Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa:
Hamas haijawahi kufanya shughuli zozote katika Ukingo wa Magharibi. Tazama tu kinachoendelea huko Ukingo wa Magharibi. Siku baada ya siku tunashuhudia ukiukwaji wa haki. Na yote haya kwa ajili ya nini? Hamas haijawahi...
Tangu aapishwe Rais Samia amekuwa akihudhuria kila mualiko anaoupata kutoka nchi za nje na Jumuiya za Kimataifa. Lakini ajabu safari hii amemtuma Kassim Majaliwa kumuwakilisha na badala yake yuko Songea kuhudhuria tamasha la utamaduni!
Je ameogopa maandamano ya yule dada Mange ambaye alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.