basi

  1. LA7

    Nikiweza kutoboa hadi mwezi wa pili 2024 basi itakuwa ni kwa neema ya Mungu

    yaani kiujumla ni hivyo tu kuanzia mwezi wa kwanza ni makadirio ya kupata mtoto wa pili mungu akipenda lakini mpaka sasa bado sijasevu hata 100 ndani leo ndo nimepunguza miezi miwili ya kudaiwa kodi toka miezi minne. Eeeh Mwenyezi Mungu tupunguzie hii mizigo na changamoto tunazozipitia wengi...
  2. Webabu

    Mashirika ya misaada 18 yaiangukia Israel. Waiambia basi inatosha. Wenyewe wamekataa kusimamisha vita

    Jumla ya mashirika ya misaada 18 yakiwemo ya UN leo yametoa tamko la pamoja kuibembeleza Israel isimamishe vita kutokana na kihoro cha maangamizi walichokiona. Mashirika hayo yameweka pembeni kila aina ya hisia na imani walizonazo na kubakiwa na ubinadamu tu na kuona inatosha adhabu...
  3. Magari ya Biashara

    Car4Sale Magari Makali Haya Hapa yanapatikana SHOWROOM kweetu. Ukiwa na pesa pungufu usijali gari utapewa tu

    TUNAPATIKANA UBUNGO STENDI YA ZAMANI YA MKOS MKABALA NA MIC HOTEL NJIA YA KUINGILIA NBC BANK MOROGORO ROAD MAWASILIANO 0711707070 AUDI A4 YEAR : 2013 Stock No: 23/000536 Engine Capacity: 1800CC Mileage:49,524KM TRANSMISSION: AT LEATHER SEAT PRICE:35,000,000/= (With Full Registration) TOYOTA...
  4. S

    Kama Waziri Mkuu hahitajiki basi mwambieni tu. Hivi vitimbi dhidi yake hastahili

    Makonda ni mdogo sana siyo kiumri tu, bali hata kwa cheo. Hivyo hana sifa wala hadhi ya kumtaja waziri mkuu kwa muktadha wa kumuamrisha. Eti anampq PM miezi 6 awe amemaliza migogoro ya ardhi. Eboo! PM akigoma kutekeleza hayo maagizo Makonda atamfanya nn? Mdomo wa Makonda ufungwe breki ili awe...
  5. DR HAYA LAND

    Kijana makini na wathamani hawezi kuwa mtu wa kuchezea wanawake.

    Unapokutana na mwanamke katika safari yako ya MAISHA hapa namzungumzia kijana amabaye yupo na Malengo Makubwa kuhusu MAFANIKIO na anajua thamani yake . Hivyo katikati ya safari yako unaweza kumuhalika Mwanamke kuwa aje katika MAISHA yako kwa lengo la kutafuta ukamilisho na kukamilishana na sio...
  6. LIKUD

    Hii ndio njia bora kabisa ya kudili na watu wanaokusengenya

    Ukiona watu wana kusema sababu huwaga ni 2 tu 1: they don't have the access or the privilege to talk to you. 2. They have lose the privilege to talk to you. So the only option which they have is to talk about you behind ur back. So how do you deal with it? Kama wewe ni muhanga wa kusengenywa...
  7. GENTAMYCINE

    Kama Timu za Tanzania Kufa Kiume Mashindano ya CAF ni Sifa basi tuwaombe CAF waandae Shindano la WAFAO KIUME CUP tulibebe

    Kauli yangu ni moja tu na tena ni Takatifu kabisa kuwa HATUMO na TUMESHATOLEWA rasmi Mashindanoni hivyo hizo Kauli zenu za Kinafiki na Kipuuzi za Timu zetu KUFA KIUME msiwe mnazisema mbele yangu nisije Kumzabua Mtu Makofi bure sawa?
  8. Mhafidhina07

    Upinzani wanaipenda CCM, kama hawaipendi basi waanzie kukosoa sera za Hayati Mwalimu Nyerere

    Historia ya Tanzania(Tanganyika) inatuonesha muasisi mkuu wa chama cha TAA hatimae TANU(CCM) ndiye Rais wa awamu ya kwanza wa nchi Mwalimu Nyerere ndiye yeye aliyeanzisha itikadi na falsafa za chama pamoja na utamaduni huu ambao tupo based. Lakini napata mshangao kuona majukwaa ya upinzani...
  9. D

    Uwepo wa Rev. Fr. Charles Kitima kwenye utiwaji saini wa Mkataba wa DP World unahitaji majibu

    Tumsifu Yesu Kristu. Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile...
  10. mdukuzi

