battery

  1. S

    Nahitaji Battery used ya Toshiba satellite

    Habari wakuu Nahitaji battery used ya Toshiba satellite ,aliyenayo atume Bei yake na picha (Kwa Dar es salaam tu) WhatsApp +255765696086 Models PA5024U-1BRS,PA5025-1BRS au PABAS260
  2. Spartacus boy

    Chaji simu yako ikifika 40% ili isipate shida ya battery

    Heri ya noeli na mwaka mpya. Wote tunajua umuhimu wa kuwepo hewani kimawasiliano. Either kikawaida au kwa kua 'access' mtandao. Muda wa mtu Kuwepo hewani kwa asilimia kubwa kunakuwa determined na uwezo battery ya simu yako. Ndio maana zama zile wakati simu ndio zinaingia kigezo kikubwa wakati...
  3. Z

    Hivi battery ya N40 unaweza washa gari inayotumia N70?

    Naombeni kuuliza mafundi eti BETRI ya gari mdogo mfano RAV4 unaweza kuwasha gari Kama Hilux inayotumia BETRI ya N70?
  4. Mwenda_Pole

    Msaada: Taa ya Battery kuwaka kwenye dashboard ya gari

    Msaada kwenye tuta, Gari Toyota Harrier, Taa ya Battery inawaka kwenye dashboard ( charging system warning light) hii kitu inasababishwa na nini? Pia namba ya kurekebisha. Gari inawaka bila shida na battery ina miezi miwili Tu bado mpya. Nimesha ichomoa kurudishia lakini wapi
  5. Sky Eclat

    Kibonzo cha Kipanya; baada ya pesa kukosekana mtaani watu wameanza batter

    TRA mtasubiri sana tumeamua mwendo wa mali kwa mali.
  6. sky soldier

    JE NTAWEZA KUTUMIA BATTERY CHINI YA 6 KWENYE HOLDER YA BATTERY 6

    Habarini wadau. kuna sehem haina umeme na inalazimu kutumia torch kwa ajili ya mwanga, sasa hii tochi ina battery moja na kila siku inabidi uweke battery mpya. hapo kwa mwezi ni kama elf 15. hio sehem nikawafundisha kuunganisha battery 2 kila zikiisha, nazo zikiisha zinaunganishwa 4...
  7. Dam55

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

    Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020. Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake...
  8. JituMirabaMinne

    Taa yoyote nyekundu kwenye dashboard ya gari yako siyo ya kuipuuza

    Asilimia kubwa ya magari huwa yanakuwa na warning lights(taa za tahadhari) za aina tatu. Aina hizi nitazitofautisha kulingana na rangi za hizo warning lights. Aina hizo ni kama ifuatavyo. 1. Kijani/Blue 2. Njano/Rangi ya machungwa 3. Nyekundu Namba moja ipo tu kwa ajili ya kukupa taarifa...
  9. JituMirabaMinne

    Mambo haya yanaweza kuharibu battery ya gari yako. Ni vema kuyaepuka

    Vitu vifuatavyo vinaweza kuharibu battery ya gari yako. 1. Kuweka battery yenye low capacity ukilinganisha na battery ambayo imekuwa recommended kwenye Specifications za manufacturer Baadhi ya watu anaweza kuweka battery ambayo ni ya low capacity ukilinganisha na battery iliyokuwa recommended...
  10. S

    Betri ya gari yenye waranti ya mwaka mmoja imekufa baada ya miezi 10 wanakataa kunibadilishia

    Kama kichwa kilivyo, Nilinunua battery ya gari March 2019, leo imekufa narurisha dukani , wanagoma kunibadilishia wakidai ilitakiwa ninunue battery kubwa zaidi kwa ajili ya hiyo gari yangu, na tulibadilisha na kuweza saizi ile ile iliokuja na gari, na ndio saizi yake halisi. Ni wapi...
  11. Makanyaga

    Wapi wanauza Battery Mpya za Laptop hapa Dar?

    Naomba tafadhali kama kuna mtu humu jukwaani anayejua sehemu ambayo wanauza Battery Mpya za Laptop hapa Dar, anijuze. Mubarikiwe na Bwana
  12. E

    Msaada betri ya simu, aina: Freetel Priori 4

    Msaada.. Natafuta betri ya simu, aina ya simu: Freetel Priori 4
Back
Top Bottom