basata

Ras Burqa, (“head of the blessing” in Ararbic) is a small bay on the Red Sea in the district of Nuwaiba, Egypt.
In 1985, Suleiman Khater, a lone Egyptian assailant, perpetrated the Ras Burqa massacre killing eight people.

View More On Wikipedia.org
  1. Cute Wife

    Pre GE2025 Wizara ya Habari na Michezo pamoja na BASATA kuja na Tamasha la Kadansee la Mama Samia!

    Wakuu, Uchawa ni kansa ambayo tunaulea, siku vikibumbuluka tutajita sana! ===== Kupitia ukurasa wake wa Insta@Gerson Msigwa ameandika haya; Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) tunakuletea Tamasha la Muziki wa Dansi liitwalo KADANSEE LA MAMA...
  2. Mindyou

    BASATA wameanzisha kipengele cha "Best Chawa Of The Year" kwenye tuzo. Hivi CCM mnatupeleka wapi?

    Wakuu, Yaani ni wazi kabisa kuwa serikali ya CCM ina-propagate hii idea ya Uchawa ionekane ni kitu cha kawaida. Hivi karibuni wameanzisha tuzo za wachekeshaji na ndani yake wanaweka kipengele cha BEST CHAWA OF THE YEAR. Yaani wakati mataifa mengine wana tuzo za mathematicians, astronomers...
  3. Mathias Byabato

    BASATA tafadhai katazame huu wimbo haufai

    Vijana jitahidi sana kufaya ubunifu ambao pamoja na kuburudisha jamani kaelimishe walau jambo lolote. katika group letu la ukoo imetupiwa hii clip nimesikitika sana. sioni ubunifu wowote na lengo la video hii au labda umri wangu. https://www.youtube.com/watch?v=SREbSNFduzs
  4. Damaso

    Basata mnafeli kwenye utendaji wenu wa kazi.

    Hawa viongozi wa Bar-Sata ni wa kukemewa na kila mtanzania mwenye akili timamu. Wamefungia wimbo wa Ney wa mitego kwa sababu ameimba "wanaokuja kututeka wanakuja kama Polisi" yaani kwa utashi wao wanadai na wanasema ni maneno yenye uchochezi. Lakini upande wa Polisi wenyewe wanakiri wazi kwamba...
  5. Cute Wife

    BASATA waufungia wimbo wa Nay 'Nitasema'

    Wakuu, Ila BASATA mmekuwa zaidi ya mizigo! Kwa hawa watu wote wanaotekwa na kuwataja polisi 🤣 🤣 au wenzetu hamjui Kiswahili. Mapana naona ndio utakuwa kiongozi kituko kuwahi kutokea tokea BASATA ianzishwe! Halafu serikali na CCM hamjifunzi, yaani mnarudia mambo yale yale ambayo yakuja ku...
  6. Vichekesho

    BASATA inaunga mkono kitendo cha Zuchu kuonesha dole la kati kwa mashabiki wa muziki?

    Hawa BASATA mbona hawaeleweki? Naona wamelaani mashabiki na wamesahau kumfungia Zuchu kwa kutukana hadharani. Je ishara ile kwao sio tusi? Au kwakuwa amesema mitano tena basi sheria za BASATA hazimhusu? BASATA waache kupendelea.
  7. D

    BASATA yalaani vitendo alivyofanyiwa msanii Zuchu jukwaani

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limelaani vikali kitendo alichofanyiwa Mwimbaji wa Bongo Flava, Zuhura Othman Soud cha Mashabiki kumtupia vitu jukwani katika Tamasha la Wasafi Festival lililofanyika Septemba 28, 2024 Mkoani Mbeya. Katika taarifa yake kwa Umma, BASATA imetoa rai kwa Wadau wa...
  8. Cute Wife

    Pre GE2025 Haya ndiyo makosa ambayo BASATA wanamtuhumu Nay wa Mitego kutokana na wimbo wake wa "Nitasema"

    Wakuu, Ndio walikuwa wanajitapa na uhuru wa kutoa maoni kuongezeka. Kauli za kichochezi inatakiwa kutolewa maana. Huku ni kutufanya mabubu wazi wazi. ====== HATI YA MAKOSA KOSA LA KWANZA Kutoa wimbo kwa walaji bila kibali, kinyume na Kanuni ya 25(1) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa...
  9. Erythrocyte

    Ney wa Mitego aitwa BASATA kujadili wimbo wake wa ‘Nitasema’

    Ni kutokana na Wimbo wake Kabambe unaozungumzia Utekaji wa watu kutupwa Ununio Namshauri aongozane na Mwanasheria wake. ======= Msanii Nay wa Mitego amesema amepokea barua ya wito kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), kufika kwenye kikao ili kujadili wimbo wake wa ‘Nitasema’ kilichopangwa...
  10. maroon7

    BASATA hawakuelewa matusi ya Harmonize mbele ya viongozi wa nchi?

