bashe

Bashe (Chinese: 巴蛇; pinyin: bāshé; Wade–Giles: pa-she) was a python-like Chinese mythological giant snake that ate elephants.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Bashe anaumwa nini kwanini inakuwa Siri?

    TAARIFA za kuumwa kwa Mheshimiwa Hussein Bashe zimetangazwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa lakini hadi sasa haijawekwa wazi anaumwa nini na amelazwa hospitali gani ili watanzania wenye nafasi waweze kumtembelea kama ni hospitali. Kwanini maradhi ya viongozi inakuwa siri lakini mtu akifa ndio...
  2. USSR

    Pre GE2025 Taswira ya waziri Bashe nje na ndani ya Nzega ni tofauti sana na ujuavyo

    Copy and paste Viongozi wengi wa kisiasa huwa wanajitengenezea taswira fulani ktk uongozi wao. Kwa mfano aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Sokoine, alijijengea taswira inayofanana kidogo na taswira ya wayahudi (wana wa Israel), taswira ya uchapa kazi na ushujaa dhidi ya mafisadi, kwa wakati huo wa...
  3. S

    Waziri Bashe ni mgonjwa sana ashindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Nzega

    MBUNGE wa Nzega Mjini na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ni mgonjwa sana na ameshindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyoifanya jana Jimbo la Nzega Mjini. Kwa mujibu wa Majaliwa amewaeleza wananchi hao kuwa Mbunge wao ni mgonjwa na ameshindwa kuhudhuria ziara hiyo ya Waziri...
  4. Mbepo yamba

    Bashe anawalaghai sana wakulima. Tapeli asiyeaminika

    Huyu mtu mwenye asili ya Somalia anaendelea kufuja hela ya ruzuku ya tumbaku kwa wakulima. Bashe ni kikwazo na taswira rasmi ya utapeli wa chama chake kwa watanzania
  5. Li ngunda ngali

    Kopotelea wapi Waziri wa kujionyesha bwana Bashe?

    Tokea apone na scandal ya sukari, haonekani kujivuna-vuna tena mzee wa kujifanya yupo makini. Bashe, hivi sasa ni nadra mno kumuona hata kwenye taarifa za Vyombo vya habari akifanya maonyesho yasiyo na mbele wala nyuma.
  6. Crocodiletooth

    Naomba kujuzwa, programu ya kilimo ya Waziri Bashe iliihusisha Zanzibar?

    Majuzi nilikuwa matembezini zanzibar, nilichokishuhudia ardhi yao si ya kutosha kwa kilimo kikubwa kile cha kimkakati, ambacho unaweza kuita kama kilimo haswa, Nikatafakari je haiwezekani kukapatikana vijana 300-500 wa kizanzibar wakaanzishiwa program ya kilimo, aidha Mkoani Morogoro au Tabora...
  7. clinton gidioni

    Kwako waziri wa kilimo, Hussein Bashe naomba msaada wako

    Kiukweli, unatupambania sana vijana na hakika unatutakia mema. Kijana yeyote anayejitahidi kupambana lazima ataona juhudi zako. Mheshimiwa, nimejitahidi kadri ya uwezo wangu, lakini nimeshindwa kufanikisha mambo kupitia fani na taaluma nilizonazo. Kwa sasa, nimeamua kuanza upya maisha yangu na...
  8. Mbepo yamba

    Hussein Bashe ataacha lini kuwahadaa watanzania kwa ruzuku ya tumbaku?

    Wana bodies, Serikali mwezi December 2023 ilitangaza bei elekezi ya pembejeo zote ambapo bei hizo zilikuwa na ruzuku . Wakulima wa zao la tumbaku walikuwa miongoni mwa wanufaika wa ruzuku hiyo na bei ingeshuka kwa kiwango cha kuridhisha Hata hivyo ulipofika wakati wa kulipa mikopo ya pembejeo...
  9. R

    Bashe anaingia bungeni kesho akiwa hana kashfa ya Sukari

    JAJI wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Anorld Kirekiano amemsafisha Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwenye kashfa ya utoaji wa vibali vya sukari baada ya kuitupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mpina Mbunge wa Kisesa. Bunge linaanza kesho huku Bashe akiingia bungeni akiwa ni Mr Clean hana kashfa...
  10. R

    Baada ya Nape, Makamba who's next, Bashe?

