Habari wadau,
Najua Kuna mada nyingi kuhusu bati ila hebu tushauriane hapa.
Kwasasa naelekea Hatua ya upauaji ila nimejikuta napata shida niangukie wapi
BATI ZA RANGI
Wengi wanashauri ALAF, SAWA ila bei yake iko juu sana 39 (bati ya kawaida ya rangi) na pia nimekutana na wadau wanasema...