Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Dada ana yako Huyo amevaa bikini , ukimwona harmonizer kwenye Ile video kama Hana Amani hivi, anajishtukia, Ile facial expression sio kabisaMwenye video iyo ya kudos ya harmonize tuone

Ndio kazi yao kulinda heshima na utamaduni wetuBASATA ni washamba sana
Nguo ya nandy ya kawaida sana sana. Mwimbo kudos na yule mdada nayo ya kawaida sana sana sana!Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia msanii Rajab Abdulkahali (Harmonize) kujishughulisha na kazi za sanaa kwa namna yoyote ile hadi atakapotekeleza maagizo aliyopewa, ikiwemo kulipa faini ya shilingi milioni tano (Tsh 5,000,000/=) na kushusha video ya wimbo wake wa "Kudos" kwenye mitandao ya kijamii.
Hatua hii imechukuliwa baada ya msanii huyo kubainika kusambaza video ya wimbo huo inayokiuka maadili ya Mtanzania na kuvunja heshima ya msikilizaji au mtazamaji, bila kutoa utetezi au maelezo mbadala kwa baraza hilo.
Kwa upande wa msanii Faustina Charles Mfinanga (Nandy), BASATA limemtoza faini ya shilingi milioni tatu (Tsh 3,000,000/=) kwa kosa la kuvaa nguo isiyokuwa na staha na inayovunja heshima ya mtazamaji wakati akitumbuiza kwenye fainali za Miss Universe Tanzania 2026.
Nandy amekiri kosa hilo, ameshusha video hiyo isiyozingatia maadili kwenye mitandao yake ya kijamii, amelipa faini hiyo, na sasa ameruhusiwa kuendelea na shughuli zake za sanaa chini ya uangalizi.
Daaaa ila ile ya harmonise hapana aseee yule dada amejitoa akili kabisa
Kwa sisi wazee wa Bangbros vazi ni la kawaida saaaaana hili hamna kitu hapaNguo ya KAWAIDA SANA SANA!
Wanastahili hao si chawa wa mama,walipe tu tena hizo fain ni ndogo sana walipishwe fain kubwa hela za ccm wanazo nyingiBaraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia msanii Rajab Abdulkahali (Harmonize) kujishughulisha na kazi za sanaa kwa namna yoyote ile hadi atakapotekeleza maagizo aliyopewa, ikiwemo kulipa faini ya shilingi milioni tano (Tsh 5,000,000/=) na kushusha video ya wimbo wake wa "Kudos" kwenye mitandao ya kijamii.
Hatua hii imechukuliwa baada ya msanii huyo kubainika kusambaza video ya wimbo huo inayokiuka maadili ya Mtanzania na kuvunja heshima ya msikilizaji au mtazamaji, bila kutoa utetezi au maelezo mbadala kwa baraza hilo.
Kwa upande wa msanii Faustina Charles Mfinanga (Nandy), BASATA limemtoza faini ya shilingi milioni tatu (Tsh 3,000,000/=) kwa kosa la kuvaa nguo isiyokuwa na staha na inayovunja heshima ya mtazamaji wakati akitumbuiza kwenye fainali za Miss Universe Tanzania 2026.
Nandy amekiri kosa hilo, ameshusha video hiyo isiyozingatia maadili kwenye mitandao yake ya kijamii, amelipa faini hiyo, na sasa ameruhusiwa kuendelea na shughuli zake za sanaa chini ya uangalizi.
Wanapiga hela mbuzi itakua waliwaomba ushede wakavimba wakasema sasa subiri mtatoa kinamna yoyote ile muda umefika wamezifuata kinamna nyingineBaraza halina ela linafosi
VP mirabaha wanawapigania au kazi kuwapiga faini tu
Sio mtz yule kijana.Yule ni Mtanzania? Au alidhani watu hawataiona? Akishamaliza kutumika baadae atadai kuolewa na ma Simp🤣🤣
Km njaa zinawauma waseme tu ili waelewekeBASATA wana mambo ya kishamba.
Kwa hiyo msanii anaweza kuvunja maadili ya BASATA, akaitwa na BASATA, wakakubaliana BASATA imtoze faini ya sh 5m, akalipa, na BASATA wakamwambia akaendelee na kazi yake.Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia msanii Rajab Abdulkahali (Harmonize) kujishughulisha na kazi za sanaa kwa namna yoyote ile hadi atakapotekeleza maagizo aliyopewa, ikiwemo kulipa faini ya shilingi milioni tano (Tsh 5,000,000/=) na kushusha video ya wimbo wake wa "Kudos" kwenye mitandao ya kijamii.
Hatua hii imechukuliwa baada ya msanii huyo kubainika kusambaza video ya wimbo huo inayokiuka maadili ya Mtanzania na kuvunja heshima ya msikilizaji au mtazamaji, bila kutoa utetezi au maelezo mbadala kwa baraza hilo.
Kwa upande wa msanii Faustina Charles Mfinanga (Nandy), BASATA limemtoza faini ya shilingi milioni tatu (Tsh 3,000,000/=) kwa kosa la kuvaa nguo isiyokuwa na staha na inayovunja heshima ya mtazamaji wakati akitumbuiza kwenye fainali za Miss Universe Tanzania 2026.
Nandy amekiri kosa hilo, ameshusha video hiyo isiyozingatia maadili kwenye mitandao yake ya kijamii, amelipa faini hiyo, na sasa ameruhusiwa kuendelea na shughuli zake za sanaa chini ya uangalizi.
Mboni mimi naona video haina shida yoyote au ni njaa kali?
Hivi hio video na hii kuna tofauti gani? Mboni hii hawakuifungia? Njaa kali au?
View: https://m.youtube.com/watch?v=NVOuH9vDCXI