Tangu aapishwe Rais Samia amekuwa akihudhuria kila mualiko anaoupata kutoka nchi za nje na Jumuiya za Kimataifa. Lakini ajabu safari hii amemtuma Kassim Majaliwa kumuwakilisha na badala yake yuko Songea kuhudhuria tamasha la utamaduni!
Je ameogopa maandamano ya yule dada Mange ambaye alikuwa...