Jana kupitia ITV habari tumeshuhudia viwavi jeshi vimeteketeza hekari zaidi ya 4500 za mpunga na mahindi huko Kilombero na wakulima wale wamedai hawana madawa kabisa. Najua mkuu wa wilaya katoa lita 50 za dawa ya kuua wadudu na RC katoa lita 40 jumla lita 90 kwa hekari 4500
Nakushauri Waziri...
Mh Bashe , wewe ni miongoni mwa mawaziri mnaochapakazi na zinaonekana, hongera sana.
Ombi langu kwako nalielekeza kwenye maduka ya pembejeo za kilimo na mifugo...kwakweli kumejaa makanjanja wengi sana. Wauzaji wao wengi hawana utaalamu wa kilimo au mifugo.
Na wale walio na wataalamu basi ni...
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa shirika la Umoja wa Mataifa la ufadhili wa maendeleo ya Kilimo duniani (IFAD) Bi. Jacqueline Machangu-Motcho ofisini kwake jijini Dodoma.
Mazungumzo hayo yalikuwa ni kuimarisha ushirikiano baina ya shirika...
Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, amekutana na kufanya mazungumzo na wawekezaji wa kampuni ya Pioneers Chemical Factory Co. Kutoka Nchini Saudi Arabia, wenye lengo la kuwekeza Katika uzalishaji na usambazaji wa mbolea Nchini.
Kikao hicho kimefanyika katika ofisi ya Wizara ya Kilimo jijini...
WAZIRI BASHE: TUKO KWENYE HATUA YA MWANZO YA MRADI WA KESHO IMARA.
"Nataka kukufahamisha kuhusu ‘Building a better tomorrow’ project Mradi huu uliopo hatua za mwanzo sisi wizara tutatenga fedha, kima cha chini 5B kwa kuanzia.
Kwasababu: Vijana hawaendi shambani na hawana motisha kuingia katika...
"Tunaanzisha vituo vya huduma ya pamoja katika maeneo ya Nyanda za juu kusini, katika mpaka wa Namanga pamoja na Dar es Salaam. Uanzishwaji wa vituo hivi unalenga vituo hivi unalenga katika kuongeza thamani ya bidhaa zetu za Tanzania na kuzipa hadhi katika masoko ya kimataifa ikiwa ni pamoja na...
Sisi ni wakulima tunaozalisha kwa mkataba kwa makubaliano na wakala wa mbegu za serikali yaani agricultural seed agency (ASA) yenye makao yake mjini Morogoro na matawi mikoani. Msimu wa kilimo wa mwaka 2021 tulifanikiwa kuzalisha mbegu na kuwauzia ASA kwa mujibu wa mkataba. Katika hali ya...
Serikali imewahakikishia wananchi kuwa hakuna mtu atakekufa kutokana na njaa ndani ya Tanzania.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amesema serikali ina akiba ya chakula inayokidhi mahitaji ya wananchi watakaokuwa na upungufu wa chakula...
Nilimsikiliza Waziri Bashe sijui ilikuwa ni ufunguzi wa kiwanda cha mbolea
pamoja na mambo mengi, kwenye hotuba yake alisema; Wataalam wa ofisi ya kilimo wakae na muekezaji wamuelekeze mahitahi ya mbolea inayoendana na udongo wa maeneo tarajiwa (target market) ili azalishe mbolea inayohitajiwa...
BASHE: SERIKALI KUUNGA MKONO SEKTA BINAFSI KATIKA UZALISHAJI WA MBOLEA NCHINI
Dodoma,
Naibu Waziri wa Kilimo *Mhe. Hussein Bashe mapema leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha mbolea cha INTRACOM kinachojengwa mkoani Dodoma.
Katika ziara hiyo, Bashe amebainisha ya kuwa...
📍🇹🇿NEEMA KWA WAKULIMA WA MAZAO YA NAFAKA
"CPB na NFRA zinanuanua nafaka 'CASH' bila kuwakopa wakulima Nchini, kwa Mwaka wa fedha 2021/2022 serikali imetumia jumla ya Bilioni 119 katika manunuzi ya mazao ya Nafaka kutoka kwa wakulima na vikundi vya wakulima. Mazao hayo yatauzwa katika Masoko ya...
Arusha, Tanzania.
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe ameeleza mafanikio yatakayopatikana kutokana na kufunguliwa Kwa vituo vipya vitano vya umahiri kwenye mikoa ya Arusha na Kilimanjaro ambavyo vimefadhiliwa na shirika la Maendeleo la Umoja wa mataifa yaani UNDP.
Naibu Waziri Bashe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.