Halafu hapo hapo tena tukaambiwa kuwa huyo Shemeji yako ( Mchezaji Mweupe kutokea Uingereza ) anacheza Ligi Daraja la Tatu wakati kumbe anacheza Ligi Daraja la Tano Uingereza ambalo kwa huku Kwetu Tanzania ni sawa tu na Ndondo Cup ile ya Shaffih Dauda.
Kwahiyo Simon Msuva ( Shemeji Mtu ) na TFF...
Ajali Ya Basi la New Force lililokuwa linatoka Mbeya Kuja Dar ( Hakuna Kulala ) Maeneo ya Kidai B baada ya Kugongana na Lori na Gari Ndogo
Abiria wako Salama Kuna Majeruhi Wadogo Tu
Iii imetokea leo 23/01/2024 asubuhi Mtoremko wa Iyovi
Pia soma: New Force/Golden Deer kwanini ajali mnapata...
Unakuta mzee kabakisha miaka miwili au mmoja astaafu anaanza kuwa na hofu ya maisha baada ya kustaafu ile hali inampelekea awe katili sana linapoluja suala la pesa.Kila safari inayokuja analazimisha ahusike hata activities ambazo zinapendeza aachie Vijana anang’ang’ania.Sio vizuri kwa kweli...
CHADEMA imetangaza kufanya MAANDAMANO TAREHE 23.
Katika hali ya kushangaza JWTZ nao tarehe hizo wamepanga kufanya usafI ingawa wangeweza kupanga tarehe nyingine ya kufanya huo usafi.
Hata hivyo suala la usafi ni suala muhimu Sana,, Hivyo CHADEMA nawashauri tarehe Hiyo wasofanye MAANDAMANO Yao...
Basi lenye Terias injini ya scania 113 hoarse power 320 body limetengenezewa kenya linauzwa lipo katika hali nzuri na hivi sasa linatembea na injini yake haijawai kuguswa.bei yake ni rahisi ambayo hata watu wahali ya chini wanaweza kumudu kwa mawasiliano zaidi bei ni tzsh mil 50,000,000 sababu...
Ule msemo wa kwamba kila nafsi itakufa ni uzushi tu. Ni uzushi ambao umekubalika sana kiasi ambacho umeshakuwa kipande-cha-ukweli. Mbadala wa kipande-hicho-cha ukweli hata kama ni kweli kabisa lakini sasa ukizungumziwa basi watu watautazama kwa macho yenye walakini kana kwamba ni habari ya...
Miaka ya elfu 2 mwanzoni nilikuwaga jambazi.
Section yangu ilikuwa udereva.
Jukumu langu lilikuwa kuwaendesha " ma afande wangu " baada ya tukio.
Kanuni yangu ilikuwa tukienda "kiwanja" ( eneo la tukio) kukiwasha, tukio likisha fanyika basi ndani ya dakika 2 baada ya tukio inatakiwa kila...
Kiuhalisia ukitoa wana harakati kama kina Mdude ,Mwabugusi na wengine wachache nchi inabaki na watu wachache sana ambao ambao wazalendo wa kweli na mioyo yao kila siku hunena mema kuhusu Tanzania .
Lisu , Mbatia na Mnyika ni moja ya watu makini sana na wazalendo Tatizo hawana nguvu za kichama ...
Juzi hapa walisema hata iweje hamna kukubali chochote kisichohusu Israel kuondoka Gaza, ila Israel wakasema hamna kitu kama hicho na kwanza wakaongeza mapigo. HAMAS sasa wanasema basi sawa jameni wapewe wafungwa wao tu wataachia mateka 40
========================
Hamas negotiators have waived...
Kila nikijaribu kuzama nashindwa kabisa, nimejaribu sana lakini nikifika karibu kuanza kuna kitu kinaniambia " acha uboya wewe".
Dada ukipata mwamba wa aina hiyo mfunge kabisa kamba.
Kuna Mtu Mmoja alinipa maana halisi ya Jasusi na Shughuli zake kisha kwa Kujiamini kabisa akaniambia kama wapo nchini Tanzania basi hawazidi 50 na akaniambia kuwa wengi walioko ni Makachero pekee.
Tutafuteni maana halisi ya neno Jasusi ili hata tukiwa tunalitumia tuwe tunalitumia pale tu...
Namsikiliza jamaa alikuwa anaongea kuhusu Afrika. Alisema kabisa dini zimetugawa pakubwa lakini ikatokea Afrika tukatawaliwa kama karne ile ya 15 basi miongoni mwetu, tena 80% watasema ni mapenzi ya Mungu.
Unapitia shida.... MAPENZI YA MUNGU
Unanyanyasika.... MAPENZI YA MUNGU
Unateseka...
1. Mimi natambua kuwa, kama hakutakuwa na mabadiliko ya kikatiba na kisheria comes 2025 General Election, uwezekano wa CCM kutumia uhuni kushinda uchaguzi tena ili kuendelea kuongoza serikali na nchi hii ni mkubwa..
Hata hivyo nina ushauri huu. Kwamba, msituletee mwanamke tena kwenye nafasi...
Wakati January na Maharage wakipambana kuleta suluhisho la kudumu TANESCO maneno yalikua mengi, tunajua waliokosa tenda na waliokuwa wanufaika wa TANESCO walilipa machawa kuendesha vita na January kupitia mitandao ya kijamii ilikua kila siku hukosi makala tano za kumsema makamba.
Rais Samia...
Kawaida katika mambo mengi hutajwa Tanzania haiangalii dini wala rangi ya mtu. Hata hivyo kuna mengi huendeshwa kidini na kiubaguzi mwengine ambao huwa umejificha sana.
Nilikuwa nafuatilia ile orodha ya vijana 260 waliotajwa kwenda kusoma kilimo na sijaiona.
Shaka yangu ni kuwa huenda wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.