PICHA: Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Dar es salaam

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.

Ameongoza Kikao kizito cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Dar. Ambapo hii inakuja akiwa Ametoka kufanya ziara nzito na yenye mafanikio makubwa sana kanda ya ziwa kwa Mikoa ya Simiyu na Mwanza. Ambapo akiwa katika ziara hiyo aliweza kuzindua miradi mbalimbali mikubwa ya maendeleo ambayo imeleta nuru na Tabasamu kwa wananchi wa kanda ya ziwa.

Ambapo miradi hiyo ni ile ya Maji, Miundombinu,Elimu N.k.pamoja na kuzindua kiwanda . Lakini pia Alikagua miradi mbalimbali na kutembelea maeneo mbalimbali pamoja na kuzungumza na wananchi katika mikutano ya hadhara. ambayo ilishuhudia mafuriko ya watu waliofurika kwa wingi kuwahi kushuhudiwa hapa Nchini. Hii yote ikitokana na kukubalika ,kupendwa na kuaminika mbele ya watanzania.

Sasa pasipo kupumzika wala kukaa Rais wetu Mpendwa Ameendelea na kuchapa kazi kwa kufanya na kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri. Ambapo ni katika vikao vya aina hiyo mambo mazito yenye kutoa muelekeo wa Nchi na masuala mbalimbali hujadiliwa. Hii ndio raha ya kuwa na kiongozi anayejua wajibu wake,aliyejitolea Maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watu.

Hii ndio Faida ya kuwa na kiongozi ambaye ametanguliza mbele maslahi ya wananchi. ndio maana anafanya kazi usiku na mchana paspo kupumzika wala kusema hizi ni siku za mapumziko. Muda wote Mama yetu yupo kazini. Kwake Maisha yake ni kwa ajili ya kuleta majawabu na majibu kwa watu,ni kwa ajili ya kuinua maisha ya watu, ni kwa ajili ya Kugusa Maisha ya watu na kuleta matokeo chanya. Muda wote Rais wetu Mpendwa anapanga mipango kwa ajili ya kuboresha Maisha ya watanzania.

Kwake ikulu ni Sehemu ya kutoa njia na kutoa maelekezo ya namna ya kutatua kero za wananchi,ikulu kwake ni Sehemu ya kuwashia taa ya kuangaza njia za watanzania katika uchumi wao na maisha yao. Kwake Ikulu ni Ofisi ya watanzania wote kwa ajili ya kotoa huduma na kuwapelekea Watanzania mahali walipo. Moyo wake muda wote upo kwa watanzania. Huo na hiyo ndio maana halisi ya Utumishi kwa ajili ya watu.
Screenshot_20250622-201141_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Wangekuwa wanajadili usalama wa wananchi tungewaelewa lakini hao ndio wanaopoteza watanzania.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.

Ameongoza Kikao kizito cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Dar. Ambapo hii inakuja akiwa Ametoka kufanya ziara nzito na yenye mafanikio makubwa sana kanda ya ziwa kwa Mikoa ya Simiyu na Mwanza. Ambapo akiwa katika ziara hiyo aliweza kuzindua miradi mbalimbali mikubwa ya maendeleo ambayo imeleta nuru na Tabasamu kwa wananchi wa kanda ya ziwa.

Ambapo miradi hiyo ni ile ya Maji, Miundombinu,Elimu N.k.pamoja na kuzindua kiwanda . Lakini pia Alikagua miradi mbalimbali na kutembelea maeneo mbalimbali pamoja na kuzungumza na wananchi katika mikutano ya hadhara. ambayo ilishuhudia mafuriko ya watu waliofurika kwa wingi kuwahi kushuhudiwa hapa Nchini. Hii yote ikitokana na kukubalika ,kupendwa na kuaminika mbele ya watanzania.

Sasa pasipo kupumzika wala kukaa Rais wetu Mpendwa Ameendelea na kuchapa kazi kwa kufanya na kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri. Ambapo ni katika vikao vya aina hiyo mambo mazito yenye kutoa muelekeo wa Nchi na masuala mbalimbali hujadiliwa. Hii ndio raha ya kuwa na kiongozi anayejua wajibu wake,aliyejitolea Maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watu.

Hii ndio Faida ya kuwa na kiongozi ambaye ametanguliza mbele maslahi ya wananchi. ndio maana anafanya kazi usiku na mchana paspo kupumzika wala kusema hizi ni siku za mapumziko. Muda wote Mama yetu yupo kazini. Kwake Maisha yake ni kwa ajili ya kuleta majawabu na majibu kwa watu,ni kwa ajili ya kuinua maisha ya watu, ni kwa ajili ya Kugusa Maisha ya watu na kuleta matokeo chanya. Muda wote Rais wetu Mpendwa anapanga mipango kwa ajili ya kuboresha Maisha ya watanzania.

Kwake ikulu ni Sehemu ya kutoa njia na kutoa maelekezo ya namna ya kutatua kero za wananchi,ikulu kwake ni Sehemu ya kuwashia taa ya kuangaza njia za watanzania katika uchumi wao na maisha yao. Kwake Ikulu ni Ofisi ya watanzania wote kwa ajili ya kotoa huduma na kuwapelekea Watanzania mahali walipo. Moyo wake muda wote upo kwa watanzania. Huo na hiyo ndio maana halisi ya Utumishi kwa ajili ya watu. View attachment 3379031

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Taifa Masikini pekee lenye Ikulu mbili zenye hadhi sawa, then tunakaa kutafuta Mchawi, hao Mawaziri hapo wanalipwa Perdiem kuwepo hapo Dar,
 
Muulize mama yako amejipangaje na uhaba wa mafuta baada ya Iran kufunga mlango bahari wa Hormuz?
 
Leo ndo nimeelewa kwa nini wana JF wengi hawakupendi
 
Mama yupo Makini na yupo tayari kimapambano kama Komandoo . Kwani wewe Umesahau namna alivyopambana kikomandoo mafuta yalipopanda bei kile kipindi? Au umesahau kuwa alikuwa anatoa ruzuku ya Billion mia moja kila mwezi katika mafuta? Mama ni mtu na nusu
 
Kwa hiyo unataka umaskini wako uje utolewe na serikali wakati wewe umekalia umbeya tu .
Wewe hapo ndugu zako ni matajiri? Wewe hapo mwenyewe uko idle ndio maana daily uko humu.Nduhu zako wangekuwa matajiri usingekuwa unakesha humu kuabudu binadaamu wenzako.
 
Back
Top Bottom