Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia msanii Rajab Abdulkahali (Harmonize) kujishughulisha na kazi za sanaa kwa namna yoyote ile hadi atakapotekeleza maagizo aliyopewa, ikiwemo kulipa faini ya shilingi milioni tano (Tsh 5,000,000/=) na kushusha video ya wimbo wake wa "Kudos" kwenye...