bati

  1. Tujadiliane Kuhusu Hili Soko lenye paa mbili za bati, soko la Mbuyuni Lililojengwa Moshi Manispaa kwa Dhamani ya Bilioni 2!

    Utangulizi Soko la Mbuyuni, lililojengwa katika Manispaa ya Moshi, limekuwa kivutio cha mjadala mzito miongoni mwa wakazi wa eneo hilo. Kwa dhamani ya bilioni 2, wengi wanajiuliza ni wapi fedha hizo zimeelekezwa, hasa kwa kuzingatia hali ya soko lenyewe. Kila mmoja ana mtazamo wake, lakini...
  2. Mawasiliano ya Kiwanda cha bati Kiboko:

    Wanajamvi habari. Naomba msaada wa mawasiliano ya Afisa masoko wa kiwanda cha mabati cha Kiboko. Lengo langu ni kwenda kununua bati mwezi huu. Thanks in advance 🙏🙏🙏
  3. Nina milioni15 na plan ya kibanda cha 8.5m×8.5m, bedrooms mbili, bati ya cover max, finishing kiwango cha mpambanaji. Hii pesa itanifikisha hatua ipi?

    Karibuni wakuu
  4. Wadau bati gani inafaa kwa nyumba kama sifikii bei ya ALAF?

    Nipo kwenye hatua za kufunik nyumbani hapa Kilimanjaro ila sasa nimekuwa mdogo sana kwenye ujuzi na usahihi wa bati gani itanifaa au ni bora mbali na ALAF. Naomba ushauri kwa wazoefu. Asante
  5. Nafikiria kuanzisha Kiwanda cha Bati, Mashine zake bei gani?

    Helloow mwenye taarifa za garama za kiwanda cha kushape bati anijuze,, nataka nianze kujipanga taratibu ndani ya miaka kazaa nianze uzalishaji asante
  6. Lifespan ya bati za kuezeka majumbani ni miaka mingapi?

    Wakuu kwanza je hizi bati za kizalendo za kuezekea majumbani zina-expire? na kama jibu ni ndio, Je zina-expire baada ya miaka mingapi?
  7. Kwanini watengeneza magari waliacha kutengeneza bodi zenge bati gumu kama zamani

    Miaka ya nyuma gari zilitengenezwa kwa bodi ngumu za material ya bati,hali ambayo gari ikipata ajali linabonyea na kuacha athari kidogo kwa wahanga wa ajali. Tofauti na hivi sasa mtu ananunua gari milioni 500 lakini bodi ni kama aina fulani ya plastiki gumu. Ikitokea ajali gari inakwisha kila...
  8. R

    Je, kuna kiwanda hapa kinatengeneza bati za aina ya "Standing seam" ? Picha.

    Kwa muonekano ni kama Msauzi. Tofauti zinaficha screws / misumari hivyo kuondoka kabisa uwezekano wa kuvuja. Njia mbali mbali za kupaua hizi bati ( Standing Seam ) hizi hapa.
  9. Bati za Alaf

    Soma Maelezo vizuri Tajiri😊 Nimemaliza kupauwa nimebakiza bati 5 nzima Tajiri. Hazina vipengere labda uje navyo wewe Tajiri😊 👉Bati ni Kampuni ya ALAF geji 30. 👉Mgongo mpana(Covermax) zipo 3 na mgongo mdogo zipo 2. 👉 bei ni TZS. 34,000 tu(hamna maongezi) kwa kila moja Tajiri. 👉 Zote jumla ni...
  10. Contemporary Vyumba 3 Ndogo ya TOFALI na BATI Chache Sana & kiwanja Kidogo - Kuanzia Maisha na Kupangisha

    Kijana, kabla ya mwaka Kuisha, songa mbele hatua moja ujenzi Hii ni nyumba moja tuliyoandaa ya vyumba vitatu, compact Fulani kwa mtu anayetaka something classy - vyumba vitatu na open kitchen Ukubwa - 91sqm Urefu - 12.3m Upana - 8.5m Gharama Ujenzi Boma - Msingi, kuta, plasta, Paa = TSh...
  11. Mwaka Usiishie Bila Kuanza Ujenzi Japo Hatua Moja - Vijumba vya Tofali na Bati Chache

