Sisi Kama taifa ni sehemu ya mkataba wa Montevideo on the rights and duties of statehood. Ndio maana hata Zanzibar kama sehemu ya JMT haina balozi UN au haiwezi kuingia mikataba na nchi zingine.
Dubai sio state, je ina mamlaka ya kuingia mikataba na nchi zingine? Jibu ni hapana. Maana sio...
Mkataba Kati ya serikali ya Tanzania na Dubai ni batili kwenye sheria za kimataifa. Maana ya kwamba Dubai sio sovereign state Kama jamhuri ya muungano wa Tanzania, hivyo haiwezi kuingia mikataba ya kimataifa.
Mikataba ya kimataifa inaingiwa na Falme ya Kiarabu inayotambulika kwenye sheria za...
Mwaka 2018, Somalia ilipiga marufuku kampuni ya bandari ya Dubai DP World kufanya kazi nchini Somalia, ikisema kuwa mkataba ambao kampuni hiyo ilitia saini mwaka 2017 na eneo lililojitenga la Somaliland ili kuendeleza eneo la kiuchumi ni batili na hautekelezeki
Bila kueleza kwa undani, Bunge la...
Kabla ya hicho kinachoitwa maridhiano hakuwahi kuwepo kwa hitaji hilo toka kwa wananchi.
Kama mwana ccm na mwananchi sikuwahi kusikia popote pale wananchi au wanachama wa ccm wakishinikiza kuwepo kwa maridhiano hayo.
Ni ajabu sana kwa viongozi wa CCM na Chadema kusimama na kusema kwamba kuna...
Wanabodi hi ni Makala ya Nipashe ya Jumapili ya Leo, 29 January 2023
Kwa Maslahi ya Taifa, bado inajikita kwenye Katiba yetu,
Katiba ndio sheria mama, sheria nyingine yoyote yoyote inayokwenda kinyume na katiba, sheria hiyo ni batili!
Serikali yetu kupitia wanasheria wetu manguli, wabobezi na...
Ni Batili mawakili wa TZ kujiita mawakili wasomi bali Ni halali kuitwa mawakili vilaza, Ila Ni haki waleta kesi kuitwa wasomi na wenye maarifa kuwazidi wao,soma hapa.
Bila Shaka ndugu zangu wadau nyote mu wazima wa afya ,nakuombeni mrejee
kichwa Cha habari Apo juu ni ubatili mkubwa,Kwa kweli...
Mnakumbuka story ya Raia Mwema
- Lyatonga Mrema adaiwa kupora mke wa mtu
Kumbe anayejiita Mjane wa Mrema ni Mafia wa mjini na anatumia majina fake kutapeli watu.
Doreen aliolewa April 2012, ndoaya kikatiki na Bwana Fredrick Mushi (mchaga wa kibosho) ambaye yupo hai na inasemekana walipata...
Hii ni hatari kwa walalahoi na wavuja jasho.
👇
Wasomi wa masuala ya kodi, wamesema kuwa Sheria ya Tozo ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2022, haikufanyiwa tathmini ya athari zake kwenye uchumi kuanzia kwa watu wa chini, hivyo inakwenda kinyume na misingi inayokubalika duniani na haipaswi...
Mahakama ya Juu imebatilisha uamuzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) wa uandikishaji wa Wapiga kura kwa Kielektroniki pekee katika uchaguzi wa Agosti 9, na kusema kuwa sababu zilizotolewa na tume hiyo hazitoshi
Tume hiyo ilisema kuwa Usajili wa Wapiga kura kwa Makaratasi unaweza...
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania iliyo na vikao Dar es Salaam, kesho tarehe 11.07.2022 itatoa hukumu juu ya uhalali au ubatili wa wosia ulioachwa na marehemu Dk. Mengi. Hukumu hiyo katika rufaa ya madai namba 332/01/2021 iliyofunguliwa na mjane wa Dk. Mengi, Jackline Mengi itasomwa na majaji watatu...
Ripoti ya CAG inasema kwamba mkandarasi wa Mradi wa umeme wa Nyerere anaidai Serikali mabilioni kama fidia ikiwa ni kutokana na kukosekana kwa umeme wa uhakika kumwezesha kutekeleza majukumu yake kimkataba.
Binafsi naona deni hilo ni batili kwani kimantiki. (Logically) hatupaswi kumlipa fidia...
Wakuu Habari ya Wakati.
Katika Kesi ya Hamis Jongo&41 other vs. AG na TRA Jaji Wa Mahakama Kuu (Mgonya J Anazungumzia na Muislam Kushuudia (Affirmation) na Mkiristo Kuapa(oath)
Jaji kwenye maamuzi yake alisema Kwamba Kwenye Kiapo Chochote Kile Muislam Hapashwi Kusema Naapa (oath) Ila atasema...
Wanabodi,
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama kawaida yangu, kila nipatapo nafasi, huwa natoa makala elimishi za kisiasa, kiuchumi na kijamii ziitwazo "Kwa Maslahi ya Taifa" kwa lengo la uzalendo kwa nchi yangu, kuisaidia nchi yetu, serikali yetu, viongozi wetu na...
Leo nimesikiliza Mwanasheria mmoja kupitia UTV ameeleza kuwa kwa mujibu wa Katiba Spika akitaka kuachia madaraka anapaswa kulitaarifu Bunge na si Chama kama alivyofanya. Je Bunge litakuwa na uhalali wa kufanyia kazi barua yake kama asipoandika barua kwa Katibu wa bunge?
Wanabodi,
Huu ni uzi elimishi kuhusu aina tatu za kuomba msamaha, kama zilivyo aina tatu za ndoa.
Lengo la kutoa elimu hii ni kulinda heshima ya fani ya watu ambayo imetakwa kudhalilishwa kwa kusingiziwa kuwa ile video imefanyiwa maujanja kwa kuchakachuliwa ili kumchafua mtu, kitu ambacho sii...
Wananchi wilayani Nachingwea mkoani Lindi waliouziwa ardhi katika vijiji mbalimbali kuanzia mwezi Juni 2020 mpaka Disemba 2021 wametakiwa kurudisha Ardhi hiyo kwani mauziano hayo ni batili.
Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya hiyo Hashim Komba alipokuwa akizungumza katika mkutano maalumu wa...
Mahakama yabatilisha umiliki wa PAP, wakati ikisemekana PAP ndiye mmilikia wa IPTL na kufikia PAP kuiwekea dhamana mitambo yake sasa Mahakama imebatilisha umiliki uo.
Je, IPTL ni ya nani?
======
MAHAKAMA ya Rufaa imerudisha kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) chini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.