bawacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Mwenyekiti BAWACHA Sharifa: CHADEMA ni chama chenye viongozi makini wanaojitambua wenye uwezo mkubwa wa kiakili

    “Nipende kumwambia Chatanda, CHADEMA ni chama chenye viongozi makini wanaojitambua wenye uwezo mkubwa wa kiakili na ubora unaojulikana ndani na njee ya mipaka ya Taifa hili.” Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
  2. MamaSamia2025

    Kama ni kweli gari la wanawake BAWACHA limepigwa mawe wahusika wakamatwe

    Nimesikitishwa mno na habari niliyosoma kwenye ukurasa rasmi wa Askofu wa CHADEMA ndugu Emanuel Mwamakula kuhusu basi la wanawake wa CHADEMA mkoa wa Mwanza waliokuwa wakitoka Dar kupigwa mawe huko Singida. Hiki ni kitendo kiovu kinachopaswa kulaaniwa. Vijana wanaotuhumiwa kufanya hivyo wakamatwe...
  3. The Watchman

    Video: Shangwe la BAWACHA wakimpokea Lissu maadhimisho siku ya wanawake Mlimani City

    Hivi ndivyo Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu alivyoingia na kupokelewa kwa shangwe Mlimani City kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ndiye Mgeni Rasmi wa tukio hili.
  4. F

    Nini kimewapata BAWACHA?

    Mbona BAWACHA wako kimya sana? Tarehe 8 ni siku ya wanawake duniani lakini hatuoni kitu kwenye social media account zao. Hii sio kawaida yao. Amandla...
  5. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 BAWACHA yaonya wanachamana wake Makete kunyanyaswa

    Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) Taifa Sigrada Mligo akiwa kwenye mkutano wa hadhara eneo la soko kuu Makete mjini ameonya wanaowanyanyasa wanachama wa CHADEMA wilayani Makete kuacha tabia hiyo kwa kuwa kila chama kipo kwa mujibu wa sheria.
  6. Mindyou

    BAWACHA wamachagua Tundu Lissu kuwa mgeni rasmi kwenye siku ya wanawake duniani itakayofanyika Mlimani City

    Wakuu, Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Tundu Lissu, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayoandaliwa na Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) tarehe 8 Machi jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Februari 23, 2024, Mwenyekiti wa...
  7. Judi wa Kishua

    Pre GE2025 Ni kweli Lissu anataka kumng'oa mwenyekiti wa BAWACHA Taifa?

    Anaandika Ngurumo kwenye X. Nimepigiwa simu na BAWACHA waliomtembelea Mwenyekiti Tundu Lissu jana. Ujumbe: "Tulienda kwa upendo, lakini tumeondoka na hisia za visasi. Uongozi mpya haumtaki Sharifa, eti hafai. Tayari njama za kumng'oa zimeanza. Soon, wataanza kampeni hiyo mikoani. Hii si haki!"...
  8. mwanamwana

    BAWACHA yatoa onyo dhidi ya kauli ya RC Chalamila kuhusu wajawazito

    Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) taifa limeeleza masikitiko yake makubwa juu ya kauli iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, aliyesema kuwa, “Wajawazito wasiotaka kununua glavu wakajifungulie nyumbani.” Kauli hiyo iliyotolewa wakati wa mkutano na wananchi wa Temeke...
  9. JanguKamaJangu

    Pamela Maasay ashinda Ukatibu Mkuu BAWACHA, amwaga Catherine Ruge

    Pamela Maasay Pamela Maasay amechaguliwa kuwa Katibu wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) akimbwaga Catherine Ruge aliyeshindwa kutetea nafasi hiyo. Pamela ameibuka kidedea kwa kura 37 sawa na asilimia 54 katika kinyanganyiro hicho huku Catherine akipata kura 34 sawa na asilimia 40 na...
  10. G Sam

    Catherine Ruge apigwa chini BAWACHA

    Catherine Ruge ambaye alikuwa anawania ukatibu mkuu wa BAWACHA Taifa amepigwa chini na Pamela Maassay. Ruge alikuwa anamuunga mkono Mwamba. Uchaguzi umekamilika kwa nafasi zote za BAWACHA ambapo Team TALL Wajumbe 17 Team FAM wajumbe 16 Jumla 33 Huku Bavicha Team FAM Ikiibuka hohe hahe kwa...
  11. Tlaatlaah

    Uchaguzi wa Chadema kwa viongozi wa kitaifa hautakua na amani, utagubikwa na vurugu na rushwa zaidi ya ule wa Bavicha na Bawacha, utahairishwa.