    Nimekuletea sample specific za ramani za nyumba za Tofali (~2000) na Bati (~60) Chache Gharama zilizooneshwa hapo ni wastani wa za kujenga Msingi, kuta, plasta na paa (vifaa + ufundi) Zipo vyumba vitatu, viwili na kimoja Hamna nyumba ya vyumba vitatu utakayopata yenye unafuu na standard kama...
  12. Bati Simba Dumu Vs Sunda Best

    Kwa wajuzi wa Bati Kati ya Hizo Bati mbili ipi ni Bora kwa Ubora Tunaitaji kuchukua Moja wapo kati ya Hizo Campuni 2 Kwa ajiri ya Ujenzi, Kuna Ndugu Yangu ameniuliza kuhusu hilo, nimeishindwa kua na Jibu la Moja kwa Moja, Mimi huwa natumia Bati Yote Yote itakayokuambele yengu natazama mfuko...
  13. Kupauka kwa bati. Je, Kuna rangi nikipaka itadumu kwa kitambo kirefu?

    Wakuu bati zangu zimeanza kupauka ndani ya miaka 5 toka nipaue Aina yake ni zile za migongo mipana. Je Kuna rangi nikipaka itadumu kwa kitambo kirefu? Naomba kuwasilisha
  14. U

    Kuvuja kwa kofia za nyumba

    Katika nyumba; 1. Nini kinasababisha kofia za kushuka na zile za kulala kuvuja? 2. Nini suluhisho lake? Kwakweli ukipiga bodi halafu nyumba ikawa inavuja inakera sana.
  15. Wahenga mnakumbuka hivyo vitu vya enzi zile,dondosha komenti kipi umekitumia kati ya hivyo hapo.

    Wahenga mnakumbuka hivyo vitu vya enzi zile,dondosha komenti kipi umekitumia kati ya hivyo hapo.
  16. Ndoo zilizotulea Ndoo bati kopo la bati🤣🤣🤣

    Ndoo zilizotulea Ndoo bati kopo la bati🤣🤣🤣
  17. Bati zuri la kupaulia kwa sasa ni lipi?

    Bati zuri la kupaulia kwa sasa ni lipi? Je ni kampuni gani ya mabati ambayo hayapauki haraka, niliambiwa ALAF na ANDO sasa sijui ni ipi niondoke nayo? Yamkini wewe uajua kampuni nzuri pia nitapokea ushauri, nataka ati zuri kwajili ya nyuma nzuri. Tupo Arusha
  18. Bei za bati na bati imara ni zipi kutoka kampuni gani?

    Hatarini za majukumu wana JAMIIFORUMS nimeandika uzi huu kuulizia au kujua bati imara na nikampunigani ya kuzalisha bati hapa nchini ina toa bati imara na inayodumu kwa muda mrefu bila kupauka. Kumekuwepo utitiri wa viwanda vingi, hofu ni kwamba uzalishaji wake katika bidhaa zao ni wa mashaka...
  19. Cement, mbao na bati kimojawapo kishushwe bei

    Aisee ingependeza sana sana kama material mojawapo ingepunguzwa bei mno yaani hata kama ni Serikali kutia hela sekta binafsi kimojawapo kipunguzwe hata zaidi na zaidi. MIFUMO yote fasta inge change biashara zingeanzishwa na shughuli za uchumi. Vitu vyote ni muhimu katika ujenzi ila sasa bei sio...
  20. K

    Kwanini wafanyabiashara wa kupima mkaa karibu wote vipimo vyao vya makopo ya bati yamekandamizwa katikati?

    Mimi ni mmoja wa wanaonunua mkaa kwa kupimiwa lkn kila nitakapoenda nakuta makopo yao yamekandamizwa katikati ni kwanini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…