisi ili akatoe maelezo ya kiuchunguzi Polisi anashindwa kwenda kutoa...
NDUGU MOHAMMED ALI KAWAIDA (MCC) KUONGOZA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UVCCM TAIFA,17 SEPTEMBA 2024
📍UVCCM TAIFA
17 Septemba,2024
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) anatarajia kuongoza kikao Cha baraza kuu la UVCCM Taifa Leo tarehe 17 Septemba,2024 makao makuu ya...
Kama kawaida, Bunge linaendelea muda huu na ni kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza na mawaziri wanajibu hoja husika, tuwe pamoja kufatilia yanayojiri kutoka viunga vya mji wa Dodoma.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Uchukuzi kuendelea kulisimamia kwa karibu...
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema katika mwaka wa fedha wa 2024/2025 Serikali imetenga shilingi Bilioni 31 ili kuiwezesha Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) kushughulikia changamoto zinazoikabili sekta ya kilimo.
Amesema fedha hizo zitaiwezesha TARI kufanya ukarabati na ujenzi wa...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya CCM, inayokutana jijini Dar Es Salaam, Jumapili Septemba 01, 2024.
Wakuu,
Kikao cha Kamati kuu kilichokuwa kifanyike tar 2 Sep kimerudishwa nyuma hadi tar 1, na Nchimbi yuko katika kufanya maandalizi ya kikao hicho.
Kazi kwelikweli!
===
Kada wa CCM asemasema Nchimbi yuko katika maandalizi ya kikao hicho 'muhimu' hivyo wengine wangeendelea kufanya mdahalo...
Je, nini dhima ya Mhe Dkt Mwigulu Nchemba Waziri wa Fedha na Mhe David Kafulila Mkurugenzi wa Ubia nchini PPP kuwakusanya Viongozi hawa waandamizi wa Taifa hili?
ANTHONY MAVUNDE, WAZIRI WA MADINI, TANZANIA
Mwaka jana mwezi Septemba, nilifanya kikao na Taasisi za Fedha na Benki zote nchini chini ya mwamvuli wa Taasisi ya Umoja wa Benki nchini (TBA).
Madhumuni ya kikao kile ilikuwa ni kujadiliana kwa pamoja namna nzuri ya kuifikia sekta ya madini kwa...
Maroketi ya Hezbollah hapo jana yamerushwa maeneo nyeti sana ya Israel hasa kaskazini.Hali hiyo imemfanya Netanyahu aitishe kikao cha dharura kujadili mabadiliko ambayo yamezidisha hofu kote kote nchini humo.
Ving'ora vimewashwa kote kuwafanya watu kuingia kwenye mahandaki yao.Uwanja wa...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto BIteko leo tarehe 15 Agosti, 2024 ameshiriki kikao cha 19 cha pamoja cha Mawaziri wa Nishati ambao ni Wanachama wa Umoja wa soko la pamoja la kuuziana umeme na kuimarisha mifumo ya Gridi ya EAPP (Eastern Africa Power Pool) unaofanyika...
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: https://ikulu.go.tz
Leo naingia ofisini nimemkuta kijana wangu mmoja ana manung'uniko sana na nilitegemea awe na furaha sababu alitujulisha anaenda kuchumbia. Kummuliza shida nini akasema story ile ile inayotaka kufanana na nilichokiona humu jf Sikutegemea nilichokikuta ukweni
Dogo kaenda kule wamemwambia mahali...
Chama cha Umkhonto we Sizwe (MK) kinachoongozwa na Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma kimewasilisha maombi katika Mahakama ya Katiba kuzuia kikao cha kwanza cha Bunge kinachotarajiwa kufanyika Ijumaa Juni 14, 2024 kwa lengo la kuapishwa Wabunge, kufanya Uchaguzi wa Spika na Naibu Spika...
https://www.youtube.com/watch?v=vpTWLYk9aeU
Halima Mdee ahoji Uwanja wa CCM Kirumba kukarabatiwa kwa fedha za umma
Mbunge Halima Mdee amehoji uamuzi wa Serikali kuwa na mpango wa kuuboresha Uwanja wa CCM Kirumba kwa fedha za umma licha ya kuwa Uwanja huo unamilikiwa na Chama Cha Mapinduzi...
https://www.youtube.com/watch?v=k-4gMGsHRAk
SERIKALI YAIAGIZA TCRA KUFATILIA WANAOUZA VOCHA TOFAUTI NA BEI ELEKEZI
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema Serikali imetoa maelekezo kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.