Ikitokea Lissu akashinda Kesi basi ulinzi wake uongezeke sana. Kuna watu hadi sasa washajipambanua wanaomba akutwe na Hatia

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,516
Reaction score
5,463
Hivi na nyie hua mnajiuliza ile kauli ya Kingai?

Ujue hii Nchi hata samia anaweza kupindisha pindisha kusema kua Lissu yupo mahakaman na akasema atahukumiwa kwa haki,..japo tunajua kesi kuanzia mwanzo hadi sasa ina maelekezo yake.

So Samia atazuga zuga kuonyesha uhuru vile,

Ila hadi sasa katika Taifa hili kuna watu wa 3 wa vyombo vikubwa vya ulinzi na usalama washajipambanua kua wao watafurahi na wanaombea Lissu afungwe..

Tukimuongeza na Mtumishi wa Mungu Mwaipopo wanakua wa 4.

Sa swali langu linakuja je Ikitokea uamuzi wa mwisho Lissu akaachiwa hamuoni Lissu atakua hatarini??

Yani kama Mkuu wa Polisi, Mkuu wa majeshi na Mkuu wa upelelelezi plus na mtumishi wameshajipambanua wanaombea afungwe jamaa je ikitokea akawa huru si hawatopenda je tunahakikishiwa vipi Lissu atabaki salama maana hawa watu wana vyombo vinavyobeba vyombo vya moto.. hata Mwaipopo si ana chui wake?

so kwa mazingira haya Usalama wa Lissu utakua hatarini sana.
 
nonsense 🐒
 
Kwa jicho la mbali lisu hakuonesha au kueleza njia watakauotumia kuzuia uchaguzi , mfano angesema mojakwa Moja wafuasi wake wasiende kupiga kura wakae nyumbani,

Kwasababu hakusema watatumia njia gani Mimi Kwa mtazamo wangu naona serikali iko sahihi kutafasili kuwa kile kilichotokea ndincho kilicho maanishwa ,
Na huo ni ukweli mchungu Kwa WANACHADEMA.
 
Ila unaamini Samia alipata kura 31m.
 
TUNDU LISSU ANAFANYA MAJUMUISHO YA MWISHO MAHAKAMANI

SEHEMU YA 4️⃣

Waheshimiwa Majaji, kama “publish” ni “sharing a writing or printing with a third party”, what about a video clip?

Waheshimiwa Majaji, video, pictures au television images are publication under the Cybercrimes Act.

Kwa bahati mbaya sijashitakiwa under the Cybercrimes Act (Sheria ya Makosa ya Mtandaoni), kwa hiyo “publishing” ya sheria ya makosa ya mtandaoni ibaki hukohuko.

Waheshimiwa Majaji, the term “publication” includes, under the Sheria ya Vyombo vya Habari, publication ina include usambazaji wa video.

Kwa bahati mbaya yao, sijashitakiwa chini ya Sheria ya Habari, kwa hiyo na hiyo “publication” ya Sheria ya Habari ifike hukohuko.

Waheshimiwa Majaji, nimeshitakiwa chini ya Penal Code, ambapo “publication” ni writings or printing.

Na hiyo Penal Code ipo chini ya Katiba, kwenye Ibara ya 13(6)(c), ambapo sisi raia tunalindwa na Katiba kwamba hatuwezi kushtakiwa kwa makosa yasiyokuwepo kwenye sheria.

Kama haikuwa makosa jana, hayawezi kuwa makosa leo.

Waheshimiwa Majaji, kwa heshima kubwa kwa mawakili ambao wamekuwa wakipambana na mimi kwa mwaka mmoja na nusu, kesi yao ilikufa siku ilipowasili — “dead on arrival”.

Kwamba mwaka mmoja na nusu tunajaribu kuthibitisha jambo lililotakiwa kujulikana siku ya kwanza.

Imenipa simanzi kubwa sana kuhusu mfumo wa haki jinai wa nchi yetu.

Mahakama zetu, polisi wetu.

Waheshimiwa Majaji, twende kwenye ushahidi wao sasa.

Swala hili limekuwa mojawapo ya maswala yaliyozua ubishi mkali mahakamani.

Kama nilivyosema, ilikuwa ni swala la kufa au kupona kwa kesi.

Ushahidi ukoje, Waheshimiwa?

Upande wa mashtaka waliita mashahidi wao:

PW1
PW2
PW3
PW16
PW17

Upande wa utetezi, mashahidi wote watano walipinga jambo hili.

Tuanze na ushahidi wao.

One notable thing in particular, with the exception of PW17, testified under oath that it was the accused who published a video on Jambo TV’s YouTube channel.

Ulikuwa ni mkanganyiko mtupu.

Walijichanganya, wakachanganyikiwa.

Tuanze na PW1, George Bagyemu.

Waheshimiwa Majaji, kwenye ukurasa wa 144 wa rekodi, PW1 anazungumzia hiyo video. Baada ya kuangalia vipande vipande vya hiyo video clip, aliamua kuwatafuta Jambo TV.

Maneno yanayofuata: “Who recorded the clip?”

Akiwatafuta Jambo TV walioirekodi hiyo video.

Kwa hayo maneno tu, hiyo video ilichapishwa na Jambo TV.

Ukurasa wa 144.

Na ukurasa wa 145 anasema aliyoambiwa na Jambo TV, kwamba anaijua/anaifahamu clip na kwamba hiyo imerekodiwa na mfanyakazi wake.

