Biashara ya mabasi kama sio mbunge au waziri basi achana nayo.

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
6,007
Reaction score
15,216
Kuna biashara zengine ukiziona kwa kuambiwa au kusikia bila kuingia unaweza kusema biashara ndio hii.

Kwa jinsi ilivyo sasa hii biashara ya usafirishaji ilivyo kama sio mbunge au waziri,unaweza kujikuta umefirisika.

Kwa nini naeleza ili japo wengi hizi biashara asilimia kubwa wanazani ni watu wa kawaida japo asilimia kubwa zina nyuma ya watu ambao niliosema kama kichwa cha habari na wengine ni wazi.

Sisi tuendelee na Hiace,Tata na bajaji maana ndio vyeo vyetu tumewekewa hapo.
 
Ungetoa sababu mkuu.

Maana Yutong inabebeba abiria 70.

Bei ya Dar - Arusha ni Tsh 50,000/=

Means kwa Route moja unakunja 3.5m

Ukitoa Gharama za mafuta ambayo ni 700k.

Posho ya Dereva wawili na Utingo 80k x 2 na Konda(dada) na Konda(Fundi) =100,000/= 260,000/=

Kwahiyo hapo kila Tripu unakunja faida 2.5m

Sasa kwanini ufeli mkuu? Ebu toa maelezo.
 
Inapendeza ufanye na kufahamu vizuri sana hapa JF.Ni bingwa wa kila kitu hapa JF sijui kama hata shamba la nyanya unafanya.
 
Mleta mada kamaaanisha. Kama siyo mtu mwenye jina hiyo biashara inachangaomoto nyingi sana.
Hasa barabarani. Ukiwa Mbunge/ waziri unaweka muamala kwa RTO Gari zako zisisumbiliwe
 
Biashara ya mabasi faida utaanza kuona baada ya miaka miwili.
Na wafanya biashara wengi wa hio biashara wanachukua mikopo kwenye banks...
 
We na yule mwenye boda boda anaulizwa anasema kila boda inaleta elfu 80 kwa siku.We ungekubari au ni wale chawa diplomatic wanao muogopa dudu baya linda mgongo wako.
 
Ungetoa sababu mkuu.

Maana Yutong inabebeba abiria 70.

Bei ya Dar - Arusha ni Tsh 50,000/=

Means kwa Route moja unakunja 3.5m

Ukitoa Gharama za mafuta ambayo ni 700k.

Posho ya Dereva wawili na Utingo 80k x 2 na Konda(dada) na Konda(Fundi) =100,000/= 260,000/=

Kwahiyo hapo kila Tripu unakunja faida 2.5m

Sasa kwanini ufeli mkuu? Ebu toa maelezo.
Basi linajaza Kila siku? umeweka Hela ya service? umeweka Hela ya kupigwa na makondakta? umeweka balance ya wanaoshukia njiani? Mgawo wa wakata ticket umeweka?
 
Back
Top Bottom