basi

  1. JamiiForums Tanzania Napendekeza ‘smart tyre valve cap’, tairi ikipungua upepo basi taa ya ‘alert’ kama ile ya pembe tatu na alama ya mshangao iwake, kumaanisha hatari

    Hakuna sababu kwanini mtu apate ajali au tairi ivimbe au ‘Rim’ ipinde au tairi lichanike au mafutayaende kwa wingi kisa tu presha ya upepo kwenye tairi ilikuwa ndogo. Napendekeza kifungwe kufuniko cha valve ya tairi chenye ‘bluetooth’ ndani yake, ambapo tairi likipungia upepo tu, sensa ndani ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kipupwe hili kinamama vaeni basi skin tight

    Kwa Jiji la DSM sasa hali ya hewa ni ya upepo mkali sasa mama zetu dada zetu ebu mjaribu kubadilika kidogo vaeni nguo za kuwastiri upepo ukija ushauri tu,,,😛😛😛
  3. JamiiForums Tanzania Yanga inakwenda kutufufundisha jinsi ya kushangilia, basi kama la Liverpool lakodishwa afrika kusini, burudani ni next level, haijawahi kutokea

    "Yanga tunakwenda kuwafundisha watu jinsi ya kushangilia UBINGWA" "Tofauti ya Yanga na timu zingine ni kwenye ufanyaji wa shughuli zake, Just imagine kuna watu ubingwa waliubeba kwenye Kenta" "Tumeomba viongozi wa Uwanja wa Sokoine na wa bodi ya ligi kusogeza nyuma muda wa kucheza kutoka saa...
  4. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Basi la shule laua Mwanafunzi muda mfupi baada ya kumshusha

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Dereva wa gari la shule ya Msingi Samuu, Kassim Said Mahona (40) kwa kusababisha kifo cha mwanafunzi wa shule hiyo Godlight Chisawilo (04) kwa kumgonga na gari la shule hiyo Mjini Shinyanga. Habari kutoka eneo la tukio zinasema mwanafunzi huyo...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  6. JamiiForums Tanzania Serikali imeondoa kodi kwenye magari yenye friji. Tuleteeni basi dagaa mchele na pweza fresh huku mikoani

    Nimesikia Serikali kwenye bajeti kuwa kodi imeondolewa/punguzwa kwenye kununua malori yenye friji ndani. Hii ni habari nzuri kwa upatikanaji wa fresh foods. Mtufanyie wepesi basi tupate dagaa mchele na pweza na sisi huku mikoani. Nasi tutafanya mpango mpate ulanzi, sungura, matunda na mnafu fresh.
  7. JamiiForums Tanzania Umewahi kusikia nini kuhusu basi hizi?

    Haya ni mabasi mazuri sana, je umewahi kusikia nini kuhusu basi hizi?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Guangzhou yaanzisha basi linaloonyesha Opera ya Guangdong

    Hafla ya kuanzisha basi No.8 linaloonyesha Opera ya Guangdong ilifanyika tarehe 8 Juni kwenye jumba la makumbusho ya sanaa ya Opera ya Guangdong mjini Guangzhou, China. Kwenye hafla hiyo, basi No.8 lenye historia ya miaka 70 limepambwa upya na kuwa jukwaa linalohamahama la kuonyesha Opera ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa hoja za Babu Tale bungeni, ninakiri kuna ulazima wa marekebisho ya Katiba kwa sifa za mtu kuwa Mbunge

    Ninawasalimu kwa jina la Chama Pendwa CCM. Ninaandika nikiwa nina hasira kali sana dhidi ya mbunge aitwae Babu Tale kutokana na hoja zake zilizokosa weledi huko bungeni wakati akichangia bajeti ya wizara inayohusika na sanaa. Huyu babu kwa kukosa weledi alitaja majina ya wasanii katika hali...
  10. JamiiForums Tanzania Kama tafsiri ya kubaka ni kumwingilia mtu kimapenzi bila ridhaa yake, basi vijana wengi walipaswa wawe mahakamani

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM. Kama tafsiri ya kubaka ni kumwingilia mtu kimapenzi bila ridhaa yake basi watu wengi hasa wanaume wangekuwa mahakamani wakijitetea kwa tuhuma za kubaka. Huu ni ukweli usiopingika. Wanawake wengi karibu wote wameshawahi kuingiliwa kimapenzi bila wao...
  11. JamiiForums Tanzania Bernard Membe kwa kuwa umerudi CCM na kujinasibu wewe una mikono safi basi rejesha bil 46 ulizokwapua kupitia ubalozi wa Libya

