Baridi (Persian: بريدي, also Romanized as Barīdī) is a village in Surak Rural District, Lirdaf District, Jask County, Hormozgan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 40, in 10 families.
Katika uzoefu wangu wa sleepover hizi over the years nimenotice wanaume mnapenda baridi Sana yaani Full ac au mfeni usiku kucha.
Sipendi joto ila sipendi baridi. Kuna mchepuko huo kidogo usiku nife kwa pnemonia. Yaani mwili wote kama barafu ukigusa kalio kama umeshika barafu yaani.
Shida ni...
Tanzania yaingiza mhaho, imesema malumbano ya Msumbiji yasuluhusishwe kwa maongezi, yaani kama vipi hayo majihadi yasitishe kukata vichwa vya watu na kuitwa vikao vya kuwabembeleza.
Juzi kikao kimefanyika cha jopo kazi iliyobuniwa na SADC ambayo ilishauri majeshii yatumwe kule maana hayo...
Salutations kwenu!
Nipo Iringa wakuu baridi ni kali sana. Tangu nifike nimeona ngozi yangu ikiharibika sana sana.
Hapo kabla ya kuja Iringa, nilikuwa naishi Pwani. Nilikuwa sipaki mafuta na ngozi ilikuwa nzuri tu. Sasa baada ya kuja Iringa na kutokana na baridi nimekuwa napaka mafuta ya mgando...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.