https://www.youtube.com/live/z2jNbADMJ_A?si=47oGOnBf4YbVgAA_
BAWACHA wanafanya Uchaguzi wao wa kuwachagua Viongozi wao wa Baraza kwa mwaka 2024-2029.
Usiondoke Jf kwa habari motomoto
Tazama kundi la baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) wakimuunga mkono Mgombea wa Uenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu hadharani, wasema "Mabadiliko lazima" wakiwa kwenye uchaguzi wa kupata viongozi wao.
Pia, Soma:
Tundu Lissu: BAWACHA kama...
Mgeni rasmi kwenye Uchaguzi wa Bawacha anategemewa Kuwa Mbowe na hii ilipangwa Kwa umakini ukizingatia Bawacha ni Jeshi kubwa
Jana Tundu Lisu kamuwahi Mwenyekiti wake Kwa hotuba yake mitandaoni ya kuwataka wamchague mama Simba
Chadema ina wasomi wa vipaji aisee 😂😂😂
Happy New Year 🌹
Anaandika Godbless Lemma
Hiki ndicho achoandika Nabii wa Mungu Godbless Lemma katika ukurasa wake wa X.
"Nawatikia BAWACHA Uchaguzi Mwema na pia nakutakia kila la heri Dada Celestine Simba. Nitafurahi nikisikia umeshinda kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA."
Soma Pia:
Tundu...
Kama Kuna kitu BAWACHA wamepata na wanapashwa kujivunia basi ni huyu Mama,
Kwa ujasiri alionao huyu mama ni kama Simba Kweli Kweli hakika ni Mama anayestahili kufanya kazi na jasiri TUNDU LISSU.
BAWACHA MUNGU AWAONGOZE VEMA
Taarifa kutoka kwenye Chama hicho inaeleza kwamba, Ajenda kuu ya kikao hicho ni Usaili wa Wagombea wa Mabaraza ya Chama hicho, BAZECHA, BAVICHA na BAWACHA
Usiondoke JF ili ufahamu Wagombea watakaopenya kwenye Mchujo huo kabambe mithili ya Kupita kwenye Tundu la Sindano
Mwana mama jasiri asiyeogopa, Pamela Massay leo akichukua fomu ya kugombea nafasi ya katibu mkuu Bawacha taifa.
Amekemea rushwa adharani na ameapa kukomesha rushwa inayofukuta Bawacha.
Watu wamemsifu kwa ujasiri wake kwa kuwa Chadema ya sasa ukikemea rushwa wazi wazi unaitwa msaliti na...
https://youtu.be/u5W0p435GHQ?si=mYGJkq3wwCv0b3lZ
====
Katibu Mkuu wa BAWACHA Taifa anayemaliza muda wake Mhe CPA Catherine Ruge ametangaza kutetea kiti chake kwa kipindi cha pili cha miaka mitano baada ya kujenga BAWACHA ya kisasa nadhani hili sote tutakubaliana nae naomba kwa...
Moderators spare this clip
Lisu ni kigeugeu.
Hafai kuwa kiongozi.
Akili zake zimekwenda tenge kidogo amesahau clip hii! akili haiko sawa
Msikilize please maana amewananga wenzake kuhusu Maridhiano, kuhusu Samia kukaribishwa na Bawacha etc etc as if he ws not a party to the ordeal
Lisu...
Wakuu,
Lissu anazidi kumwaga mchele! Anasema kwenye mkutano ule BAWACHA hawakumualika Rais Samia kama mgeni rasmi bali aliakiwa na Mbowe! Baada ya kuwa kamualika ndio alikuja kuwajulisha wengine kuwa amemualika Samia kama mgeni rasmi.
Lissu anasema kwenye hili pia waliamua kukaa kimya na...
Wakuu,
Viongozi mbalimbali wa CHADEMA wameendelea kutoa matamko yao wakati wakiwa wanaelekea kwenye Uchaguzi
Haya ni maneno ya Rose Moshi, Mwenyekiti BAWACHA Kanda ya Pwani
"Sioni sababu za kumbadilisha na kumuondoa tunatakiwa kumuombea ili aendelee na moyo huo huo wa ujasiri mpaka hapo...
Wakuu,
Inaonekana BAWACHA wametimiza rasmi ahadi yao ya kumlipia Mbowe fomu ya Uenyekiti
Soma pia: BAWACHA Pwani kutoa Tsh. Milioni 1.5 kumchangia fomu ya uenyekiti Mbowe
Kundi la wanawake wanaomuunga Mkono Freeman Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa Chadema kwa kipindi kingine cha miaka...
Mambo yanazidi kunoga huko jamani.
BAWACHA Pwani wamesema watatoa Tsh. Milionin1.5 kumchangia Mbowe achukue fomu ya kugombea uenyekiti CHADEMA sababu wanaamini kwenye uwezo wake.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi
Mbowe...
Wakuu,
Mambo yanazidi kunoga wakati tunaelekea 2025.
===
Siku moja tangu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu atangaze nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa katika mchakato wa ndani wa uchaguzi unaoendelea leo, Ijumaa...
Saa 24 baada ya Tundu Antipas Lisu kutangaza kuvunja Utawala wa kidikteta ndani ya Chadema kwa kutia Nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti dhidi ya Freeman Mbowe aka Mugabe, Bavicha na Bawacha hawajatoa kauli yoyote ya kumpinga
Hii ni hatua kubwa sana kuelekea mabadiliko ya kweli
Zitto Kabwe...
Wakuu,
Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limelaani vikali hatua ya kuenguliwa kwa wagombea wa CHADEMA katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vijiji unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu.
Kaimu Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa, Sharifa Suleiman, alitoa kauli...
Kumekuwepo na taarifa ikieleza kuwa Katibu mwenezi wa BAWACHA taifa aliyetekwa huko kibiti kkuwa sababu ya kuofanyiwa hivyo ni kutokana na kutembea na wanaume wa watu, Je ni kweli?
Wadadisi wengi wa masuala ya kiimani wanaelezea namna ambavyo HATIMA ya kila safari ya maisha kwa kiumbe binadamu. Maandiko Matakatifu yanaelekeza kuwa moto ni hitimisho pia adhabu kwa kila anayekiuka kwa makusudi au bahati mbaya maagizo ya Mola.
Hapa duniani tunaelewa namna moto unavyoteketeza...
Ndugu zangu Watanzania,
Mpaka sasa haieleweki ni nani alishauri ,kuwashauri na kuwapa mawazo ya kishetani BAWACHA kuchoma vitenge hadharani.kitendo walichofanya BAWACHA na kuungwa mkono na chama kizima pasipo kukemewa wala kuonywa na kujitenga na kitendo kile cha kishetani ni laana kubwa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.