    Ripoti za ndani kabisa zinaonyesha kuwa hakuna kampuni yoyote ile iliyopokea mkopo wa bil 46 ili iweze kujenga kiwanda cha saruji huko Lindi. Ripoti za ndani zinaonyesha wewe ukiwa waziri wa nje ulifanya janjajanja na hizo pesa zikakwapuliwa na hata huyu muwekezaji Meis industries hakupata...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada wa usafiri mzuri toka Dar kwenda Njombe

    Natarajia kwenda njombe wana ndugu Basi gani zuri naweza tumia natanguliza shukurani naishi dar es salaam
  13. JamiiForums Tanzania Rasmi: Yanga yampa mkono wa kwaheri Saidi Ntibazonkiza

    Baada ya kusimamishwa kuitumikia Yanga kwa muda kutokana na utovu wa nidhamu, rasmi klabu hiyo imetangaza kuachana na kiungo mshambuliaji Saidi Ntibazonkiza 'Saido' kutokana na mkataba wake kufikia tamati. Yanga imesema kuwa Saido ambaye alisimamishwa wiki iliyopita baada ya kutoka kambini bila...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Vipi vitambulisho vya machinga havina muendelezo? Basi walipe ushuru kwa halmashauri

    Wakuu habari, Kama mnavyojua Rais Magufuli alileta kitu kilichoitwa Vitambulisho vya Machinga mwaka 2019 Vitambulisho hivi ambavyo vililipiwa 20,000 vilipelekea ushuru ambao machinga walikuwa wakilipa kwa Halmashauri kufutwa, na badala yake wangelipa hiyo 20k kila mwaka. Sasa ni miaka 3...
  15. JamiiForums Tanzania Jua tofauti ya Unleaded na Super/Premium Unleaded Petrol

    Nakujuza Ili siku nyingine ukiona hii usitoe macho kama Jamaa wa Masters aliyeapply kazi ya sensa na akakosa, kabla hatujafika mbali unatakiwa kujua unleaded petrol ni petrol isiyokuwa na kiambata [additive] cha lead... . Hiki ni kiambata ambacho kilikuwa kinaongezwa kwenye Petrol ili kuongeza...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge nao walipwe pension kwa kikokotoo cha asilimia 33%. Kama Rais Samia unaona hicho ndio kinachofaa, basi kifae kwa wote!

    Kuna mambo mengine huwa yanakera sana!! Kama Rais Samia anaamini kwa dhati IMANI ya CCM kuwa binadamu wote ni sawa na kuwa kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake, inakuwaje akaona kuwa watumishi wengine wanastahili mafao kwa kikokotoo cha asilimia 33% wakati wabunge...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli basi Injinia Hersi na yanga kutikisa dunia

    Jamani mkiambiwa Yanga sc ni mabingwa wa CAf champions league msimu wa 2022/23 msibishe na klabu bingwa ya dunia lazima wafike fainali kama siyo kuwa team ya kwanza Afrika kuchukua kombe hilo. Habari za ndani ndani zinadai Kiungo mtaalamu wa PSG Idriss Gueye anatua jangwani na amekubali...
  18. JamiiForums Tanzania Manyara: Basi la Mohammed Classic lapata ajali na kusababisha vifo vya watu wanne na majeruhi 26

    Basi kampuni ya Mohammed Classic ya kutoka Arusha-Kigoma imepata ajali Eneo la Gehandu Hanang mkoani Manyara. ============================== Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Benjamin Kuzaga amesema: "Ajali hiyo imetokea imetokea Kijiji cha Ming’enji Wilaya ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kama unachukia watumishi kuongezewa MISHAHARA basi jua tu kuwa wewe ni mchawi

    Habari! Kichwa hapo juu kinajieleza Kuna watu kila mwaka Magufuli alipotangaza kugoma kuongeza MISHAHARA kwa watumishi wa umma wao walufurahia huku wakitoa sababu eti Magufuli analeta maendeleo, mara Magufuli anapambana na kupunguza ongezeko la bei ya vitu . Lakini cha ajabu kila mwaka vitu...
  20. JamiiForums Tanzania Sijui kwanini sipendwi na mademu wakali

    Mi naona kama nina gundu. Sijui kwa nini, sipendwi na mademu wakali. Najaribu sana kutengeneza mazingira ya mimi pia kupendwa lakini wapiiiiiiiiiii nakutana na mademu tu wa kawaida kabisa. Kuna wenzangu unakuta wanapata sana zali la mentali, mimi najiuliza nakosea wapi? Shida nini? Naumia sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…