Kama hii picha ni authentic, yaani huyu mwamba alikuwa haigizi basi maisha ni magumu sana aisee na mwamba amekataa kufa kikondoo

Kama hii picha ni authentic, yaani huyu mwamba alikuwa haigizi basi maisha ni magumu sana aisee na mwamba amekataa kufa kikondoo

Watawala wa Africa bara la laana wamefanya wananchi wao wafanye yasiyowezekana,kifupi bara la afrika ni miujiza tupu,eti mtu anauza juice Kwa lazima anakuonjesha halafu anakudai hela(refer yule jamaa wa dar muuza juice za kibbe ambaye mpaka leo biashara imesimama😁😁
 
Kuna Mtoto anadaiwa ada shuleni huku Baba mwenye nyumba mlango kapiga komeo anadai kodi yake pale Mama watoto anataka hela ya saluni na vijora vipya na anakudai km alikukopesha minuno km yote, utaimba Hallelujah
 
refer yule jamaa wa dar muuza juice za kibbe ambaye mpaka leo biashara imesimama😁😁
Bongonyoso usipoishi hivyo hauwezi kuishi mjini, nakumbuka wakati naingia Chuoni mwaka wa kwanza miaka hio kuna Lecturer mmoja alikua Yankee tu hivi alipoingia kutupiga lecture akaja na risala ndefu sana ya nini kitatokea baada ya miaka 4 mbele baada ya kumaliza Chuo, imekuja kweli baada ya hapo kile alichokua anakisema ndicho baadhi kimewakuta so ni hivyo unauziwa juice kinguvu na unanunua utake usitake mjini hakuna cha kuonja labda sumu ya Panya
 
Huwa mnatiana matumaini ya kidwanzi....
Tatizo hampendi kuwambia wenzenu ukweli.
Mtoto wakishua huwez kuelewa hizi mbanga apo muhuni anapambana kuishi level zenu zakupambania wealth bado zinamkazia sisi watu wa tabora tunasemaga ku stay afloat
 
Maisha sio magumu kihivyo, ugumu unaletwa na kuona aibu katika utafutaji.

Kuna biashara ndogo tu, elfu ishirini inaweza kutumika kama mtaji:-​
  • Ukichoma mahindi utauza​
  • Ukitembeza mchicha utauza​
  • ukitembeza barafu utauza​
  • Ukitembeza matunda utauza​
  • Ukitembeza kahawa utauza​
  • Ukitembeza karanga utauza​
kwa comment hii uliyoiandika, piga magoti um-ombee sana mzazi wako
 
Nawe bado unabagua kazi za kufanya?
hakuna mtu anaebagua kazi za kufanya.. changamoto nikujua zinafanywaje na au unaanzaje.

hivi umeshinda na kulala njaa, unakutana na kazi ya kuchimba mtaro, unaifanyaje hiyo kazi?
 
hakuna mtu anaebagua kazi za kufanya.. changamoto nikujua zinafanywaje na au unaanzaje.

hivi umeshinda na kulala njaa, unakutana na kazi ya kuchimba mtaro, unaifanyaje hiyo kazi?
Wanaochimba mitaro wao wanafanyaje?
 
Back
Top Bottom