    Salaam, Shalom!! Utulivu kiasi umeendelea kutamalaki mioyoni mwa Watanzania wenzangu baada ya kuondoshwa Kwa waliokuwa mawaziri vijana wa Makamo / Wazee wachanga, Nape Nnauye na January Makamba. Hivi sasa, amebaki mmoja au wawili watatu kuelekea u haguzi mkuu, Leo tumwongelee mmoja, Ndugu...
  11. saidoo25

    Nakubaliana na Mpina Bashe na Mwigulu Wasimamishwe Kazi kesi zikiendelea mahakamani

    Nimesikiliza hoja za Mpina kuomba Mahakama iwasimamishe kazi Bashe na Mwigulu kupisha kesi zinazoendelea Mahakamani mimi nakubaliana naye kwa sehemu kubwa. Hebu Msikilize hapa Bashe baada ya kupelekwa Mahakamani na Mpina kwenye kashfa ya Sukari. https://youtu.be/LaM87hfLZWg?si=FAd5QAqQCiid8EUv
  12. Pfizer

    Waziri Bashe awalipua waliopiga pesa za tumbaku Tabora zaidi ya Sh. Bilioni 1.2 mbele ya Makamu wa Rais

    Dkt. Mpango aagiza wasakwe awataka NMB kumsimamisha kazi Mtumishi wake aliyekula njama, asikitishwa mtendaji kuuwawa kikatili. Watumishi wa umma na wengine 15 matatani, ataka taarifa zao zifike kwa Waziri Mkuu. Na Mwandishi wetu Makamu wa Rais wa Dkt Philip Mpango, ameshtushwa na taarifa...
  13. Stephano Mgendanyi

    Waziri Bashe ampa tano Mbunge Cherehani kwa kuonyesha uzalendo Sekta ya Kilimo

    Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amempongeza Mbunge wa jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani kwa kuendelea kuonyesha uzalendo katika kuendeleza sekta ya Kilimo. Waziri Bashe ameeleza hayo wakati akizungumza na Wananchi wa kata ya Ushetu akiwa kwenye ziara ya kikazi Mkoani Shinyanga ambapo...
  14. Mag3

    Kwa kumbukumbu tu kuna wakati Bashe wa CCM na Sugu Chadema waliweza kuongea lugha moja bungeni lakini hawakusikilizwa!

    Watanzania tu watu wa ajabu sana... https://www.youtube.com/watch?v=Y0Y24wdT9OI Sina cha kuongezea!
  15. Pfizer

    Waziri Bashe atua kibabe Kisesa na kukutana na Mbunge Luhaga Mpina ana kwa ana

    Na Mwandishi wetu WAZIRI wa Kilimo Mhe. Husein Bashe (mb) atua kibabe Kisesa na kukutana na Mbunge wa jimbo hilo Luhaga Mpina ana kwa ana. Amtaka mbunge huyo kuacha siasa katika zao la Pamba Kwani Serikali ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan, inahitaji kuona fedha zinazotengwa zinanufaisha...
  16. Yoda

    Hussein Bashe acha kufokea na kutishia raia walipa kodi kwa sababu ya kutopendezwa na ukosoaji wao

    Bashe fanya kazi yako na timiza wajibu wako, unalipwa kuleta masuluhisho katika sekta ya kilimo. Acha kufokea raia kwamba watu wanakosoa tu bila kuletea masuluhisho kwa hiyo unawanyima huduma za serikali kwa mamlaka yako uliyo nayo. Kwanza huna mamlaka ya kuwanyima huduma raia walipa kodi...
  17. S

    Kwenye mkutano wa Waziri Hussein Bashe leo kwenye Jimbo la Kisesa, wajumbe wajipanga kushikiniza kulipwa posho yao ya laki moja waliyoahidiwa

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe leo anafanya mkutano wa hadhara katika Jimbo la Kisesa mkutano unaotajwa kusubiriwa na hamu kubwa hasa baada ya kutangaza kuwanyima huduma za pembejeo za kilimo kama wananchi hao wataendelea kuungana na mbunge wao Luhaga Mpina kuwa kulaumu wakulima kuuziwa dawa...
  18. TheMaster

    Kwa kauli hii ya Hussein Bashe angekuwa kiongozi mwingine angekuwa ameshatenguliwa

    Kauli Chonganishi ya waziri wa kilimo Hussein Bashe kuhusu wananchi wa jimbo la kisesa, Jimbo halali lililo chini ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wananchi wake ni wananchi halali wa Taifa hili kuwa hatowapekekea pembejeo za kilimo, ni kauli tata, ngumu na isiyovumilika hata kidogo. Huko...
  19. Bila bila

    Hussein Bashe: Hatutapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi wa Pamba Kisesa

    Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali". Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo...
  20. Cute Wife

    Bashe kaletwa kututoa kwenye reli suala la utekaji na mauaji ya watu wasiyojulika pamoja na kesi ya afande, tusitoke kwenye reli

    Wakuu Salaam, Mtakuwa mmekutana na vijembe kvya Bashe na Mpina, tena naye kaanza kutumia vichambo kibasaaa, na Millard eti kaweka kaweka kichwa cha kimbea, soma hapa - Hussein Bashe: Luhaga Mpina uwe na shukrani kwa serikali, chezea sekta nyingine sio kilimo Hapa anajua lazima Watanzania...
Back
Top Bottom