Kama hii picha ni authentic, yaani huyu mwamba alikuwa haigizi basi maisha ni magumu sana aisee na mwamba amekataa kufa kikondoo

Kama hii picha ni authentic, yaani huyu mwamba alikuwa haigizi basi maisha ni magumu sana aisee na mwamba amekataa kufa kikondoo

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
157813.jpg


Hakuna kilichokuwa promised kwetu wanaume, kila siku ni challenge mpya ya kutaka kuushinda uchungu na mateso

kila siku ni presha mpya, kila siku ni vita mpya, kila siku mpya ni upinzani mpya.
 
Maisha sio magumu kihivyo, ugumu unaletwa na kuona aibu katika utafutaji.

Kuna biashara ndogo tu, elfu ishirini inaweza kutumika kama mtaji:-​
  • Ukichoma mahindi utauza​
  • Ukitembeza mchicha utauza​
  • ukitembeza barafu utauza​
  • Ukitembeza matunda utauza​
  • Ukitembeza kahawa utauza​
  • Ukitembeza karanga utauza​
 
Back
Top Bottom