Kwa 95% Kiongozi wa Azam FC ( ambaye Watu wa Mpira Tanzania tunajua ni mwana Yanga SC lia lia ) CEO Popat ndiyo huwa Silaha Kuu ya Yanga SC kuifunga Azam FC muda wowote na inavyotaka.
Na hiyo 5% iliyobaki ni ya Msaliti mwingine mdogo Msemaji Ibwe ( ambaye ni mwana Yanga SC kindakindaki ) hadi...
Hata sakata la umeme wanajua ni mchongo tu wa kihuni.
Wanajua fika huyu mama hana sauti ya kuendesha nchi
Amedhibitiwa na wahuni.
Watanzania wote hawamtaki na wanajua fika hafai ila basi tu.
Hii kampuni ilianza Kwa speed ya 5G , Kwa safari Za Dar Es Salaam kwenda arusha.
Ili fungua Ofisi kila mahali Huku Dar Es Salaam na Arusha .
Ukilipanda ulikuwa Unapewa soda , juice na pipi sasa gari zimeadimika barabarani Tatizo ni nini!!
Au wanahisi walichomoa Huku Hisa zao!!
Pale TANESCO kuna tatizo, wafanyakazi wameshajikatia tamaa sababu wanaona Ofisi ya Umma imekuwa Ofisi ya Upigaji kwa Viongozi wa juu.
Maharage alipo pelekwa pale TANESCO, alianzisha mfumo wake wa kupiga hela, akaanzisha Managing Director delivery unit - MDDU. Akaweka watu wake, halafu...
Ajali hii imetokea asubuhi hii, basi hilo likionekana kutumbukia kwenye mtaro likiwa na wanafunzi kama 10 hivi. Kwa kuwaangilia watoto hawaonekani kuwa wameumia sana, zaidi ya michubuko na hofu kwa kilichotokea. Basi jingine kubwa la shue hiyolilipita eneo hilo na kuwachukua watoto hao...
Mawakala wa kampeni ya kuoa na ndoa ni raha, tafadhari jiheshimuni sana, endapo kuoa ni raha na ndoa pia ni raha basi tunawaonya iwe ni marufuku tusiwaone kwenye sehemu zetu za bata na kwenye Magest mkiwa na michepuko.
Hio mizunguko tuwaone mkiwacna wake zenu wa ndoa.
Sauti iwafikie popote...
Kwa hili linaloendelea kuanzia last week linalohusu mgawo wa umeme ambao Maharage Chande anasema haupo bali kuna ratiba ya umeme ni dhahiri matarajio ya Rais Samia aliyoweka kwa Waziri Makamba, Bodi ya Wakurugenzi na MD wao YAMEFELI.
Rais kamtoa Makamba baada ya kumuidhinishia fedha kwa...
Wakati niko nasoma pale Nusery school hapo pale pembeni ya Oysterbay Primary school , tulipata taarifa kwamba kuna basi la kati ya UDA au Kamata limepata ajali meneo ya Kilima Masaki na kwamba kuna wanafunzi wame laliwa na bus na kuwaua.
Habari hiyo ilinitisha mpaka leo nakumbuka ile...
Wasaalam wana jamvi.
Nakumbuka kipindi cha nyuma tulipokuwa primary tulikuwa tunaletewa kadi za chama cha kijani na tukilazimishwa wote kusaini kama wanachama wa hicho chama. Naona sasa hiyo kitu kama bado ipo vile maana kila wanachokiona mbele ni chao.
Hivi jamani inakuwaje mtu kupangiwa...
WATU wawili wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya Abood na Noah zilizogongana uso kwa uso asubuhi ya leo Septemba 11, 2023 eneo la Kitungu Manispaa ya Morogoro.
Ajali hiyo imehusisha basi lenye namba za usajili T904 DKY mali ya Kampuni ya...
Kuna kila dalili Yanga anapeleka Yutong zaidi ya 200 Rwanda.
Wasiwasi wangu ni je Rwanda wamejipanga kwa huu ugeni wakuu?
Kuna tetesi kuwa Kagame atakuwepo Rusumo kuwapokea wadau.
Yanga hana kazi ndogo hata kidogo.
Muundo wa sasa wa Tume ya Uchaguzi ni sawa na Mtego wa Panya hunaswa wahusika na wasiohusika
Angalizo:
Chadema wakishiriki Uchaguzi kwa Tume hii ya Uchaguzi ni Wazi CCM itashinda kirahisi lakini Wao Chadema watapata Wabunge na Madiwani Wawili Watatu
Ikiwa Chadema hawatashiriki itakuwa ni...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Wakuu kuna habari ambayo nimeipata leo kutoka kwa mtu ambae yupo karibu zaidi na kiongozi fulani wa chama cha demokrasia na maendeleo, wengi mnakiita Chadema.
Ni hivi.. inasemekana baada ya Dkt. Slaa kuvuliwa hadhi yake ya ubalozi jana, kitu cha kwanza alichofanya...
Kama Dkt. Slaa amevuliwa hadhi ya ubalozi kwa kupigania rasilimali naamini yupo kwenye mwisho mwema wa maisha yake hapa Duniani. Kwamba ameanza kwa kupigania haki na amezeeka akiwa mtetezi wa haki; alianza kwa kuhubiri uzalendo na amezeeka akipigania haki.
Waliomvua Ubalozi ipo siku watasimama...
Maisha siku zote ni mfano wa Mashindano na sio kila anayeshiriki anahitaji Ubingwa au taji Kuna timu zinashiriki ili tu zisishuke Daraja. na hizi timu ndo nyingi Sana (WATU).
Hivyo Kama mtu una kusuduio lako unalohitaji kulitimiza hapa Duniani na kushinda taji hili Muhimu linaloitwa MAISHA basi...
Natumaini mu wazima. Binafsi namshukuru Mungu sijambo.
Japo Kuna baadhi ya watu wachache wanaweza kukuharibia siku kwa matendo au hata maneno yao.
Wanakera sana. Utakuta mtu anakulazimisha kukusalimia kwa kukushika mkono wakati amekotoka magali pa 'faragha' ama alikuwa akishika sehemu fulani...
Video Assisted Referees (VAR) hatuna kwanini tusianzie na tv re-play (slow motions) viwanjani kwa baadhi ya matukio kama uhalali wa magoli na offsides? Goli la Konkoni kwenye mechi ya Yanga vs KMC nusura lilete dhahama pale kiwanjani. Na yapo matukio mengine ambayo kwa wanaoangalia replay wako...
Mmesikia nyie wanaume
Ukimuangalia mwanamke Kwa kumtamani ushazini nae moyoni
Tunaomba mpunguze idadi ya waenda Motoni ACHENI ngono na tamaa za mwili
Ndio maana nguvu za kiume zinapungua sana
Tunaomba wadada muache kuvaa uchi ili wanaume wabaki kuwa marijali
Suala la upandishaji madaraja lilisitishwa kwa miaka kadhaa. Watumishi wengi waliathiriwa na suala hilo. Kutowapa nyongeza ya mshahara kwa kigezo cha kanuni, ni uonevu!
Tatizo lako Kubwa unapenda kusikiliza Ushauri wa Watu wenye Vipesa Uchwara wanaokuzunguka na ambao ndiyo wanakuumiza kila Siku Azam FC yako ikicheza na Yanga SC ila Mawazo yenu Mema na ya Kimaono yetu Sisi Masikini akina GENTAMYCINE unayapuuza.
Yusuf Bakhressa tumeshakuambia sana tu kuwaondoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.