Auto-Marvelt
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 2,661
- 5,583
Kila biashara Ina changamoto zake kabla ya kuifanya inabidi uichunguze kwanza na uwe karibu na wazoefu, japo napingana na mkuu kuwa lazima uwe kiongozi.Ndiyo maana ya mjadala mkuu.
Kila biashara Ina changamoto zake kabla ya kuifanya inabidi uichunguze kwanza na uwe karibu na wazoefu, japo napingana na mkuu kuwa lazima uwe kiongozi.Ndiyo maana ya mjadala mkuu.
Ni kweli biashara si ya kila mtu ,mimi nachojua kila mtu amepewa karama yake! Wote tunaweza tukapewa mtaji sawa na biashara sawa lakini mmoja akafanikiwa na mwingine akafeli.Kila biashara Ina changamoto zake kabla ya kuifanya inabidi uichunguze kwanza na uwe karibu na wazoefu, japo napingana na mkuu kuwa lazima uwe kiongozi.
Sijakuelewa...We na yule mwenye boda boda anaulizwa anasema kila boda inaleta elfu 80 kwa siku.We ungekubari au ni wale chawa diplomatic wanao muogopa dudu baya linda mgongo wako.
Juzi Gvt imepiga kampeni sana sana kuwa Ujenzi unaendelea hiyo LoT wakaenda hadi akina Farhan Kihamu kutupa Update ya mradiUliza Watu Wa Mwanza SGR Mkandarasi Hayupo Site Muda Sana
Kuna biashara zengine ukiziona kwa kuambiwa au kusikia bila kuingia unaweza kusema biashara ndio hii.
Kwa jinsi ilivyo sasa hii biashara ya usafirishaji ilivyo kama sio mbunge au waziri,unaweza kujikuta umefirisika.
Kwa nini naeleza ili japo wengi hizi biashara asilimia kubwa wanazani ni watu wa kawaida japo asilimia kubwa zina nyuma ya watu ambao niliosema kama kichwa cha habari na wengine ni wazi.
Sisi tuendelee na Hiace,Tata na bajaji maana ndio vyeo vyetu tumewekewa hapo.