    Kwa hali ya uhasama ilipofikia baina ya wagombea wenyewe, lakini pia hali ya uhasama na uadui wa kweli kabisaa baina ya wafuasi wa wagombea uenyekiti wa Chadema Taifa. Posho na malipo ya kujikimu kwa wajumbe inaweza kua chanzo cha fujo kwenye uchaguzi huo. Ni dhahiri, ustahimilivu umefikia...
  12. Msanii

    Nani aliwaleta polisi katika uchaguzi wa BAWACHA

    Miaka yote tumwona na kusikia CHADEMA ikipiga kelele dhidi ya serikali kutumia polisi kwenye chaguzi mbalimbali za Taifa letu. Fafanuzi mbalimbali kutoka kwa viongozi waandamizi wa CHADEMA namna chaguzi za kitaifa zinavyovurugwa na jeshi hili lililojaa makamanda wasio na utu yaani wajaa laana...
  13. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Uchaguzi wa BAWACHA nafasi ya Mwenyekiti kurudiwa baada ya wagombea wote kushindwa kufikia asilimia 50 ya kura zilizopigwa

    Uchaguzi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) kwa nafasi ya Mwenyekiti unatarajiwa kurudiwa baada ya wagombea wote kushindwa kufikia asilimia 50 ya kura zilizopigwa. Kulingana na kanuni za uchaguzi wa chama hicho, wagombea wawili wa juu watachuana tena katika duru ya pili ili kumpata...
  14. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Vurugu zaibuka tena usiku huu Uchaguzi wa BAWACHA. Rushwa yatajwa

    Mambo yamezidi kuchangamka! Ni mwendo wa kupigana ngumi tu, yani hadi sasa hile ni tukio la tatu au la nne la vurugu kutoka katika uchaguzi wa BAWACHA ========== Wakati uchaguzi wa baraza la wanawake CHADEMA ukielekea ukingoni kutangazwa kwa matokea vurugu nje ya ukumbi huo zimeubuka baada ya...
  15. G Sam

    Timu ya Tundu Lissu yaelekea kushinda uchaguzi mkuu BAWACHA

    Wajumbe wa mkutano mkuu timu ya Tundu Lissu imetoa watatu (3) kati ya wajumbe watano (5) Uchaguzi wa makamu mwenyekiti BAWACHA Taifa unaenda duru ya pili baada ya duru ya kwanza kukosa mshindi. Team Tundu Lissu alikuwa anaongoza. Uchaguzi wa mwenyekiti wa BAWACHA Taifa bado box...
  16. Waufukweni

    Vurugu zazuka tena uchaguzi BAWACHA, Polisi waingilia kati na watu kadhaa wakamatwa

    Wakuu Muktadha: Wakati mchakato wa kuhesabu kura kuwapata viongozi wapya wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) ukiendelea, baadhi ya wanaodaiwa kuwa makada wa chama hicho wanashikiliwa na polisi kwa madai ya kuanzisha vurugu. Tukio hilo limetokea leo Ijumaa, Januari 17, 2025 wakati kura...
  17. F

    Nimefurahishwa sana na Uchaguzi wa BAWACHA Taifa

    Nimefurahishwa sana na uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bawacha. Kwa kweli unaonyesha ukomavu wa Baraza hilo maana wagombea wote wanastahili hiyo nafasi. Baada ya uchafuzi unaoendelea katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema hawa wakina mama wanaleta matumaini. Amandla...
  18. Waufukweni

    Vurugu zazuka nje ya ukumbi wa uchaguzi Bawacha, Wafuasi wa Lissu na Mbowe wazichapa

    Wakuu Katika hali isiyokuwa ya kawaida, ugomvi wa ngumi umezuka nje ya Ukumbi wa Ubungo Plaza unapofanyika mkutano wa uchaguzi wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha). Ugomvi huo ulikuwa kati ya wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu dhidi ya wafuasi wa...
  19. Waufukweni

    VIDEO: Mbowe, Lissu wasalimiana kibabe BAWACHA, huku wakicheza kwa bashasha wimbo wa "Tuvushe Mbowe Tuvusheee"

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu wakisalimiana katika mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) unaofanyika leo Alhamisi Januari 16, 2025 katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Wote wawili wanamchuano mkali...
  20. Waufukweni

    Wajumbe mkutano wa Bawacha walia na posho

    Muda mchache kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) wajumbe wa mkutano huo wamepaza sauti ya kuhitaji posho zao kabla ya mchakato huo. Hali hiyo inajiri muda mchache baada ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuwasili kwenye...
Back
Top Bottom