secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
- #21
๐ฅ
๐ฅ
Vyema kabisa mkuu.Mtu anapotumia kama maana yake hajiamini kama ni mwenyewe
hivi na nyie huwa mnaabudu?Mimi nilimaliza jana mkuu!
Nimesoma thread Yako mwanangu kaja kaona nacheka peke angu๐ฅ
Mimi kama dereva wa hili gari naomba ushukeVyema kabisa mkuu.
Umewaza kama Mimi.
Hahaha ๐, Mimi mwanangu huwa akinikuta nacheka najifanya kukohoa kohoa ili asijue kuwa huwa nacheka.Nimesoma thread Yako mwanangu kaja kaona nacheka peke angu
Akishasema mimi 'kama dereva', maana yake yeye siyo dereva bali anaigiza (amevaa uhusika wa dereva) ๐Mimi kama dereva wa hili gari naomba ushuke
Mimi nikakataa ๐๐
Kutumia kama ni kukosa kujiamini
HakikaAkishasema mimi 'kama dereva', maana yake yeye siyo dereva bali anaigiza (amevaa uhusika wa dereva) ๐
Nipo nae hapaaa ๐๐Hahaha ๐, Mimi mwanangu huwa akinikuta nacheka najifanya kukohoa kohoa ili asijue kuwa huwa nacheka.
Mpe salamu zangu mkuu. Namtakia mafanikio maishani mwake ๐ฅNipo nae hapaaa ๐๐
Amina aminaa kaka ๐ ndegeeMpe salamu zangu mkuu. Namtakia mafanikio maishani mwake ๐ฅ
Amina dokda!Amina aminaa kaka ๐ ndegee
Nimekumbuka habari za SHIMO la TEWAAmina dokda!
Kule Kenya ukifanya kosa unaishia kwenye gereza la Shimo la Tewa.Nimekumbuka habari za SHIMO la TEWA
Nyimbo haichujiii mileleโบ๏ธโบ๏ธโบ๏ธKule Kenya ukifanya kosa unaishia kwenye gereza la Shimo la Tewa.
"...wake za watu hutongoza imejulikanaaa, jihadhari utaishiaaa, Shimo la Tewa...", Samba Mapangala (Dunia tunapita).
Cc Monetary doctor.
Acha tu mkuu. Huyu bwana alikuwa noma sana. Sichoki kumsikiliza.Nyimbo haichujiii mileleโบ๏ธโบ๏ธโบ๏ธ
Mm sio supapawa ni monetary daktaree ๐๐
Vitu vimeshapanda kichwani ๐Mm sio supapawa ni monetary daktaree ๐๐
Nimetuma wakusalimieKule Kenya ukifanya kosa unaishia kwenye gereza la Shimo la Tewa.
"...wake za watu hutongoza imejulikanaaa, jihadhari utaishiaaa, Shimo la Tewa...", Samba Mapangala (Dunia tunapita).
Cc Monetary doctor.