barcelona

  1. Ngoja niwaambie ni Nini kimeiangusha Barcelona ungana nami niwajuze

    Barcelona ilikuwa klabu ya kwanza katika mchezo wowote kuingiza $1bn katika mapato ya kila mwaka lakin kwa sasa ina deni karibu $ 1.4bn na hii katika miaka ya karibuni. Barcelona imekuwa katika misimu yote mibaya baada ya usiku wa Berlin mnamo Juni 2015 iliposhinda fainali yake ya nne ya Ligi ya...
  2. Yule kocha wa yanga kutoka barcelona aliishia wapi?

    Imekuwa kurwa na dotto, Kipindi hiki Simba SC wamepoteana sasa katika kuwaweka sawa mashabiki wanadai kwamba wamechukua kocha wa REAL MADRID kocha wa RONALDO. Nakumbuka mwaka jana kipindi Yanga wamepoteana ikabidi wadai kwamba wana chukua kocha wa Barcelona Cedric 'Carzelona' Kaze Pia mwaka...
  3. M

    Ruvu Shooting ni Barcelona ya Bongo

    Kwa kweli Ruvu Shooting mlionyesha kiwango cha juu sana kimchezo katika mechi yenu na UTO ila tu bahati mbaya ile red card iliwatoa mchezoni. Na baada hapo ndipo UTO waka-take advantage ya number na matokeo ndio yakawa hivyo. Asanteni kwa kumbikiri Diara na sasa asubiri tu mimba za mapacha. I...
  4. H

    Mechi ya Barcelona na Sevilla kuhairishwa kuna kubwa la kujifunza

    Jana nilikuwa nasubiri game ya Barcelona na Sevilla nikaona imehairishwa nikataka kujua kumetokea nini? Katika kusoma sababu nikaona kwamba La liga waliomba chama cha mpira Spain ambao ndio kama TFF huku kufuta wiki hii ratiba ya game ya Barca na Sevilla sababu wachezaji wengi wamechelewa...
  5. Utata dili la Messi kwenda PSG, Perez adaiwa kutia mkono wake ili ampate Mbappe

    Punde baada ya Lionel Messi kutangaza kuondoka Barcelona, baadhi ya Wajumbe walianza kujiuzulu nyadhfa zao ndani ya klabu wakilalamika kusalitiwa na Rais Laporta Wengi wanadai dili la Messi kwenda PSG ni Rais Perez wa Real Madrid anahusika, wakiamini ndie aliemshauri Rais Laporta kwakuwa ni...
  6. Utata wagubika soka ya Hispania. Real Madrid na Barcelona watishia kugoma mechi zao kuoneshwa

    Soka la Hispania lipo chini ya Shirikisho lao la soka RFEF, ambao wao wana LA LIGA kama chombo huru kinachosimamia Ligi kuu na Daraja la kwanza Sasa kutokana na uhuru huo LA LIGA chini ya Javier Tebas wana mambo mengi wanafanya kinyume na mitazamo ya wengi, huku wakisema ni kibiashara zaidi...
  7. Barcelona yaishitaki PSG usajili wa Messi

    Barcelona yafungua kesi Mahakami kupinga usajili wa Lionel Messi kujiunga na PSG, wakidai klabu hiyo haiwezi kumsajili mchezaji huyo kutokana na rekodi mbaya ya mapata na matumizi ya klabu hiyo, ambapo wanaamini wakifanya hivyo watavunja kanuni ya Financial Fair Play. Mawakili wa Barcelona...
  8. Rasmi: Barcelona yatangaza Messi kuondoka Klabuni hapo baada ya kushindwa kuongeza Mkataba

    Barcelona imethibitisha kuwa Mchezaji wao mahiri, Lionel Messi ataondoka Klabuni hapo kutokana na vikwazo vya kimfumo na kifedha (Sheria za Ligi ya Uhispania) Klabu imesema yenyewe pamoja na Messi wamesikitishwa na hatua hiyo kwani awali pande zote mbili ziliridhia kuongeza mkataba wa Mchezaji...
  9. C

    Dortmund watengeneza zaidi ya €200m kwa mauzo ya wachezaji hawa

    Rejea kichwa cha habari Ousmane Dembele bought for €35 From STADE DÊ RENNES Sold For €135 to BARCELONA, PROFIT €100 Jadon Sancho bought for €7.8M from MANCHESTER CITY YOUTH ACADEMY Sold For €85M to MANCHESTER UNITED, PROFIT €77.2M Christian Pulisic from BORRUSIA DORTMUND YOUTH ACADEMY, Sold...
  10. C

    Ronaldo and Messi is it coincidence?

