basata

Ras Burqa, (“head of the blessing” in Ararbic) is a small bay on the Red Sea in the district of Nuwaiba, Egypt.
In 1985, Suleiman Khater, a lone Egyptian assailant, perpetrated the Ras Burqa massacre killing eight people.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Gharama za kujisajili BASATA kwa Msanii/Promota

    Gharama za usajili ni kiasi cha Tsh. 75,000/- ambapo fomu hupatikana kwa Tsh. 5, 000/-, Usajili 30,000/- na kibali cha kila mwaka 40,000/- Kwa upande wa Studio na wakuzaji wa Sanaa (Mapromota) gharama ni sawa na za Msanii isipokuwa tofauti huwa kwenye kibali, wao hulipa kiasi cha Tsh. 200,000/-...
  2. J

    Jinsi ya kujisajili BASATA kwa ajili ya kufanya sanaa

    Msanii anaweza kupata fomu ya usajili mtandaoni kwa kuingia www.basata.go.tz au kwa maafisa Utamaduni wa Wilaya na baadaye kujaza fomu na kuziwasilisha BASATA zikiwa zimeambatanishwa na wasifu binafsi (CV) wa Msanii husika
  3. M

    Natamani sana Siku moja Rais Samia Suluhu nae azisikie hizi nyimbo za Singeli na 'Matusi' yao kisha amalizane rasmi na BASATA

    Nimetoka Kusikiliza Nyimbo za Wasanii Wakubwa Watatu wa ' Singeli " hapa Tanzania nikajuta hata kwanini nilifungulia hiyo Redio ambayo TCRA nao wana Wajibu wa Kuisimamia. Maudhui ya Kimatusi ya Msanii A "Umo Umo akipanua tu Wewe ingiza Chuma cheusi Moto uwake " Maudhui ya Kimatusi ya Msanii B...
  4. N'yadikwa

    Hivi BASATA ipo kweli? Inafanya kazi gani kama nyimbo humu nchini ni matusi matupu, BASATA jikagueni kama mnatosha

    Soma haya mashairi ya nyimbo zinazopigwa kila uchao na watoto wetu wanasikiliza no wonder nimesoma huko Temeke watoto wanabakana sababu mojawapo ni manyimbo haya yasiyo na maadili. Kwaani BASATA mko wapi na mnafanya kazi gani kudhibiti hizi nyimbo....hawa wasanii si wamesajiliwa na ninyi? Kweli...
  5. W

    Gigy Money kafanya nini huko kwenye ziara ya Tumewasha na Tigo?

    Habari, Kuna clip moja nimeiona kwenye mtandao wa Instagram ikimuonesha mtu mmoja ambaye bila shaka alikuwa ni kiongozi wa tour ya jana ya WCB ya tumewasha na tigo waliofanya jijini Dododma akiomba radhi ya jambo linaloonesha sio la kiungwana na lisilokuwa na stahala lililofanya na "Msanii"...
  6. Replica

    BASATA nao wamshughulikia Gigy, yamfungia kujishughulisha na sanaa kwa miezi sita na faini ya milioni 1

    Baada ya mamlaka ya mawasiliano Tanzania(TCRA) kukifungia kituo cha televisheni cha Wasafi kwa kurusha maudhui ya utupu yanayomuonyesha msanii Gift Stanford Jushua maarufu kama Gigy Money, nalo baraza la sanaa Tanzania(BASATA) limeibuka na kumlamba adhabu ya miezi sita msanii huyo kutojihusisha...
  7. matunduizi

    BASATA mtusaidie huu wimbo jana umenajisi kitongoji chetu siku nzima

    Hizi nyimbo za watu wa pwani wanaimba kama watu wanakimbia mchakamchaka fulani hivi zinaitwa Singeli. Jana watoto wengi walipata vipaimara sasa kuna Nyumba moja walikodisha mziki ambao sauti Kitongoji chote ilizizima kana kwamba kila mwanakitongoji kavalishwa headphone kwa ile mdundo. Mdundo...
  8. Analogia Malenga

    BASATA: Hatujaufungia wimbo wa 'One Time' wa Lady Jaydee

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema taarifa za kuufungia wimbo wa ‘One time’ wa Judith Wambura maarufu kama Lady Jaydee si za kweli. BASATA wamesema walimuita kumpa maelekezo msanii huyo ikiwemo kufanya maboresho kwa wimbo huo, kuwasilisha BASATA kusikilizwa na kupewa daraja la...
  9. S

    Kwa hiki alichoimba Hamisa Mobetto, nitashangaa kama BASATA watamuacha hivihivi

    Yaani mtu anasema anawashwa, halafu tena anamwambia bwana wake apake vumbi la Kongo. Ina maana wasanii wetu upeo wao ni kwenye ngono tu, hawawezi kuimba kitu chengine. Mashairi kama ya kina Darasa, au kina Ferouz au kina Profesa Jay ndo yamepotea kabisa.
  10. GENTAMYCINE

    Serikali na BASATA upigeni marufuku upesi wimbo mpya wa Msaga Sumu kwani una Matusi matupu na si wa kimaadili pia

    Maneno yake ya Ubeti wa Kwanza kutoka Kwake Msaga Sumu. " Nina hamu ya Nyumba ya Kupanga " Kisha Mwanamke aliyemshirikisha anamjbu Msaga Sumu. " Nyumba yangu ina Vyumba viwili tu je, unataka vyote au nikupe Kimoja tu? " Msaga Sumu anaendelea. " Nataka Kimoja tu ila kama kina Vumbi...
  11. CARIFONIA

    Ni jinsi gani msanii anaweza kujisajili BASATA?

    Jamani nilikua naomba kujua ni jinsi gani msanii anaweza kujisajili katika Baraza la Sanaa na Utamaduni (BASATA),ili aweze kutambulika rasimi na kuweza kulinda haki za kazi zake. Kwa mwenye ufahamu naomba anieleweshe.
  12. Chief Mtangi

    Je, wasanii wa muziki wamekubaliana na uharamia (piracy) katika kazi zao?

    Uharamia (piracy) sio jambo jipya katika sanaa nchini, lilichangia kuanguka kwa BONGO MOVIE hasa baada ya mapato kupungua leo wasanii wamebaki kulaumu foreign films, TV shows and series wakati ukweli wanaujua dhahiri. Now jinamizi hili limeshika hatamu katika upande wa Bongo fleva, tangu...
Back
Top Bottom