basi

  1. Kama ningekuwa nakunywa basi leo ningekuwa chakarii

    Habari za humu wandugu, leo hii nimevurugwa sana nisaidieni nipate utulivu, nimeletewa laptop ilizima mwanga nikairekebisha ikawaka tu poa nikaizima na kuifunga, baada ya kumaliza kuifunga naiwasha haiwaki tena ukiwasha inawaka taa tu ya power halafu inazima baada ya sec 5 hata ukitoa betri...
  2. Car4Sale Basi linauzwa bei nafuu sana

    Zhongtong Caesar Inauzwa Namba B Siti 60 2by2 Engine scania 93 Gearbox scania Diff scania Bei Tzsh 35,000,000/= Gari haina tatizo lolote Bima ipo hai Call, sms, whatsap 0759399805
  3. Basi linauzwa

    Zhongtong Caesar Inauzwa Namba B Siti 60 2by2 Engine scania 93 Gearbox scania Diff scania Bei Tzsh 37,000,000/= Gari inafanya kazi Bima na latra vipo hai Call,sms,whatsap 0759399805
  4. Tuseme ukweli mfano Shinyanga kwa sasa bila Kahama basi ingeshajifia

    Katika matembezi yangu ya utafutaji na majukumu ya jina langu nimeona kuleta moja ya mfano ambao kiukweli ni wazi kabisa. Shinyanga miaka 90 kushuka chini ilikuwa ni moja sehemu centre sana ikibeba wilaya zake zote na mambo mengine, ila kwa sasa imekuwa tofauti sana yani kuna kila kitu cha...
  5. Uongozi wa yanga mwanipa mashaka kukubali kupanda basi la Mamelodi

    Kama viongozi mnania ya kuihujumu timu, tuambieni mapema tujiandae kisaikolojia na tusipoteze mda wa kwenda vibanda umiza kucheck game. KUKUBALI KUPANDA GARI LA MAMELODI WKT MNAJUA UWEZEKANO WA KUWEKEWA SUMU NI UPUUZI. NA KAMA MLIKUWA MEKOSA NAULI YA KUKODI BASI BINAFSI MNGESEMA TUPITISHE BAKURI
  6. Kila ukitaka walaumu wazungu/mabeberu kuhusu Afrika kuchezewa basi usisahau kwamba kuna CCM ,Katiba mpya ni sasa

    Nimekaa nimewaza sana nikafika mpaka kuwalaumu Wazungu na Mabeberu kwa propaganda na mambo yanayoendelea Africa.. Mwisho nikakumbuka tatizo ni Wa Africa wenyewe kila Nchi viongozi wake hupambana kwa Ajili ya Wananchi wake kwa Namna yoyote ile . Kwa Tanzania nitakuwa mnafiki kama sitatupia...
  7. M

    Kama una sifa hizi huwezi tegemewa, hairisha hata kuwa na familia

    KAMA UNA SIFA HIZI BASI HUWEZI KUTEGEMEWA, HAIRISHA HATA KUWA NA FAMILIA 😔 1.Kila changamoto inakuliza na kukuumiza. 2.Mtu wa kulalamika tu. 3.Unaishi kijanja janja kukwepa majukumu. 4 .Hutaki kuwajibika kwa makosa yako. 5.Mtu wa kususa hovyo. 6.Unajitetea sana 7.Bado una utoto wa kutaka kila...
  8. M

    Kama una sifa hizi basi huwezi kutegemewa, sitisha hata kuwa na familia

    KAMA UNA SIFA HIZI BASI HUWEZI KUTEGEMEWA, HAIRISHA HATA KUWA NA FAMILIA 😔 1. Kila changamoto inakuliza na kukuumiza. 2. Mtu wa kulalamika tu. 3. Unaishi kijanja janja kukwepa majukumu. 4. Hutaki kuwajibika kwa makosa yako. 5. Mtu wa kususa hovyo. 6. Unajitetea sana 7. Bado una utoto wa...
  9. Aprili 1, 2024: Gridi ya Taifa yapata Hitilafu, TANESCO waomba radhi

    Tuliambiwa mgao wa umeme sasa basi! Hali tangu jana ni hii, vipi nyie huko kwenu? ==============
  10. Leo na hamtamini, tena nje ndani

    Kwa wanaojua mpira vizuri Yanga ya sasa imebadilika Nyumbani wanaupiga mwingi ila ugenini wanaupiga mwingi zaidi,binafsi naona Mamelod watapigwa chuma kuanzia 2 mpaka 4 na hamtaamini. Nawapongeza simba kwa mchezo mzuri,tutambue mpira si bahati ni tekiniki.
  11. RTO na LATRA Dodoma na Singida: Basi la Isamilo T863 DSB limejaza abiria kuliko uwezo wake

