Hakuna wakati ambao simba inahitaji nguvu ya mashabiki wake kama kesho.
Licha ya miyeyusho ya akina Kajula. Timu ina ceo alafu inaongozwa na kelele zetu. Lakini chonde chonde tusikose kwenda kuangalia mechi hiyo kesho.
Nje ya matatizo ya uongozi ni wakati wa wawashabiki na wachezaji kuungana...
Hili jambo ni janga kubwa kwa vijana wenzetu.
Hasa mzigo unalalia kwa Mwanamke.
Kwa uzoefu wangu wa mahusiano na mapenzi nimeona Single mothers wanapata shida kubwa sana kwenye jamii.
Hawa wasichana wadogo tuwashauri kwa nguvu zote na elimu zote kwamba wafanya mapenzi na uzinzi wao lakini...
Ili ung'oe Goma la bure hakikisha unaandaa Tshs 1,000/ ya Ugali Dagaa na Tembele au 1,500/ ya Ubwabwa Maharage.
Na baada ya Kung'oa hayo Magoma ambayo GENTAMYCINE kwa Uzoefu wangu tukuka huwa yana Gono na Kaswende huku Ugonjwa Sugu wa 1981 ukiwa Umeshawakomaa wahi upesi Duka lolote la Dawa na...
Hivi unajua usipompa
pesa mkeo akavaa vizuri na akapendeza ni ukatili wa kiuchumi?
Hii ndio kauli iliyotolewa na Hakimu Mfawidhi Mahakama ya Mwanzo Sanya Juu wilayani Siha, Janeth Mvungi, alipozungumzia siku 16 za kupinga ukatili.
Akizungumza katika maadhimisho hayo leo Desemba 11, 2023 huko...
Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro, limefanikiwa kukamata shehena ya dawa za kulenya aina ya mirungi ndani ya basi la Extra Luxuly lenye namba za usajili T643 DVL ikisafrishwa kutoka mkoani Arusha kwenda jijini Dar es salaam.
Habari kutoka ofisi ya kamanda wa polisi mkoani Kilimanjaro...
Tuliona danadana mahakamani siku siyo nyingi mara tukaambiwa ameshinda kesi. Wakati tunatafakari mara paap mzazi wa mtuhumiwa ni Mwenyekiti wa chama mkoa.
Funzo kubwa tunalopata hapa nikuwatesa wasiojitambua hadi wajitambue kwa sababu ni wajibu wao kujua mema na mabaya.
Hii siyo Ishara nzuri...
Ufugaji wa ndevu ninaamini tuliuanza miaka kadhaa.
Kabla yetu walifuga wazee wetu. Nimeamua kukata na kuwa na kidecu na mdogo kama uch.i wa mbuzi. Kunyoa ndevu zote kunafanya unakuwa sura kama ya mbuzi. Mdogo na kidevu ndio kabsaaa.
Siku hzi vijana wameiga yaani inaboa na haivutii nahisi tangu...
Wakuu mwenye taarifa kamili atujuze maan kuna ndugu yetu tumepewa taarifa kafariki alikuwa humo,
Innalillah wainna ilayhi raajiu'uun
=====
Watu 14 wamefariki dunia na wengine 26 wakijeruhiwa katika ajali iyohusisha basi la Kampuni ya Baraka Classic, yenye namba za usajili T 336 DPW, inayofanya...
Muswada uliosomwa kwa mara ya Kwanza kuhusu sheria ya Uchaguzi umeelekeza wananchi kulipia Kadi ya Mpiga Kura endapo atataka kuihuisha tena.
Hili suala halipo mbali na NIDA ambapo jambo la Kulipishwa wakati wa kukihuisha lipo.
Nini maana ya kuwa Mtanzania endapo hadi kutambuliwa uwepo wake...
Asee huko Gaza kuna rundo la vifusi na skrepa za vifaru, hamasi wanavibomoa sana. Kwanini media za kimagharibi hazitangazi kama zilivyotangaza vya Urusi kule Ukraine?
https://youtu.be/GQ3eDg-UShA?si=8sJ9o-FJ0o_VcZ42
Hata vifo vya Waisraeli ni vingi mno, kama Israel iliweza kushinda waarabu...
Wakuu,
Nimekutana na video ikionesha Timu ya Taifa inainga uwanjani kwaajili ya mchezo wake na Morocco, wakitumia basi ya Super Feo. Namnukuu Msigwa kama alivyoandika kwenye ukurasa wake Instagram; " Taifa Stars imeingia kibabe sana leo Uwanja wa Benjamin Mkapa. Kitu cha Marcopolo, sio mchezo!"...
Wametafuta mzungu asiye na timu anayezulula tu mtaani wakaongea nae. Ifikie sehemu tuheshimu wazawa. Dili la viongozi kupiga Pesa ndefu kwa Mo limekaribia kutiki.
Huyu kocha hajawahi kuongoza timu yoyote ile kwa miaka miwili mfululizo. Anaishiaga nusu msimu.
Viongozi wanaweka siri ili watu...
Habari ndugu wana JF.
Kama mada inavyosema. BInafsi nina mpango wa kufanya safari nje ya mipaka ya Tanzania 🇹🇿 kwa njia ya basi kwenda nchi za Sadc na Eac kwa dhumuni la kutalii(Kutembea). Tayari nina documents zote muhimu kama yellow fever, COVID-19 certificates na Passport.
Naomba...
Wakuu,
Usafiri wa umma una vimbwanga yake, unaweza kukutana na jambo mpaka ukatamani ungekuwa na gari lako ili usikutane na masaibu hayo!
Mabasi machafu, wazee wa kubadili ruti na kusema magari hayaendi hasa kukiwa na watu wengi kituoni ni baadhi ya kero nilizokutana nazo kwenye usafiri huu wa...
Hakuna kitu kinatisha kwenye historia na maisha yote ya binadamu kama vita, ukiingia kwenye vita ya mtu mmoja mkatwangana mangumi lazima kuna mmoja au wote mtatoka mmeumia. Kushinda ndani ya uwanja wa medani katikati ya mapigo ya moto sio hadithi ni kitu kinatisha sana.
Katika kitu kinanivutia...
International Day Of Tolerance'
Every 16th of November.
Smart911 tumechoka vimesemo vya mara ooh acha waje wakupe muongozo, haunaga cha kusema kingine haha anyway much love bro.
Amekwama - anataka msaada wa pesa aka maokoto
Amepotea - anataka mtu wa kumwelekeza sehem anayoenda
Malizia....
Bandugu tusalimie sio hadi mkwame ndo mnarudi kutusalimia - tutawapotezea!
Kinachokwenda kutokea CCM, ni kuwajengea imani wote waliokuwa na hasira juu ya kutukanwa na kubagazwa kwa aliyekuwa kipenzi cha Watanzania wengi hayati John Pombe Magufuli
Mabadiriko yanayofanywa na CCM, ni mpango madhubuti ya kuinasa tena kanda ya ziwa kisiasa na kuendelea kuwa mtaji wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.