Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000 unapata kilo ya nyama sawa na us dollar 4 wakati Switzerland anatumia takribani dollar 44 kwa kilo sawa Tz shilling 100,000/= plus.
Ndio, tunataka kujua kama mmeamua kuacha kwenda bar kwa maana chupa 2 mbili tu kwa kila siku 364 za mwaka mzima sio chini ya 500,000 kwa mwaka.
Ndio, tunataka kujua kama mmeamua kuacha kuchukua wale mademu wa Telegram kwa maana demu mmoja tuseme 30,000 mara tatu kwa mwezi ni sawa na 90,000 kwa...
Mimi ni mmoja wa wahanga waliohudhuria usaili wa somo fulani mkoa wa Kilimanjaro ambapo watahiniwa walikuwa zaidi ya 500
Usimamizi ni imara na mkali sana dhahiri jambo hili lipo makini.
Ila cha kushangaza ubora wa mitihani na upimaji ni hovyoo kabisa kwani sidhani kama watahitaji walimu...
Vitu vya kupewa Bure wewe unavinunua Kwa hela , hela yenyewe ndogo. Wenzako wanauziwa Dola elfu 30 Kwa mwaka wewe unauziwa Dola elfu moja Kwa mwaka. Huoni kwamba unapigwa?
Unazidiwa na wale wanaochukua bure Kwa sababu wamejipima wameona gharama halisi ni Dola elfu thelathini Kwa mwaka, hii Dola...
Wanabodi Hamjambo...
Ni Wazi Kila Serikali Duniani Nia Na Lengo Lake Ni Kuleta Maisha Bora Kwa Wananchi Wake. NA ndio Maana Moja Ya Slogan Katika Kupindi Cha JK ni MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA.
Katika Muktadha Huo, Kama Ningepata Nafasi Ya Kua Na Ushawishi Katika Chama, Bunge Na Serikali...
“Siri 12 Ambazo Matajiri Hawataki Uzijue”
Tunaishi katika dunia iliyoundwa na matajiri, kwa faida ya matajiri. Kila kitu, kuanzia vyombo vya habari unavyotumia hadi ushauri unaopewa, kimepangwa kwa makusudi kukuweka kwenye mbio zisizoisha za kutafuta maisha, huku wao wakizidi kupaa juu. Ni...
The total driving distance from Arusha, Tanzania to Nairobi, Kenya is 170 miles or 274 kilometers.(TravelMath Calculator).
The driving distance from Nairobi (NBO) to Arusha (ARK) is 160 miles / 257 kilometers, and travel time by car is about 3 hours 14 minutes. (Air Miles calculator)
Trippy
Kuna watu wanaugua nafsi zao wakimwona mjomba angu anafanikiwa katika juhudi zake za kulinda kikoba kwa wivu mkubwa.
Kama mnadhani ni rahisi sana, anzisheni chakwenu. Makamanda najua mnamwelewa sana kamanda wa anga, mjomba angu.
Makamanda msiache kutoa hela za uanachama, lipieni kadi zenu...
Maana kitendo cha kumuunga mkono Lissu ni wazi unapoteza kila kitu ndani ya CHADEMA.
Na jinsi ya Makonda alivyotanda Arusha sijui kama kupitia chauma ataweza kungara
Wanaume wenzangu!
Kila mwanamke ana wanaume watatu katika maisha yake.
Hii ndiyo hali halisi ya uchungu wa mahusiano ya kisasa: kila mwanamke ana wanaume watatu katika mzunguko wake. Nafasi yako kati ya hawa watatu itaamua jinsi anavyokutendea. Usipoelewa hili, kuna uwezekano mkubwa...
Habari wakuu! Nahitaji kufanya safari ya basi kutokea DSM mpka Gaborone Botswana mpaka! Naomba wenye ujuzi wa route na mabasi yanaoyoenda huko anijuze!
Huu ni mwezi wa sita au zaidi, petroli, diesel na mafuta ya taa yanashuka bei kila mwezi, hivi hamuoni au dharau?
Au mnangoja yapande ndio mlaumu?
Mkijua kulaumu mjue na kupongeza.
Mama mpaka achoke mwenyewe
Inakata sana unakutana na Mwanamke mzuri unamfeel unajaribu kumuapproach bahati mbaya bibie anakaza kwa sababu ya status uliyonayo anashow disrespect sababu tu huna kitu.
Kuna member humu alishawahi kuandika wanawake wazuri ni kwa ajili ya mwanaume mwenye power binafsi napenda kuwakumbusha...
Baba Levo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza kuwa;
Nimeiangalia GAME Kwa Upana Wake NA Kuangalia Kipato Cha Msanii Mmoja Mmoja Nimegundua Vitu Vitatu ..!
1 MZIKI HAUNA NGUVU YA KUKAA TREND WIKI TATU..!
Tafsiri Yake Ni Kwamba Msanii Anatumia NGUVU Kubwa Kupata HIT SONG Lakini Haidumu...
Msaada wenu tafadhali!
1. Basi gani linaenda Kampala saa tatu Asubuhi kutokea Bukoba?
2. Nauli yake ni shilingi ngapi?
Mara ya mwisho nilitoka Kampala hadi Mutukula kwa Ush 30,000 ambayo ni kama elfu ishirini za Kitanzania, japo walinianzia shilingi za Kiganda 40,000 lakini nilibargain hadi Ush...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.