    ▪️Cristiano Ronaldo is 869 days older than Lionel Messi ▪️ Cristiano Ronaldo Jr is 869 days older than Thiago Messi ▪️Cristiano Ronaldo’ second son is named Mateo ▪️Lionel Messi’s second son is named Mateo ▪️Cristiano Ronaldo won his first international trophy on July 10 ▪️Lionel Messi won his...
  11. F

    Sijapendezwa kabisa na kufurahishwa na Jezi mpya za Barcelona

    Mimi ni mpenzi na mshabiki mkubwa wa Barcelona toka 1993 enzi za Hristo Stoichkov, Romario na kocha wa sasa hivi Muholanzi Koeman. Sijafurahishwa kabisa na muonekano wa Jersey ya Msimu wa 2021/22 kwasababu ya msalaba kifuani upande wa kulia. Barcelona itambue ina mashabiki wengi wa imani...
  12. Barcelona working on deal to unite Cristiano Ronaldo & Lionel Messi

    With Barcelona now confident Lionel Messi will stay at Camp Nou, president Joan Laporta is understood to be focusing on how to build a new super-team - and is working on a deal to bring Juventus forward Cristiano Ronaldo to the club. © Provided by 90min Ronaldo and Messi met in last season's...
  13. M

    Simba na Yanga waigeni Barcelona na Real Madrid katika mapato

    Hapa nchini timu mbili tu ndizo zinazowapa jeuri Azam tv,TFF. Yaani Simba fc na Young Africans (Yanga). Kwa kuwa viongozi wa timu hizi mbili wanachaguliwa na wanachama ni sawa na Barcelona na Real Madrid. Sasa ushauri kwangu kama ilivyo Hispania,viongozi wa timu mbili hizi wadai kuwa na...
  14. Klabu bingwa Ulaya: Je, Barcelona itafanikiwa kupindua matokeo?

    Baada ya kupokea kichapo kizito cha goli 4-1 kutoka kwa PSG katika Dimba la Camp Nou, Barcelona leo inatupa tena karata yake ya pili kuvaana na PSG ikiwa nyumbani katika uwanja wa Parc des Princes. Huu ni mchezo wa marudiano wa hatua ya mtoano ambapo katika mchezo wa kwanza Kylian Mbappè...
  15. Kocha wa Barcelona Ronald Koeman kutimuliwa?

    Kwa kadri ya kumbukumbu zangu huyu ndio kocha wa kiwango cha chini mno kuwahi kufundisha timu hii. Baada ya kutandikwa nyumbani kwao bao 4 na PSG namtabiria kufukuzwa.
  16. Luis Suarez na Barcelona blackmail

    Kumbe Suarez alipokuwa anataka kwenda Atletico Madrid. Barca wakamwambia na hiyo pia haturuhusu wachezaji wetu kwenda.. Suarez akawaambia mbona haipo Kwenye list ya klabu marufuku kuhamia kutoka Barca mliyonipa? Suarez akawatishia kui release hiyo list Barca wakaogopa ndo wakamuachia shingo...
  17. Baada ya kipigo cha goli 8-2 kutoka kwa Bayern Munich, Barcelona imemtangaza Ronald Koeman kuwa kocha mpya

    Ronald Koeman (57) ametangazwa kuwa Kocha mpya wa Klabu ya Barcelona ya Uhspania, akipewa mkataba wa miaka miwili na kulazimika kuacha kazi yake ya kuifundisha timu ya Taifa ya Uholanzi Koeman ambaye ni raia wa Uholanzi anachukua nafasi ya Kocha Quique Setien, aliyefukuzwa baada ya Barcelona...
  18. F

    FC Barcelona 2020/21 Jersey

    Ile Jezi ya msimu huu uliyoisha ilikuwa siyo nzuri kwasababu ilienda kinyume na tamaduni ya jezi ya Barcelona ikiwa na draft draft badala na michirizi ya vertical. Ndio maana hatukufanya vizuri. Jezi mpya ya msimu wa 2020/2021 imeshatoka. Jezi nzuri inapendeza inaakiskisi Barcelona yenyewe...
  19. Kichapo cha 'Shalubela' ilichokipata FC Barcelona kutoka kwa Bayern Munich kina Majibu tosha kwa 'Wanasiasa' wababe wa Afrika!

    Kipigo hicho kimetoa majibu yafuatayo kuwa... 1. Usimdharau Mpinzani wako 2. Usijiamini sana 3. Utajiri wako si mali kitu 4. Ubabe wako unaweza kukutokea puani 5. Unaweza ukawa na kila Kitu ila Mungu anaweza Kukukataa tu 6. Hakuna marefu yasiyo na Ncha 7. Upepo wako wa Kiumaarufu unaweza...
  20. Je, Barcelona wamestahili kipigo dhidi ya Bayen Munich?

    Mchezo robo fainal UEFA champion league wa Barcelona dhidi ya Bayern Munich. Tumeshuhudia Barcelona wakionyesha kiwango dhaifu na kisicho ridhisha kwa kuruhusu nyavu zao kutikiswa Mara nane(8) dhidi ya mawili(2). Swali kwenu je corona imechangia au ni ubovu wa kikosi na mbinu hafifu za Mwalimu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…