BASATA yamfungia Harmonize kufanya Muziki, Nandy atozwa Faini

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia msanii Rajab Abdulkahali (Harmonize) kujishughulisha na kazi za sanaa kwa namna yoyote ile hadi atakapotekeleza maagizo aliyopewa, ikiwemo kulipa faini ya shilingi milioni tano (Tsh 5,000,000/=) na kushusha video ya wimbo wake wa "Kudos" kwenye mitandao ya kijamii.

Hatua hii imechukuliwa baada ya msanii huyo kubainika kusambaza video ya wimbo huo inayokiuka maadili ya Mtanzania na kuvunja heshima ya msikilizaji au mtazamaji, bila kutoa utetezi au maelezo mbadala kwa baraza hilo.

Kwa upande wa msanii Faustina Charles Mfinanga (Nandy), BASATA limemtoza faini ya shilingi milioni tatu (Tsh 3,000,000/=) kwa kosa la kuvaa nguo isiyokuwa na staha na inayovunja heshima ya mtazamaji wakati akitumbuiza kwenye fainali za Miss Universe Tanzania 2026.

Nandy amekiri kosa hilo, ameshusha video hiyo isiyozingatia maadili kwenye mitandao yake ya kijamii, amelipa faini hiyo, na sasa ameruhusiwa kuendelea na shughuli zake za sanaa chini ya uangalizi.

TAARIFA KWA UMMAMaamuzi dhidi ya wasanii wafuatao @harmonize_tz @officialnandy @director_kenny @.jpg

TAARIFA KWA UMMAMaamuzi dhidi ya wasanii wafuatao @harmonize_tz @officialnandy @director_kenny...jpg
 
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia msanii Rajab Abdulkahali (Harmonize) kujishughulisha na kazi za sanaa kwa namna yoyote ile hadi atakapotekeleza maagizo aliyopewa, ikiwemo kulipa faini ya shilingi milioni tano (Tsh 5,000,000/=) na kushusha video ya wimbi lake la "Kudos" kwenye mitandao ya kijamii.

Hatua hii imechukuliwa baada ya msanii huyo kubainika kusambaza video ya wimbo huo inayokiuka maadili ya Mtanzania na kuvunja heshima ya msikilizaji au mtazamaji, bila kutoa utetezi au maelezo mbadala kwa baraza hilo.

Kwa upande wa msanii Faustina Charles Mfinanga (Nandy), BASATA limemtoza faini ya shilingi milioni tatu (Tsh 3,000,000/=) kwa kosa la kuvaa nguo isiyokuwa na staha na inayovunja heshima ya mtazamaji wakati akitumbuiza kwenye fainali za Miss Universe Tanzania 2026.

Nandy amekiri kosa hilo, ameshusha video hiyo isiyozingatia maadili kwenye mitandao yake ya kijamii, amelipa faini hiyo, na sasa ameruhusiwa kuendelea na shughuli zake za sanaa chini ya uangalizi.

View attachment 3676729View attachment 3676730
Huyu ni chawa wa mama, Baraza litaishia kumwangalia tu
 
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia msanii Rajab Abdulkahali (Harmonize) kujishughulisha na kazi za sanaa kwa namna yoyote ile hadi atakapotekeleza maagizo aliyopewa, ikiwemo kulipa faini ya shilingi milioni tano (Tsh 5,000,000/=) na kushusha video ya wimbo wake wa "Kudos" kwenye mitandao ya kijamii.

Hatua hii imechukuliwa baada ya msanii huyo kubainika kusambaza video ya wimbo huo inayokiuka maadili ya Mtanzania na kuvunja heshima ya msikilizaji au mtazamaji, bila kutoa utetezi au maelezo mbadala kwa baraza hilo.

Kwa upande wa msanii Faustina Charles Mfinanga (Nandy), BASATA limemtoza faini ya shilingi milioni tatu (Tsh 3,000,000/=) kwa kosa la kuvaa nguo isiyokuwa na staha na inayovunja heshima ya mtazamaji wakati akitumbuiza kwenye fainali za Miss Universe Tanzania 2026.

Nandy amekiri kosa hilo, ameshusha video hiyo isiyozingatia maadili kwenye mitandao yake ya kijamii, amelipa faini hiyo, na sasa ameruhusiwa kuendelea na shughuli zake za sanaa chini ya uangalizi.

Hivi kazi ya baraza la sanaa ni ipi hasa ukitofautisha na hii ya kuwafungia wavaa uchi kwenye music..?
Kuna namna msanii ananufaika na naraza hili ili msanii ajidai maana kwa uelewa wangu baràza la sanaa ni kama taasisi ya wasanii.
 
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia msanii Rajab Abdulkahali (Harmonize) kujishughulisha na kazi za sanaa kwa namna yoyote ile hadi atakapotekeleza maagizo aliyopewa, ikiwemo kulipa faini ya shilingi milioni tano (Tsh 5,000,000/=) na kushusha video ya wimbo wake wa "Kudos" kwenye mitandao ya kijamii.

Hatua hii imechukuliwa baada ya msanii huyo kubainika kusambaza video ya wimbo huo inayokiuka maadili ya Mtanzania na kuvunja heshima ya msikilizaji au mtazamaji, bila kutoa utetezi au maelezo mbadala kwa baraza hilo.

Kwa upande wa msanii Faustina Charles Mfinanga (Nandy), BASATA limemtoza faini ya shilingi milioni tatu (Tsh 3,000,000/=) kwa kosa la kuvaa nguo isiyokuwa na staha na inayovunja heshima ya mtazamaji wakati akitumbuiza kwenye fainali za Miss Universe Tanzania 2026.

Nandy amekiri kosa hilo, ameshusha video hiyo isiyozingatia maadili kwenye mitandao yake ya kijamii, amelipa faini hiyo, na sasa ameruhusiwa kuendelea na shughuli zake za sanaa chini ya uangalizi.

Hizi faini mbona ndogo hivi kwa hawa wasanii si wanajiweza ?adhabu inapaswa kuwa kali wanaporomosha maadili sana na utamuduni wetu wapo uchi uchi tu kwenye video na manyimbo yao matusi tu yamejaa
 
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia msanii Rajab Abdulkahali (Harmonize) kujishughulisha na kazi za sanaa kwa namna yoyote ile hadi atakapotekeleza maagizo aliyopewa, ikiwemo kulipa faini ya shilingi milioni tano (Tsh 5,000,000/=) na kushusha video ya wimbo wake wa "Kudos" kwenye mitandao ya kijamii.

Hatua hii imechukuliwa baada ya msanii huyo kubainika kusambaza video ya wimbo huo inayokiuka maadili ya Mtanzania na kuvunja heshima ya msikilizaji au mtazamaji, bila kutoa utetezi au maelezo mbadala kwa baraza hilo.

Kwa upande wa msanii Faustina Charles Mfinanga (Nandy), BASATA limemtoza faini ya shilingi milioni tatu (Tsh 3,000,000/=) kwa kosa la kuvaa nguo isiyokuwa na staha na inayovunja heshima ya mtazamaji wakati akitumbuiza kwenye fainali za Miss Universe Tanzania 2026.

Nandy amekiri kosa hilo, ameshusha video hiyo isiyozingatia maadili kwenye mitandao yake ya kijamii, amelipa faini hiyo, na sasa ameruhusiwa kuendelea na shughuli zake za sanaa chini ya uangalizi.

Hii ni htu nzuri ili wahuni wengine wakoma.

Asante Sana Basata lakini mjiepushe na upendeleo kwenye kuchukua maamuzi
 
Back
Top Bottom