    Kama unasafiri Kilometa zaidi ya 800 kwa basi wewe ni masikini tafuta hela

    Ni mfano wa route za Dar kwenda mikoa ifuatayo, Mwanza, Kagera, Musoma, Kigoma, Mbeya, Ruvuma Kama huwa unatumia usafiri wa basi kwa mikoa tajwa badi ujue wewe bado unajitafuta, endelea kujitafuta. Binadamu hatakiwi kusafiri zaidi ya Km 500 kwa basi, ndio maana Simba na Yanga wakienda...
  11. Sildenafil Citrate

    Rais Samia atuma salamu za rambirambi kufuatia vifo 18 vya abiria wa basi la Alfa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dkt. Batilda Salha Burian kufuatia vifo vya watu 18 vilivyotokea katika ajali ya gari. Ajali hiyo imetokea leo saa 5 asubuhi katika kata ya Uchama, tarafa ya Nyasa...
  12. N

    Kama Tanzania imeuzwa watuambie basi

    Salamu ya nini? Haina maana umeme toka asubuhi mmekata then mnarudisha jioni, baada ya lisaa limoja mnakata tena, sasa mlirudisha ili iweje? Masoko kila kukicha yanaungua, nauliza bandari mmetahifisha? Au tukisema ukweli mnatukamata na kutuma wale jamaa wasiojulikana kututeka. Taifa...
  13. MK254

    Iran yasema kama Israel hawatavamia, basi HAMAS wataachia mateka, wanaweweseka sana hawa

    Hawa hawa Iran ndio wamekua wakibwatuka maneno mengi na mikwara, leo wanabadilisha gia eti israel ikiacha mipango ya kuvamia basi mateka wataachiwa huru, kitu ambacho HAMAS wamekana na kupishana kauli na mfadhili wao Iran. Ukweli Iran wanajua Israel itavamia na hamna chochote wanachoweza...
  14. Maalim Raphael

    Ushoga katika taifa la Israeli

    Ushoga au liwati ni dhambi mabaya na yenye kuangamiza jamii kimaadili. Katika Torati dhambi hii imeitwa "machukizo" kwa kuwa inachukiza mbele ya uso wa Mungu. Katika Biblia katazo la kushiriki mahusiano ya jinsia moja linapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 18:22 "𝑼𝒔𝒊𝒍𝒂𝒍𝒆 𝒏𝒂 𝒎𝒕𝒖 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒎𝒕𝒖...
  15. M

    Kama issue ni kuiwini Kanda ya ziwa basi mtu mwenye ushawishi ni Luhaga Mpina

    Nimefatilia hizi teuzi za hivi karibuni za kisiasa. Na nikapitia maoni kadhaa ya wadau. Nikagundua kuwa huenda mamlaka za uteuzi zimefikiria kuwa Kanda ya ziwa inaitaji mtu 'wao' Ili kuwin kura za Kanda hiyo. Na ndio ukafanyika huo uteuzi wa naibu wa mawaziri wote. Lakini kama issue ilikuwa ni...
  16. Jidu La Mabambasi

    Queen Sendiga, pendeza basi mama, tunaokutazama tufurahi!

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga ni mwanamke yuko kitofauti kidogo. Siwezi kusema ni mwanamke ambaye hajipendi lakini haiba yake hadharani inabidi iboreke. Kama mwanamke lazima apendeze, avutie, na hiyo ndio raha ya kumtazama hata kwenye runinga. Mama Samia tukimtazama kwenye runinga...
  17. Zanzibar-ASP

    Kama kweli Mungu anaangalia moyo tu na sio mavazi, kwanini basi watu wasitembee uchi tu?

    Kumekuwa ni mtizamo tofauti kuhusu mavazi hususani kwa wanawake katika jamii zinazoamini katika Mungu, mahususi kwa waamini wa kikristo. Moja ya mtizamo unaokuwa kwa kasi ni wanawake kutaka kuvaa mitindo yoyote ya mavazi pasipo kuzingatia staha na heshima kwa hoja kuwa Mungu haangalia mavazi...
  18. S

    Wito kwa Serikali: Ikiwa hazina ya nishati ya mafuta ipo basi haraka yachimbwe

    Huko ulimwenguni wameshatabiri kuwa bei ya mafuta itazidi kupaa hadi 2045, kama hamuelewi maana ya mwendo kasi mtaielewa, ile ya kauli ya piga tajame TZ haifai kutumika tena. Serikali kama inavyofukua madini basi sasa wakati umefika wa kuivuta juu hazina ya mafuta, na kwa vile kiwanda cha...
  19. Lexus SUV

    Nauli ya basi la kutoka moshi mpaka mwanza ni kiasi gani

    Habari wakuu , naomba kuuliza...
Back
Top Bottom