Bariadi is a town in Tanzania, East Africa. It is the capital of Simiyu Region, and the administrative seat of Bariadi District. Bariadi also refers to Bariadi Ward, an administrative unit in the district.
Watu wanne wamefariki papo hapo baada ya magari waliyokuwa wakisafiria kugongana usiku huu 12.7.2022, eneo la Nyaumata nje kidogo ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu. Kamanda wa Polisi Mkoa Simiyu, Blasius Chatanda ameiambia STV kuwa ajali hiyo imehusisha magari madogo ya abiria.
RPC mkoa wa Simiyu...
HATIMAYE KABURI KATIKATI YA BARABARA BARIADI LAONDOLEWA.. FAMILIA YARIDHIA YAKUBALI YAISHE
Zoezi la kuhamisha kaburi likiendelea
===
WIKI Moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila kuagiza kuondolowa kwa Kaburi lililokuwa katikati ya Barabara ya Nkindwabiye-Halawa, Familia ya Saguda...
Nimepokea taarifa kutoka kwenye chanzo chenye uhakika zikidai kuwa DC wa Bariadi amewashinikiza wananchi wa mtaa wa Mangaka wilayani Bariadi kupiga kura ya siri kuwaandika majina wachawi na wenye Fisi.
Takribani wiki tatu (3) zilizopita tulisikia habari za fisi kujeruhi na kuua watu kadhaa...
Watu 7 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa kutokana na ajali iliyohusisha lori aina ya Scania lenye namba za usajili T172 AUP, ambalo liligongana na Bajaj yenye namba za usajili MC 426 CFQ.
Watu saba wamefariki dunia na wengine nane wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha Lori kugonga...
Kwema wadau mimi kijana mfanyabiashara mdogo wa vinywaji baridi kama soda, maji n k. Lengo kuu la kuandika uzi huu ni kuomba ushauri wa kibiashara na kimaisha.
Nimepata wazo la kutaka kuhamia mjini Bariadi ili niendeleze maisha huko pamoja na biashara zangu
Kwa ambaye anapafahamu vizuri...
Hali ya sintofahamu imeikumba familia ya Mayenga Nigonzala, mkazi wa kijiji cha Kidinda Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu baada ya mkewe, Zawadi Sayi kuelezwa kujifungua mtoto mmoja, licha ya vipimo na maelezo ya awali ya madaktari kuonyesha alikuwa na ujauzito wa pacha.
Sintofahamu hiyo...
Taarifa zinasema kwamba kabla ya Uteuzi huu alikuwa Katibu mwenezi wa ccm Wilaya ya Tanga
Bado haijajulikana kama ana uzoefu mwingine wowote wala kiwango chake cha elimu
Moja kwa moja, naombeni mnisaidie ninataka kuhama hapa nilipo kwenda Bariadi na nataka nikifika kule nifanye biashara ya juice, bisi na matunda kwa delivery.
Je, aina hii ya biashara ninayofikiria kwa maeneo yale nimewaza sawasawa? Kama sio nipe mbadala, mtaji wangu ni 1M?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.