Kilichonishangaza zaidi ni kiwango cha kipato alichokuwa anapata kupitia biashara hiyo ambayo ilikuwa inasimamiwa na kaka yake.
Yaani, alikuwa anapata dola bilioni kumi kwa mwaka, wakati pato la taifa lilikuwa chini ya dola bilioni tisa!!!
Kama ni kweli, hizi dhambi zinakuwaje?
Yaani, familia...
Kaburi hilo limelipuliwa na kuharibiwa vibaya mno na waasi waliochukua nchi kwa kumfurusha bashar al assad
Ikumbukwe hafez al assad aliwaua wasunni wengi sana wakati akitawala syria kwa mkono wa chuma ilibidi afanye hivyo sababu madaraka aliyapata kwa mapinduzi ya kijeshi
Hii habari...
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
===========
December 11, 2024
Tomb of Assad’s father set on fire in Syria hometown
Rebel fighters stand next to the burning gravesite of Syria's late president Hafez al-Assad at his mausoleum in the family's ancestral village of Qardaha in the western...
Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza baada ya wanamgambo kuuangusha utawala wa Assad huko Syria;
Kwanza, kimetokea kitu gani hadi Israel iivamie Syria bila uoga wowote.
Pili, kwa nini Israel iliivamia Syria siku moja tu baada ya kuanguka kwa utawala wa Assad. Kwa nini uvamizi huu haukufanyika...
Wadau hamjamboni nyote?
Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amedai kwamba Tehran inayo ushahidi unaoonyesha kuwa Marekani na Israel walipanga njama ya kuuangusha utawala wa Rais Bashar al-Assad wa Syria
Kauli hii ya Khamenei inakuja siku chache baada ya Rais Bashar al-Assad wa Syria...
Mwaka 1994 Bashar aliitwa nyumbani kutoka Uk alipokuwa akipata doctorate katika fani ya ophthalmologist. Mwito huu ni kutokana n kifo cha kaka yake Bassel katika ajali ya gari, Bassel ndio aliyekuwa akiandaliwa kupokea madaraka.
Baba yao dictator aliyebadilisha jina la ukoo wake kuwa al Asaad...
Assad na familia yake wamefika salama Moscow. Serikali ya Urusi yawapa hifadhi kuishi humo kwa muda wote.
===
Syria’s Bashar al-Assad and his family have arrived in Moscow and have been granted asylum by the Russian authorities, Russian news agencies report, citing a Kremlin source.
The...
Wakuu,
Waasi sio kwamba wameamua ku-deal na Bashar Al Assad tu, sasa hivi wamemkamata hata Wazri Mkuu wa nchi hiyo.
Kwenye video inayosambaa kwa kasi mtandaoni, Waasi wa kundi la Dara wanaonekana wakiwa wanamtoa Waziri Mkuu wa Syria kutoka kwenye ofisi yake ambayo ilikuwa ipo kwenye Hotel ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.