    Katika vitu vya kushangaza ni hili la msanii harmonize kutaja matusi kwa makusudi tena kwa kurudiarudia bila ya kujali uwepo wa viongozi wa nchi siku ile ya yanga day. Nilitegemea angenyang'anywa kipaza sauti na waandaaji lakini ajabu haikua hivyo. Akaendelea tena na tena kutamka lile neno...
  11. Mr Why

    Diamond Platnumz ni Msanii mkubwa duniani, BASATA pamoja TASUBA kuna haja ya kumpongeza kwa jitihada zake za kukuza lugha ya Kiswahili

    Diamond Platnumz ni Msanii mkubwa duniani, BASATA pamoja TASUBA kuna haja ya kumpongeza kwa jitihada zake za kukuza lugha ya Kiswahili Diamond ni kijana wa Tanzania mwenye kiu ya kufikisha mbali Muziki wa Tanzania kuna ulazima wa kila mtanzania kuunga mkono jitihada zake za kukuza muziki wa...
  12. mwanamichakato

    Waziri wa Sanaa na BASATA, kuna baadhi ya nyimbo zinapaswa kutazamwa na kuzuiwa kuepusha uharibifu wa vizazi vyetu

    Utamaduni wetu ni tunu ya taifa Wasanii ktk nyanja mbalimbali wana nafasi kubwa ya kujenga, kuimarisha au kubomoa maadiri, miiko na mila pamoja na desturi. Pamoja na janga la mimba za utotoni. Dunia na nchi yetu bado tunapigana vita pana ya kutokomeza magonjwa ya kuambukiza yanayochochewa na...
  13. P

    SoC04 BASATA okoeni sanaa ya Tanzania

    Baraza la sanaa la Tanzania linahusika kwenye ukaguzi wa maudhui ya sanaa pamoja na utoaji wa hakimiliki ya kazi za sanaa za wasanii wa Tanzania. Baraza hili limekua likijitahidi kuhakikisha maudhui yanayowasilishwa kwenye jamii hayavunji maadili ya kitanzania kwa kufungia kazi za sanaa...
  14. BUSH BIN LADEN

    BASATA Na TCRA waache Double Standards

    Je, sababu zilizotumika kuzifungia nyimbo kama Kibamia na Nyegezi hazipaswi kuwa hizo hizo kukifungia kipindi cha Bao la asubuhi cha Bongo Fm(TBC Fm ya zamani). Naomba tujadili.
  15. Suley2019

    BASATA Watangaza kusitisha Shughuli za Sanaa na sherehe katika kumbi 504 Tanzania bara

    TAARIFA KWA UMMA KUSITISHA SHUGHULI ZA SANAA, SHEREHE NA BURUDANI KATIΚΑ KUMBI 504 ΤΑΝΖΑΝΙΑ BARA. Mnamo tarehe 19 Februari, 2024 Baraza lilitoa tamko la nia ya kusitisha huduma kwa kumbi 653 ndani ya siku 14 kwa wadau wote ambao hawatatimiza vigezo vya kuhuisha vibali vya kufanya shughuli za...
  16. Cute Wife

    Ni maadili gani aliyobomoa Zuchu katika shoo yake mpaka wamfungie kufanya mziki Zanzibar pamoja na kulipa faini?

    Wakuu, Watu tuache unafiki na ushabiki kwenye jambo hili. Zuchu kaharibu maadili gani kwenye shoo yake ya Zanzibar, ametukana tusi gani? Kipande alichoimba alisema hata ".... hata mumpe mku..." akaendelea zake kupiga shoo. Hiyo "Mku" ndio tusi? Tusi gani? Kuna anayeweza kuthibitisha kuwamba...
  17. B

    Nitawashangaa BASATA wasipomfungia ZUCHU hata miaka mtano kwa Uchache

    Kusema ukweli Msanii wa Bongo Fleva ambaye leo Tar 5 Machi 2024 amefungiwa kujiahughulisha na kazi za Sanaa ktk Nchi ya Zanzibar na viunga vyake amekoswea sana. Ndani ya Kisiwa cha Zanzibar Rais Mwinyi na Viongozi wenzake wanafanya kazi nzuri kuhakikisha anawaletea maendeleo wananchi na...
  18. UKWAJU WA KITAMBO

    Je, wasanii wanatambua misingi na sheria/miongozo iliyowekwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA)?

    Balaza la Sanaa la Taifa limekuwa likipokea simu za maswali na malalamiko kadhaa kutoka kwa waandishi wa habari na wadau wa Sanaa ambao kwa njia moja ama nyingine wameguswa na kuchukizwa na kazi za baadhi ya wasanii ambao wanaimba nyimbo zenye maudhui yasiofaa kwa jamii ama TAIFA letu la...
  19. Mjanja M1

    Mrembo wa Vidonge aitwa BASATA baada ya kupost video chafu mitandaoni

    Dada alie-trend mitandaoni kwa kijinadi kuwa ana vidonge vinavyoweza kumfanya Mwanaume akashindwa kuendelea na sex kitandani ameitwa na Basata. Mrembo huyo anaejulikana kwa jina la Pipy ameitwa Basata kwasababu ya kupost video inayomuonyesha akicheza wimbo huku maungo yake kwa kiasi kikubwa...
  20. S

    BASATA ni lini mtampa tuzo rais Samia kwa uwezo wake mkubwa wa kuigiza?

    Kwa miaka yote ktk harakati zake za kisiasa rais Samia alikuwa hajajipata kipaji chake. Lkn alipoingia ikulu ndipo kipaji chake cha uigizaji kikadhihirika na sasa kimekomaa. Alianza na movie ya "Royal tour" na leo ameweka wazi kuwa movie yake mpya iitwayo "Kijiji cha milele" inakuja sokoni...
Back
Top Bottom