DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,021
- 30,904
As a man you must be grateful of feminism, things you used to pay a fortune to see via mapatano ya mahari and wedding, you now see them for free on social media
Huwa sifuatilii nyimbo za Kibongo, katika hili BASATA nawashukuru sana kwa kuu promote ule wimbo, maana baada ya promotion ya BASATA ilibidi niende kuuangalia.Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia msanii Rajab Abdulkahali (Harmonize) kujishughulisha na kazi za sanaa kwa namna yoyote ile hadi atakapotekeleza maagizo aliyopewa, ikiwemo kulipa faini ya shilingi milioni tano (Tsh 5,000,000/=) na kushusha video ya wimbo wake wa "Kudos" kwenye mitandao ya kijamii.
Hatua hii imechukuliwa baada ya msanii huyo kubainika kusambaza video ya wimbo huo inayokiuka maadili ya Mtanzania na kuvunja heshima ya msikilizaji au mtazamaji, bila kutoa utetezi au maelezo mbadala kwa baraza hilo.
Kwa upande wa msanii Faustina Charles Mfinanga (Nandy), BASATA limemtoza faini ya shilingi milioni tatu (Tsh 3,000,000/=) kwa kosa la kuvaa nguo isiyokuwa na staha na inayovunja heshima ya mtazamaji wakati akitumbuiza kwenye fainali za Miss Universe Tanzania 2026.
Nandy amekiri kosa hilo, ameshusha video hiyo isiyozingatia maadili kwenye mitandao yake ya kijamii, amelipa faini hiyo, na sasa ameruhusiwa kuendelea na shughuli zake za sanaa chini ya uangalizi.
Jifunze kitu..ukikuta unachangia Uzi kurasa za mbele..nenda kwanza kurasa za mwanzo itakusaidia sanaKwa hiyo msanii anaweza kuvunja maadili ya BASATA, akaitwa na BASATA, wakakubaliana BASATA imtoze faini ya sh 5m, akalipa, na BASATA wakamwambia akaendelee na kazi yake.
Hakuna cha amevunja kifungu gani cha sheria au kanuni za BASATA, wala hiyo faini YA 5m ni kwa mujibu wa kifungu gani cha BASATA. Ni mwendo wa BASATA imevuta mshiko baaaasi.
Hiyo adhabu ya 5m au 3m ni kwa mujibu wa kifungu gani cha kanuni za basata?Jifunze kitu..ukikuta unachangia Uzi kurasa za mbele..nenda kwanza kurasa za mwanzo itakusaidia sana
Soma unielewe..hoja zako zilikuwa ni hizo adhabu zinatolewa kwa nguvu gani ya kisheria...ndio nikukuambia ukiukuta Uzi njiani..soma ukurusa wa mwanzo...kwenye huu Uzi mwanzo lipo tangazo lenye vifungu vya kanuni na Sheria zilizopelekea hizo adhabu.Hiyo adhabu ya 5m au 3m ni kwa mujibu wa kifungu gani cha kanuni za basata?
Madhumuni ya kuwachaji pesa zote hizo, 5m au 3m, hasa hawa wasanii wetu wanaojitafuta ni nini?
Adhabu lazima iendane na uzito wa kosa na uwezo wa mkosaji kulipa
Wewe trafiki akikuandikia faini ya 5m kwa kundesha gari 65km badala ya 50km utaweza kulipa?
Hawa watu wamekuwa kama miungu fulani hivi...Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia msanii Rajab Abdulkahali (Harmonize) kujishughulisha na kazi za sanaa kwa namna yoyote ile hadi atakapotekeleza maagizo aliyopewa, ikiwemo kulipa faini ya shilingi milioni tano (Tsh 5,000,000/=) na kushusha video ya wimbo wake wa "Kudos" kwenye mitandao ya kijamii.
Hatua hii imechukuliwa baada ya msanii huyo kubainika kusambaza video ya wimbo huo inayokiuka maadili ya Mtanzania na kuvunja heshima ya msikilizaji au mtazamaji, bila kutoa utetezi au maelezo mbadala kwa baraza hilo.
Kwa upande wa msanii Faustina Charles Mfinanga (Nandy), BASATA limemtoza faini ya shilingi milioni tatu (Tsh 3,000,000/=) kwa kosa la kuvaa nguo isiyokuwa na staha na inayovunja heshima ya mtazamaji wakati akitumbuiza kwenye fainali za Miss Universe Tanzania 2026.
Nandy amekiri kosa hilo, ameshusha video hiyo isiyozingatia maadili kwenye mitandao yake ya kijamii, amelipa faini hiyo, na sasa ameruhusiwa kuendelea na shughuli zake za sanaa chini ya uangalizi.
Mkuu kwani Basata ni Taasisi kama ilivyo Tff inajitegema yenyewe ?Hivi Huwa wanachanzo cha mapato chochote, usha ziona ofisi zao zilivo? hahaha, ninyamaze underground mie
Taasisi ya kiserikali ila ina jitegemea kimajukumu, tff wako chini ya fifa na sio serikali, basata wapo chini ya serikali ila wana majukumu Yao kisheria na wanajitegemeaMkuu kwani Basata ni Taasisi kama ilivyo Tff inajitegema yenyewe ?
Hayo mataco mbona siku hizi hayana ajabu watu wajiona kila konaa, ni kupotezeana mda tu. Watu wanaona zaidi ya hayo 😅Watu wanataka kuona mataco...
Ukichukua Mfinanga unapata nan alfu dy ( dy itakuwa alitoa kwenye calculus, kwenye yale mambo ya dy/dx akaona achukue dy aachane na dx ) ndio akapata jina nandy Hivi jina Faustina Charles Mfinanga ilina adjustiwa vp hadi linakuwa Nandy
Ukichukua Mfinanga unapata nan alfu dy ( dy itakuwa alitoa kwenye calculus, kwenye yale mambo ya dy/dx akaona achukue dy aachane na dx ) ndio akapata jina nandy
Hivi jina Faustina Charles Mfinanga ilina adjustiwa vp hadi linakuwa Nandy
Kwahiyo hawapati rudhuku kutoka Serikalini kupitia Wizara usika?Taasisi ya kiserikali ila ina jitegemea kimajukumu, tff wako chini ya fifa na sio serikali, basata wapo chini ya serikali ila wana majukumu Yao kisheria na wanajitegemea
Nope nadhani wanapata, hao wako chin ya gavo kwanini wasipateKwahiyo hawapati rudhuku kutoka Serikalini kupitia Wizara usika?