bashiru ally

Bashiru Ally Kakurwa Tanzanian politician, diplomat and Member of Parliament. He was the Chief Secretary of Tanzania in the 5th Cabinet, appointed by President Magufuli into office February 26, 2021. Before he had been Secretary General of Chama Cha Mapinduzi political party in Tanzania, appointed by Magufuli into office on May 31, 2018. Prior to his appointment as party Secretary General, he was a lecturer at the University of Dar es Salaam.
During the first cabinet reshuffle under President Samia Suluhu Hassan he was dropped from his cabinet post and instead given one of the slots for appointed members of parliament on March 31, 2021.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Bashiru Ally Kakurwa rudi CUF, ongea na Lipumba ugombee Urais mwaka huu

    Ujumbe huu ni Kwa ajili ya ndugu Bashiru Ally kakurwa. Kwakuwa umepoteza Mvuto wa kisiasa basi rudi Nyumbani CUF ukagombee urais. PIA SOMA - CUF yaanza maandalizi mapokezi ya Dkt. Bashiru, yakiri ni mwanachama hai wa chama hicho, akilipia kadi yake
  2. Ni mstari gani wa kwenye biblia ukiosoma unaona unamfaa Dk Bashiru Ally Kakurwa

    Zab23 Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu ...nijapopita katika bonde la mauti sitaogopa. Yeremia 17:5 Amelaaniwa yule amtegemeaye mwanadamu
  3. Yuko wapi Dkt. Bashiru Ally?

    Alikuwa katibu mkuu wa CCM kipindi cha Magufuli. Yuko wapi?
  4. Kiutamaduni ndani ya CCM, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa ana nafasi kubwa ya kumrithi Kinana

    Ingawa mimi si mwana-CCM au mwanachama wa chama chochote cha siasa ndani na nje ya Tanzania, tangu utoto wangu nimekuwa nikifutilia siasa. Nikiwa na zaidi ya miaka 40 hapa duniani, nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa siasa na pia kushiriki kwenye chaguzi, kuanzia ule wa mwaka 1995. Wengi sasa...
  5. D

    Kwanini ripoti ya Dkt. Bashiru Ally imeendelea kufichwa? Rais Samia anaogopa nini kuliweka wazi?

    Shalom wajumbe wa JF. Mara tu baada ya kuingia madarakani 2015, Rais John Pombe Magufuli aliunda Kamati Maalum (ukipenda ita tume) ya kuchunguza mali za CCM nchi nzima. Kamati/Tume hii iliongozwa na Dk. Bashiru Ally. Kamati hii ilifanya kazi kubwa na kuja na findings na mapendekezo ikiwa na...
  6. R

    Sura mbili za Bashiru Ally Kabla na baada ya madaraka

    Madaraka hulevya, usimamini mtu isipokuwa Mungu! Msikilize bashiru Ally kabla ya kuwa na madaraka https://x.com/i/status/1793231455981805944 na baada ya kuwa na madaraka https://youtu.be/uSZFsmy-uQk
  7. Kwenye sakata hili la Bandari, Prof. Kabudi, Bashiru Ally, Humphrey Polepole jiandaeni kujibu mbele ya Mungu wenu kama mnamwamini

    Binafsi Imani Yangu kwenu haikuwahi kuwa na Shaka. Ukimya wenu kwenye suala hili la bandari bila kujali nafasi mlizopewa unadhibitisha kuwa hamko tofauti na watanzania wengi wanaotetea matumbo Yao. Haijalishi mnazo nafasi gani kwenye hii serikali. Ukimya wenu ni majibu tosha kuwa tuliwaweka...
  8. D

    Dk. Bashiru Ally usikae kimya, muokoe Cyprian Musiba

    Dk. Bashiri Ally, wewe ni Mwalimu wangu wa siasa ya sayansi pale UDSM na ulinipenda sana kwa hoja zangu. Uliwahi kusema darasani, ,"politic is dynamic". Somo hili ulilikuza sana kwetu hata kama haina mantiki yoyote kwa siasa za Afrika. Dk. Bashiru kama kweli ni mhafidhina naomba umsaidie Samia...
  9. J

    Bashiru Ally: Heshima ya nchi yetu imeshuka, tunadhalilika kwa njaa

    "Njaa inadhalilisha heshima na uhuru wa nchi, inatweza utu wa binadamu kwahiyo tatizo la mfumuko wa bei za vyakula ni tatizo ambalo tutake tusitake lazima tuongeze kiwango cha ubunifu kukabiliana nalo, hakuna ukomo wa ubunifu, wananchi wanakibiliana na tatizo hili. "Nilikuwa nazungumza na...
  10. Kigwangalla na Bashiru ni mapacha

    KIGWANGALA NA BASHIRU NI MAPACHA!! Jana Desemba 04, 2022 kwenye mitandao ya kijamii pameibuka mjadala kuhusu Mabehewa ya Reli yetu tarajiwa ya kisasa ulioanzishwa na Mbunge wa Chama chetu cha Mapinduzi CCM wa Jimbo la Nzega, Mheshimiwa Dkt Hamis Kigwangala. Niseme tu kama Mwanachama wenzake wa...
  11. Angeuliza Bashiru Ally juu ya behewa used, Dkt. Kigwangalla angemshambulia

    Wadau nawasalimu. Toka Serikali itangaze kuwa imenunua Mabehewa ya Treni ya Kisasa Mbunge wa Nzega Vijijini amekuwa Mstari wa Mbele kuhoji Upya wake. Kwa Tabia ya Kugwangalah Swali hili hili angeliuliza Balozi Bashiru Ally nina UHAKIKA Kigwangalah angeita PRESS kutaka Balozi BASHIRU ALLY...
  12. S

    CCM wameufyata kwa Dr. Bashiru Ally au mama ndiyo haungwi mkono na ccm?