    RTO na LATRA mikoa ya Dodoma na Singida, basi la ISAMILO T863 DSB kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza, muda huu lipo Dodoma na limepakia abiria waliosimama zaidi ya 20. Cha ajabu basi limeingia standi kuu ya 88 Jijini Dodoma na hakuna Askari wa Usalama barabarani aliyeingia na kukagua ndani...
  12. 429 Shakahola forest death: Kenya security kushinda vita vya ugaidi dhidi ya Al shababu bado sana?

    Imagine hadi watu wanakufa kufikia 429 serikali haijui? Watu 429 sio wachache hii inamaanisha kuna watu wengi sana wanapotea na kufa pasipo serikali kujua. Swali linakuja kama intelligencia iko weak hivi inawezaje ikashinda vita dhidi ya ugaidi ambao wanatumia njia za kisasa na mipango ya...
  13. D

    Kuna Muislamu anaendelea kuwafata Bakwata kwa chochote?

    Hii clip ni fikirishi sana, Mufti alipewa amri kutoka Juu atangaze muandamo wa mwezi ambao haupo.
  14. Karibu bongo ambayo mwanaume akimsaidia mkewe kwenye haki basi utasikia amerogwa huyo siyo akili zake

    Karibu bongo ambayo mwanaume akimsaidia mkewe kwenye haki basi utasikia ndugu na majirani wakisema amerogwa huyo siyo akili zake
  15. Basi wakati tunaumia sana kuhusu mahusiano tuliyopitia au tunayopitia basi tukumbuke kuna Geremi Njitap

    Huyu ni mchezaji wa zamani wa Cameron , Chelsea na Madrid
  16. Kama ni kweli basi ushindi wao hauna maslahi zaidi ya kupata jina tu!

    Ramadhani Brothers washindi wa AGT wamekatwa zaidi ya asilimia 70 kwenye pesa walizoshinda kwenye mashindano ya AGT. Ukipiga hesabu za haraka ni kwamba hawa jamaa wamebakiwa na hela ndogo sana baada ya makato mbalimbali waliyokatwa kwenye zawadi yao. ✍️Mjanja M1
  17. Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

    Ijue Tanga Mjini Na Maajabu Yake. Katika maisha yako jitahidi sana walau siku moja ufike Tanga, utakuja kunishukuru… Haya jionee maajab ya jiji la Tanga 1. Ikifika Saa 3 usiku Hakuna Daladala Utaona Barabarani. 2. Jiji Lina Watu 390K Lakini Ifikapo Saa 4 Huoni Watu Nje Usiulize Kwanini...
  18. Nani mwingine kaona mabadiliko makubwa ya Mkuu wa Mkoa Chalamila? Very intelligent, kama kuzaliwa mjini form six, basi ataacha Dsm na Masters

    Dar ni mjini, na eti kuzaliwa mjini ni sawa na kuhitimu form six? Basi wana Darisalama watakuwa na masters kutokana na hotuba za kisomi za Chalamila. Kwa siku za karibuni nimekuwa nikifuatilia hotuba za RC Chalamila, kwa kweli zina kiwango cha juu sana mpaka najiuliza nini kilimkuta miaka...
  19. Wazo Fupi: Kama Rais Samia hakueleweka basi haeleweki na haelekei kueleweka

    Na. M. M. Mwanakijiji... Alipozungumza Jana Rais Samia kuhusu kukosa usingizi kunakomkuta kama Rais unaweza kudhani roho ya Magufuli ilimuingia ghafla. Yaani, maneno yake ukiyaweka kwa sauti na ukali wa Magufuli...unaweza Kwanzaa kuwaonea huruma Hawa wakuu wa mikoa. Nasubiri kuona Nani atakuwa...
  20. M

    Usipojitoa utumwani basi huyu mtu atakutesa sana

    Kuna watu kwa nje wanafurahia mahusiano ila ki uhalisia wanateseka sana na anayewatesa sio mwingine bali ni huyu mtu ambaye SIKU UKISEMA HUNA TU BASI HAKUNA MAHUSIANO 😔 Je, upo kwenye mahusiano na mtu huyo? VIASHIRIA KUWA UPO KWENYE HUO UTUMWA. 1. Uko radhi ulale njaa ila yeye ashibe 2. Uko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…