Gharama za usajili ni kiasi cha Tsh. 75,000/- ambapo fomu hupatikana kwa Tsh. 5, 000/-, Usajili 30,000/- na kibali cha kila mwaka 40,000/-
Kwa upande wa Studio na wakuzaji wa Sanaa (Mapromota) gharama ni sawa na za Msanii isipokuwa tofauti huwa kwenye kibali, wao hulipa kiasi cha Tsh. 200,000/-...