Ndugu zangu, matukio ya siku chache zilizopita mnaweza kuyachukulia kwa utani ila ni matukio serious sana ambayo yangeweza kuleta maafa makubwa.
Sitaongelea tukio la Simba kushindwa kufanya mazoezi wala Yanga kupeleka timu uwanjani maana kuna nyuzi nyingi zinazozungumzia hayo.
Mimi nitaongelea...
WATANZANIA
Pamoja na kushikwa na taharuki ya mliyoyafanya
Basi NENDEN kwenye press
Ombeen radhi kwa wananchi wote kwa upuuzi wenu
Hakuna aliefurahia hata mmojaa
Tulitarajia pamoja na mliyoyafanya mngeita waandishi WA habari Muombe radhi
Msiwe kimya kiasi hicho KUSHINDWA KUOMBA radhi
1. Unazini mwaka mzima ukija Mwezi huu ulivyokuwa mrahibu wa ngono unaharalisha ufuska wako kwa kuoa single maza ambaye unaachana nae miezi mitatu baadae (ungefunga ngono badala ya chakula ungekuwa umefanya cha maana)
2. Kila siku wala kwa meza migahawani ila leo eti unataka wakuwekee kwenye mkeka
Habari, huku Mtaani kwetu kuna jamaa amefariki baada ya kupata ajali ya kugonjwa na basi la Mwendokasi jioni mida ya saa moja, Machi 8, 2025 wakati anavuka kwenye Zebra.
Mashuhuda wanasema kuwa kuna Basi la Mwendokasi ambalo lilikuwa linapita njia ambayo siyo ya kwake, ilikuwa ikitokea Ubungo...
Anaingia JKT, anamaliza kozi za mafunzo, anapata Ajira Jeshi la Polisi .
Anaendelea kufanya kozi Kadhaa wa Kadhaa, anapanda vyeo ,na kweli anakua hata OCD .
Kama sio Sasa, ndivo ilivyokua .
Kwa namna hii Kwa nini tusijitungie Sheria za kutulinda dhidi ya kushatakiwa pale tunapotimiza majukum...
Nasihi tumia dakika 7 tu za urefu wa video hii utapata ukweli wote. Halafu ndiyo utajua kwanini waarabu wa Saudi Arabia wakiongozwa na MBS wameanza kuyasitukia magundisho ya Quran na Sunnah zake kuwa ni kikwazo cha maendeleo na ustawi wa jamii za binadamu...
Maana ya Ndoa
Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na mume mpaka mwisho wa maisha yao ya ndoa.
Aina za ndoa kwa mujibu wa sheria
Kuna aina mbili tu za ndoa zinazotambulika na sheria ya ndoa Tanzania
Ndoa ya mke mmoja na mume...
Kama kila anayefeli malengo anaambiwa akalime kwa nini kilimo kisifundishwe kuanzia chekechea?
Kifundishwe pote hadi IST ili wao nao wakifeli maisha wasije kusumbua motaani angalau wawe na option ya kulima maana imeonekana ni kimbilio na mkombozi na option kwa wote wanaofeli malengo ya maisha...
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Jordan mkoani Morogoro Magnos Mkinga (22) amefariki dunia katika stendi kuu ya mabasi ya Msamvu akidaiwa kuzidiwa ghafla na homa akiwa anasubiria usafiri wa kwenda Ruvuma.
Taarifa ya kifo hicho iliyotolewa leo Jumapili Machi 2, 2025 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
Kwenye hii picha unaweza kudhani ni picha ya kawaida tu ila kama itatokea upo zako porini na haujapata kufahamu kuna kitu gani mbele yako basi fahamu muda wako unahesabika.
Wapo watakaosema kuwa hapo hakuna kitu ila ukitazama kwa uangalifu utagundua kuna mzee baba ametulia anakupigia mahesabu...
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU KRISTO MFALME WA WAFALME
Kama ni kweli hawa watu weupe wanaipenda Africa na wanatupenda WA Africa bas wasimamishe misaada mara moja
Africa tunajiweza sana
Tuna uwezo wa kununua magari mazuri ya kila aina
Leo ungeuona msafara wa mama samia ndo...
Jana Yanga ameshinda kelele zimekua nyingi sana kutoka kwa mashabiki wa simba malalamiko yao yameanza kuanzia kwenye kupanga kikosi cha singida black stars na yameenda mpaka kwenye mambo ya gsm kuzamini timu zaidi ya mbili
Tukubaliane kwamba malalamiko yao ni ya kweli lakin je walishawahi...
Miezi miwili iliopita nikawa nimeamia nyumba moja hivi
Kwenye hiyo nyumba nikamkuta binti mmoja hivi sikujua kama ana mume
Kwa maana katika mazoea na kukaa hapo kwa wiki moja sikuwahi kuona kuna dalili ya kuwa na mume
Imepita wiki akaja jamaa yake ile usiku nakuta tu migunoo oohh shiiish...
Moja Kwa moja kwenye mada.
Mkuu wee ni MTU mzima Mwenye familia na watoto kama Mimi pengine umenizidi umri au nimekuzidi umri.
Umenipigia simu asubuhi ya Jana tumepanga fresh sana mipango na akuniambia kuna Kazi unataka unipe ambayo itanisogeza kimtindo nikakwambia Mimi nipo fresh kabisa...
Mambo vp wakuu,
Kutokana na nyuzi nyingi nazosoma humu ndugu zangu wengi wanapitia mazito kwenye mahusiano yao, swala la kukaa ndani nyumba moja bila kusemeshana, au mwanamke kuchepuka au kususiwa unyumba imekua too much.. inasikitisha sana.
Kwa kweli hali za mahusiano ni mbaya sana, sio...
Wakuu habari za usiku,
Natumai nyote mko salama.
Naomba kushare uzoefu mbaya nilioupata katika moja ya mabasi ya Alys Star yanayofanya safari za Mwanza - Dar.
Katika harakati za kutafuta mkate nikitokea pande za kanda maalum kurudi Daslam kupitia Mwanza usafiri ulikua shida kidogo mabasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.