a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
Ni kweli kuwa wanafunzi wanaochaguliwa kusomea udaktari wengi wao huwa na ufaulu mkubwa/mzuri wa masomo yote hasa ya sayansi kwa kifupi ni wale ambao kichwani zipo ama ni wale waliokuwa vipanga huko masekondari,ndipo ukienda vyuo vya afya hasa kwa zamani ambapo vyuo vya afya vilikuwa viwili tu utakutana na vipanga watupu kutoka maeneo mbalimbali.
So kwa ufaulu huo mkubwa wanakuwa na options nyingi za kusoma kozi nyingine mbalimbali tofauti na KUSOMEA KOZI ya UDAKTARI kama wangetaka wangeweza kusoma kozi nyingine yeyote mana wengi wanakuwa ni wale WALIOFAULU MASOMO YOTE huko O-LEVEL na masomo ya sayansi huko A-LEVEL.
Kama lengo la kusomea udaktari ni ili UJE KUWA TAJIRI kupitia kuajiriwa katika vituo vya kutoa huduma za afya BONGO basi tegemea KUWA VERY DISAPPOINTED.
Na kama una HOFU YA MUNGU kwa maana ya KUMPENDA MUNGU NA KUCHUKIA UOVU kama una imani ya kuishi maisha ya kumpendeza Mungu na wanadamu na una penda siku moja baada ya safari ya maisha ya duniani UFIKE PEPONI usu ishie MOTONI KUCHOMWA MOTO.
N a kama una UBINADAMU na UTU una huruma na upendo kwa wanadamu,na unajua maana ya mtu kuwa MGONJWA HALAFU MASIKINI mana wagonjwa hawa wengi utakaowahudumia ni MASIKINI SANA yaani VERY VERY POOREST severe social constraints na hata kama sio masikini ,kama wewe tu binafsi unapenda kutenda HAKI na kuchukia KUTOMTENDEA MTU HAKI YAKE
Basi itakulazimu kuwahurumia wagonjwa na KUWASAIDIA sio kwa hata kuingia mfukoni kwako kuwapatia pesa ,kuwanunulia chakula,kulipia baadhi ya gharama za matibabu,dawa na kuwasaidia mavazi.
Na kuna wakati utalazimika hata kuwarudishia zawadi wanazokupa za fedha kama asante,yani mfano unamuhudumia mgonjwa masikini sana halafu huyo mgonjwa au ndugu ya mgonjwa hao wote wakiwa ni masikini sana yani hata nguo walizovaa zimechakaa na hawajabadilisha nguo wiki nzima,viatu vikuu ,wamechakaa lakini bado anatoa shilingi ELFU MOJA AU ELFU MBILI AU ELFU TANO anakupa kama asante ,kuna wakati utalazimika kumrudishia hiyo hela aliyokuwekea kwenye mfuko wa koti lako kwa lazima baada ya kukataa kupokea
Na baada ya kumrudishia pesa yake utajikuta wewe unamuongezea pesa ama una mpatia nguo zako na viatu vyako ambavyo huvitumii kule kutoka nyumbani kwako..
Tegemea kukutana na mgonjwa ambaye anakwambia hajala siku mbili au tatu kwa sababu hana hela ya kula na ananyonyesha
Tegemea kukutana na ndugu wa mgonjwa atakayekwambia hapa unaponiona hivi nimeuza kila kitu kumuuguza huyu mgonjwa mpaka kitanda na godoro na hapa nashindia andazi moja ama kipande cha muhindi kwa siku nzima.
TOFAUTI NA AGE MATE ZAKO WAKIWA KAZINI
Ambao walisoma fani nyingine za site yeye akienda site anarudi na posho za kutosha,Kwa wewe daktari tegemea kwenda kazini na pesa yako ya kula ama lunch box yako lakini tegemea kurudi nyumbani MIKONO MITUPU zaidi ya yote hata ile lunch box yako ya bites chakula ulichobeba ukale kazini au hata ile hela ya chakula tegemea vyote unaweza jikuta umewagawia wogonjwa masikini wahitaji kweli unakuta mama amejifungua hajala siku mbili na ananyonyesha na ametelekezwa ama mgonjwa masikini hana hela ya chakula wala ya matibabu.
