jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 11,860
- 12,071
🤣😂😆😹😄😅🤭Sasa wanafikiri Grammy italetwa kwa kuvaa kanzu na Rubega!?

Labda waseme harmonise kavunja maadili ya WAISLAMU SIYO YA WATANZANIABaraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia msanii Rajab Abdulkahali (Harmonize) kujishughulisha na kazi za sanaa kwa namna yoyote ile hadi atakapotekeleza maagizo aliyopewa, ikiwemo kulipa faini ya shilingi milioni tano (Tsh 5,000,000/=) na kushusha video ya wimbo wake wa "Kudos" kwenye mitandao ya kijamii.
Hatua hii imechukuliwa baada ya msanii huyo kubainika kusambaza video ya wimbo huo inayokiuka maadili ya Mtanzania na kuvunja heshima ya msikilizaji au mtazamaji, bila kutoa utetezi au maelezo mbadala kwa baraza hilo.
Kwa upande wa msanii Faustina Charles Mfinanga (Nandy), BASATA limemtoza faini ya shilingi milioni tatu (Tsh 3,000,000/=) kwa kosa la kuvaa nguo isiyokuwa na staha na inayovunja heshima ya mtazamaji wakati akitumbuiza kwenye fainali za Miss Universe Tanzania 2026.
Nandy amekiri kosa hilo, ameshusha video hiyo isiyozingatia maadili kwenye mitandao yake ya kijamii, amelipa faini hiyo, na sasa ameruhusiwa kuendelea na shughuli zake za sanaa chini ya uangalizi.
Ofisi zao zinachekesha kama hufanyi kazi paleHivi Huwa wanachanzo cha mapato chochote, usha ziona ofisi zao zilivo? hahaha, ninyamaze underground mie
Thread Ile Nami Niliona Hapa JFKuna mtu aliweka post humu kuwa baada ya kuhojiwa nguo yake ilikuwa sawa.
Walikuwa Pale Jirani Na New Africa Hotel, Postakuanzia logo ya basata mpaka office ni kituko
Ili na JF ifungiwe kwa kuchapisha maudhui yasio na heshima mbele ya wasomaji 😂 😂 😂 😂Mwenye video iyo ya kudos ya harmonize tuone
🤣🫵🫵 Kama hupajui unaeza pitilizaOfisi zao zinachekesha kama hufanyi kazi pale
Ya Konde au Uyo Binti?hio video ipo wapi tuione na sisi
Ya Konde au Uyo Binti?
Cheki juu hapo zipo video mbili. Ni hatari aiseeKonde
Bandiko lako lingependeza tungeona hilo vazi la huyo Nandi na hiyo video inayotueleza kuwa wimbo unaitwa Kudos wa kijana Harmo anayevaa vipini kwenye pua.Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia msanii Rajab Abdulkahali (Harmonize) kujishughulisha na kazi za sanaa kwa namna yoyote ile hadi atakapotekeleza maagizo aliyopewa, ikiwemo kulipa faini ya shilingi milioni tano (Tsh 5,000,000/=) na kushusha video ya wimbo wake wa "Kudos" kwenye mitandao ya kijamii.
Hatua hii imechukuliwa baada ya msanii huyo kubainika kusambaza video ya wimbo huo inayokiuka maadili ya Mtanzania na kuvunja heshima ya msikilizaji au mtazamaji, bila kutoa utetezi au maelezo mbadala kwa baraza hilo.
Kwa upande wa msanii Faustina Charles Mfinanga (Nandy), BASATA limemtoza faini ya shilingi milioni tatu (Tsh 3,000,000/=) kwa kosa la kuvaa nguo isiyokuwa na staha na inayovunja heshima ya mtazamaji wakati akitumbuiza kwenye fainali za Miss Universe Tanzania 2026.
Nandy amekiri kosa hilo, ameshusha video hiyo isiyozingatia maadili kwenye mitandao yake ya kijamii, amelipa faini hiyo, na sasa ameruhusiwa kuendelea na shughuli zake za sanaa chini ya uangalizi.
well done BASATA 🤝Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia msanii Rajab Abdulkahali (Harmonize) kujishughulisha na kazi za sanaa kwa namna yoyote ile hadi atakapotekeleza maagizo aliyopewa, ikiwemo kulipa faini ya shilingi milioni tano (Tsh 5,000,000/=) na kushusha video ya wimbo wake wa "Kudos" kwenye mitandao ya kijamii.