UNGA-New York: Samia Suluhu Hassan utakwenda? Basi, get prepared maana utakutana na haya.........

UNGA-New York: Samia Suluhu Hassan utakwenda? Basi, get prepared maana utakutana na haya.........

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592
Tunajua Deogratious Ndejembi ametangulia New York..

Vipi Samia Suluhu Hassan, The Butcher atakwenda kweli kuungana na wakuu wa nchi na serikali zingine halali duniani kwenye mkutano mkuu wa Baraza la Umoja wa Taifa - UNGA huko New York..?

Atakutana na zahama hii na CNN, BBC, SkyNews, Al Jazeera News, Bloomberg. NDTV nk..
HS4Wm3ZXYAAyrnz.jpg
HS9pQ9EWMAEsFUr.jpg
HS9pQ9DXgAAn0rx.jpg
Bi Kizimkazi Samia Suluhu Hassan, karibu NEW YORK..
 
Kwa mtazamo wangu, mwaka huu utaisha bila namba 1 kusafiri kwenda Ulaya na Marekani

Yeye ataishia Africa na Asia pekee
 
Mkuu wewe unaishi Malawi? Mbona alishakwenda makamu wake kumuwakilisha?
 
Sasa atakwenda wakati Yuko eda?
 
Ndiyo maana kuna waziri na naibu, Rais na makamu,ni ili kunapotokea dharura,makamu aweze kuifanya kazi hiyo,.
 
Kuna Nchi ilitaka kupeleka wajumbe 50 wamepewa visa watu watano tu Afrina watu wanachezea hela za walipa kodi bure.
 
Tunajua Deogratious Ndejembi ametangulia New York..

Vipi Samia Suluhu Hassan, The Butcher atakwenda kweli kuungana na wakuu wa nchi na serikali zingine halali duniani kwenye mkutano mkuu wa Baraza la Umoja wa Taifa - UNGA huko New York..?

Atakutana na zahama hii na CNN, BBC, SkyNews, Al Jazeera News, Bloomberg. NDTV nk..
View attachment 3676896View attachment 3676897View attachment 3676898Bi Kizimkazi Samia Suluhu Hassan, karibu NEW YORK..
nonsense 🐒
 
Back
Top Bottom