UKITANGULIZA MASLAHI YAKO BINAFSI
Ndipo hapo sasa utajikuta unakuwa SHETANI MWENYEWE kabisa,unaanza kuwaomba pesa wagonjwa hawa masikini ili uwahudumie RUSHWA na utajikuta unakuwa muuaji badala ya kuwatibu,ikiwemo criminal abortion huo ni u uwaji,ikiwemo kuwacheleweshea huduma,na UTACHOMWA MOTO SIKU YA MWISHO YA HUKUMU kwa kutowatendea haki wagonjwa ambao hawakuwa na rushwa ya kukupa,ama kuwa na UPENDELEO kuwajali zaidi WAGONJWA MATAJIRI ILI WAKURUSHIE MAKOMBO..ukipata mgonjwa tajiri UNAMSHOBOKEA KAMA MACHWA unamsalimia mara mbili mbili,wakati wagonjwa masikini hata huna namba zao ila phone book yako umejaza namba za wagonjwa matajiri wanaokurushia makombo ya vichenchi.na viongozi wa kisiasa na watu mashuhuri..UPENDELEO.
Huo sio ujanja ni ujinga wa kuanza kulamba matako na viatu vya wagonjwa matajiri hata kama wanaumwa mafua tu,unawakimbilia unaacha wagonjwa masikini wenye uhitaji wa kweli wa huduma yako KWA DHARURA.
KAZI YA UDAKTARI inawafaa watu WENYE KUMUABUDU MUNGU,wenye hofu ya Mungu ,wenye KUMUOGOPA MUNGU na kuchukia DHAMBI,wenye huruma na BINADAMU UTU.
HITIMISHO
KAZI YA UDAKTARI HAINA UWEZO WA KUKUFANYA UWE TAJIRI KWA MSHAHARA WAKE,UKIFOSI UTAJIKUTA UNATENDA MADHAMBI
Kama umewahi kuwa kiongozi wa hawa madokita kama mganga mkuu,mfawidhi,mkurugenzi wa taasisi za huduma za afya utakuwa umeshawahi kukutana na kesi kama hizi za RUSHWA ,DAKTARI kupata kashfa ya kutengeneza mazingira ya RUSHWA kutoka kwa mgonjwa NI AIBU ni KUJIAIBISHA ,USOME MIAKA 7 YA UDAKTARI uje uaibike na virushwa,TOSHEKA NA BARAKA NA THAWABU UNAZOZIPATA KUTOKA KWA MUNGU yale maombi wanayokuombea wagonjwa na vile wanavyokushuru kwa maneno tu bila kukupa chochote na vile wanavyomshukuru Mungu kupitia wewe UNAPATA THAWABU NA BARAKA TELE,
STRESS ZA KAZI KWANZA STRESS ZINAANZIA KWENYE MASOMO UNAPOKUWA UNASOMEA UDAKTARI
Mazingira magumu ya kazi,MASAA MENGI YA KAZI mpaka masaa 36 ya kazi non stop,hakuna KULALA mpaka ile spleep awake cycle rrthym inabadilika muda mwingi usiku ni kukesha na asubuhi ukiamka unaamkia kazini masaa machache ya kulala muda mwingi kukesha
INAKUTENGA MBALI NA FAMILIA YAKO NDOA YAKO NA JAMII
Hata jamii yako hawakuoni mtaani hata kushiriki matukio ya kijamii,hauna cha wiki endi hauna cha sikukuu,familia yako na ndoa yako utakuwa nazo mbali muda mwingi.
HATA YULE TRAFIKI BARARANI YULE DOKITA ANGEMUACHA TU APITE AKAHUDUMIE WANANCHI MASIKINI
Mbona wanasiasa wanaacha tu barabarani wanapita ,mbona AMBULANCE wanaziacha tu barabarani zinapita ,sasa kama unaacha ambulance inapita halafu daktari UNAMZUIA ,does it make any sense?
MADAKTARI HAWANA HELA si umeona tu hata KIGARI CHA DOKITA?ukimsechi mfukoni utakuta ana majibu ya vipimo vya wagonjwa NA STRESS NYINGI KICHWANI.
NI VIZURI KUWASHAURI VIJANA WASISOMEE UDAKTARI hasa kama wanalenga kutoboa kimaisha kupitia UDOKTA.