Hivi mtu akisema, "Mimi kama...", anamaanisha nini? Basi mzee mwenzenu yamenikuta 🤔

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
23,984
Reaction score
51,055
Mimi kama... 🤔

Nilimchukia baba yangu baada ya kuniambia, "Mimi kama baba yako nina wajibu wa kukupa adhabu ukikosea...", mimi nikadhani labda yeye si baba yangu wa kweli.

Leo asubuhi, baada ya simu yangu kulia kwa sauti ya juu kanisani, "mchungaji aliniambia, Mimi kama mchungaji toka kanisani...", mimi nikagoma nikidhani labda yeye si mchungaji kweli, amesimama tu pale mbele ya kanisa (kumbuka hapa niko ugenini, hapa Sumbawanga).

Neno 'kama' linanichanganganya sana wakuu hasa mtu anaposema, "Mimi kama mwanamke", au "mimi kama mwanaume". Mi naona bora mtu aseme, Mimi mchungaji wako, Mimi mwanaume n.k.
 
View: https://vt.tiktok.com/ZSq2ay9yC/
 
Back
Top Bottom