Anakubali mara ya pili kwamba aliyerekodi siyo mimi.

Anasema huyo mtu wa Jambo TV aliyerekodi yupo Dodoma.

PW1 alipiga simu kwa Kamishna wa Polisi Ng’anzi Dodoma kumjulisha aliyerekodi na eneo paliporekodiwa.

Kwa hiyo, PW1 chini ya kiapo anasema aliyerekodi siyo mimi.

WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
 
Also this must be mentioned not by way of condemnation,but by way of observation.
Waganga wa kienyeji, "manabii",masheikh wanakuwa employed,au wanakuwa deployed kutoa ushauri, even in such serious matters as asking an army general to resign.
So now we are told there is a record number of senior army officers who have suddenly decided that they are tired and they want to retire.
 
Hivi na nyie hua mnajiuliza ile kauli ya Kingai?

Ujue hii Nchi hata samia anaweza kupindisha pindisha kusema kua Lissu yupo mahakaman na akasema atahukumiwa kwa haki,..japo tunajua kesi kuanzia mwanzo hadi sasa ina maelekezo yake.

So Samia atazuga zuga kuonyesha uhuru vile,

Ila hadi sasa katika Taifa hili kuna watu wa 3 wa vyombo vikubwa vya ulinzi na usalama washajipambanua kua wao watafurahi na wanaombea Lissu afungwe..

Tukimuongeza na Mtumishi wa Mungu Mwaipopo wanakua wa 4.

Sa swali langu linakuja je Ikitokea uamuzi wa mwisho Lissu akaachiwa hamuoni Lissu atakua hatarini??

Yani kama Mkuu wa Polisi, Mkuu wa majeshi na Mkuu wa upelelelezi plus na mtumishi wameshajipambanua wanaombea afungwe jamaa je ikitokea akawa huru si hawatopenda je tunahakikishiwa vipi Lissu atabaki salama maana hawa watu wana vyombo vinavyobeba vyombo vya moto.. hata Mwaipopo si ana chui wake?

so kwa mazingira haya Usalama wa Lissu utakua hatarini sana.
Tunataka Lissu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa tupo wengi na HACHOMOKI!
 
Mungu-Atosha
 
Umshauri mtu ambaye kila siku anawagonga mawakili Tena kavukavu we kweli una uchizi narudia Tena Abadan aslani hakuna wa kumnyonga mnamchelewesha tuu kutoka gerezani
Mtu anayejiamini hapaniki kama Lissu. Au jana hujamsikia Jaji Ndunguru anamwambia, "Tuendelee hiyo nimeishaiandika"! Kila mara analialia, "Sina hatia, Sina hatia*! Halafu ninyi tuvimba macho eti anawashughulikia! Nyooooo!!
 
Sasa kwenye kujitetea unataka aseme Nina hatia?? Nini maana ya kujitetea?? Ulitaka asemeje ili aonekane ni mwamba. As long as anajitetea SINA HATIA ndo msitari anaotakiwa Aishi nao mzee au hujui lissu anachokifanya mahakamani
 
Hivi na nyie hua mnajiuliza ile kauli ya Kingai?

Ujue hii Nchi hata samia anaweza kupindisha pindisha kusema kua Lissu yupo mahakaman na akasema atahukumiwa kwa haki,..japo tunajua kesi kuanzia mwanzo hadi sasa ina maelekezo yake.

So Samia atazuga zuga kuonyesha uhuru vile,

Ila hadi sasa katika Taifa hili kuna watu wa 3 wa vyombo vikubwa vya ulinzi na usalama washajipambanua kua wao watafurahi na wanaombea Lissu afungwe..

Tukimuongeza na Mtumishi wa Mungu Mwaipopo wanakua wa 4.

Sa swali langu linakuja je Ikitokea uamuzi wa mwisho Lissu akaachiwa hamuoni Lissu atakua hatarini??

Yani kama Mkuu wa Polisi, Mkuu wa majeshi na Mkuu wa upelelelezi plus na mtumishi wameshajipambanua wanaombea afungwe jamaa je ikitokea akawa huru si hawatopenda je tunahakikishiwa vipi Lissu atabaki salama maana hawa watu wana vyombo vinavyobeba vyombo vya moto.. hata Mwaipopo si ana chui wake?

so kwa mazingira haya Usalama wa Lissu utakua hatarini sana.
Yes. Akishinda kesi maCCM wanaweza kumteka na kumpoteza.
 
Sasa kwenye kujitetea unataka aseme Nina hatia?? Nini maana ya kujitetea?? Ulitaka asemeje ili aonekane ni mwamba. As long as anajitetea SINA HATIA ndo msitari anaotakiwa Aishi nao mzee au hujui lissu anachokifanya mahakamani
Nikafikiri kwasababu hakuna kesi na yeye ni Mwamba na anajua hakuna kesi ya kumtia hatiani, angeoa maneno machache sana! Badala yake anaongea maneno meeeeeengi kama wanasiasa wakomonisti wa Cuba ya miaka ile!
 
Lissu ni mwanasiasa na ni wakili kilichopo anawafundisha Sheria anajitetea na pia anawagonga kavukavu. Labda Kama Nina argue na mjinga Kama wewe ndo nitaleta maneno machache ila when we talk about law Tena kwenye swala la utetezi wa kesii ya mchongo kama hii baasi maneno mengi ndo tija ya ushindi kwa lissu. Anything far??
 
Back
Top Bottom