    Ndugai alipotoa TAHADHARI kwa serikali ya wamu ya 6 kuwa nchi yetu itapigwa mnada endapo itaendelea kukopa fedha hovyo toka nje, CCM na jumuiya zake zote walimjia juu. Na hata siku anamwapisha mrithi wa Ndugai mama aliwashukuru wanaccm wa ngazi zote wakiongozwa na wenyeviti wa mikoa kwa...
  13. Tukio la Bashiru Ally na Mkutano wa Waziri wa Uchukuzi vimepangwa, shtuka!

    Kila kunapokuwa na jambo ka moto mara zote CCM huja na vijambo Ili kuwatoa wananchi kwenye umakini. Wote tunajua kuwa moja, kuna mgao mkali sana wa umeme ambao hata haueleweki, kuna mgao wa maji huku bili za maji zikiwa ni zile zile na kuna ucheleweshaji wa mishahara pamoja na ugawaji wa kihuni...
  14. CCM isimbeze Dkt. Bashiru Ally, na isitumie nguvu kumkabili

    WanaJf, SALAAM! Mara nyingi ikitokea viongozi wastaafu wa nafasi za juu kulalamikia jambo fulani kuhusu uendeshaji wa nchi - huja vijana wa chama maarufu kwa UVCCM na makundi mengine ya wanufaika wa enzi hizo kushambulia hoja, maoni na mtizamo wa mtu. Kama ilivyotokea kwa kundi la CDE Kinana...
  15. Bashiru Ally Kakurwa wa awamu ya 5 ni sawa na Isaack Maliyamungu wa Idd Amin Dada, au Joseph Goebbels wa Hitler, ashughulikiwe vilivyo

    Maliyamungu na Goebbels walikuwa ni majinamizi kwenye nchi zao. Walikuwa ni majini yaliyoshindwa kutosheka na damu. Walikuwa majitu makatili sana, yakasababisha nchi zao ziharibike kabisa. Bila shaka baada ya wao kufa, walibaki wengine, na hata sisi tunaye, anajijua
  16. J

    Wakulima tumpuuze Dr. Bashiru Ally hana jema kwa Taifa letu

    Hali isiyokuwa ya kawaida tarehe 17 Novemba, 2022 wakati wa mkutano wa wakulima Dr. Bashiru Ally aliongea maneno yenye chuki, kuvunja moyo na yenye uchochezi na kumgombanisha Rais na wakulima ili hali wakulima wanajua mazuri yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha muda mfupi...
  17. J

    Chuki na uchochezi wa Dr. Bashiru Ally kwa serikali ya Rais Samia

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa mkombozi kwa wakulima nchini, tunaona jinsi serikali inavyopambana katika kuwainua wakulima kwa kutoa mbolea za ruzuku, kufuta tozo zilizokuwa kero kwa wakulima nchini, kutafuta masoko ya mazao nje ya nchi; tumeshuhudia kwa...
  18. K

    Dkt. Bashiru Ally na Polepole walilewa madaraka

    Hii Dunia ni ndogo sana hawa DKT BASHIRU ALLY na POLEPOLE walifikiria watakuwa viongozi wa maisha. Ilifika wakati walikuwa wanatoa hongo na kununua wapinzani hasa wabunge na madiwani. Waliahidi vyeo kwa wapinzani wanaokuja CCM bila kujali uwezo wao na nchi kwa ujumla Walirekodi kwa kudukuwa...
  19. Kwanini Polepole asirudi chama chake cha asili (CHADEMA) na Bashiru (CUF)? Naona kama CCM kimewakataa kiufundi

    Polepole ni mwana CHADEMA mzuri na hajawahi kurudisha kadi yake, Bashiru ni mwana CUF kindakindaki. Wenye CCM ni kama hawawataki, kwanini wasiondoke? Sasa Chenge aliyekatwa na Bashiru na Polepole ndio anakuwa spika. Vifaranga wa bata (Polepole na Bashiru), hawawezi kukaa na vifaranga wa kuku
  20. Kumbe Bashiru Ally, Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM ni Mwanachama wa CUF?

    Kiukweli hili sikulijua wakuu, hivi iliwezekanaje mwanachama wa CUF kuteuliwa kwenye cheo kikubwa Kabisa cha chama kingine cha KATIBU MKUU? Ukweli huu umebainishwa na Bulembo aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazee wa CCM, ambayo iliwahi kushutumiwa na Kamati ya kuchunguza mali za CCM...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…