Awali kulikuwa na taarifa za mateka wa Kitanzania kwa muda mrefu vikafanyika vikao vya dharura vya SADC ikawa bila bila.
Juzi rais wa Burundi anasema anapigana pia kusaidia ndugu zake wa Tanzania huku BBC idhaa ya kiswahili iliripoti kuwa idadi ya askari wa liouawa na M23 ni kutoka Afrika...
Maghala ya kuhifadhia risasi na viwanda vya kemikali vilishambuliwa katika mikoa kadhaa, baadhi yao ikiwa mamia ya kilomita kutoka mpakani, kulingana na Mkuu wa Wafanyakazi wa Kikosi cha Wanajeshi cha Ukraine.
Vyanzo vya shirika la ujasusi la Ukraine SBU viliiambia BBC kwamba shambulio hilo la...
Habari wakuu!?
Kwa wale wanaowafahamu wazungu hasa shirika la BBC, hawa jamaa huwa wakipata taarifa ndogo huwa wanakaaa ofisini kwa wiki kadhaa au hata mwezi ama miezi kufanya uchunguzi kisha baada ya hapo wanaanza kufumua mengi zaidi ambayo yamejificha.
Kule Kenya wao ndio walichimba zaidi...
Huu ndio ushauri wangu kwani naamini kupitia mahojiano ya aina hiyo, Kabendera ataweza kufunguka zaidi na maelezo yake yatasaidia watu kupata picha halisi juu ya tuhuma hizi.
Sitegemei ataweka hadharani kila kitu kwasababu inaweza kusababisha ushahidi ukaharibika /kuharibiwa hasa ikiwa...
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nakumbuka enzi hizo nikiwa mdogo miaka ya 2000+ nilikuwa napenda sana kusikiliza BBC yaani nilikuwa sipitwi. Moja kati ya habari nazozikumbuka ni watu kuvaa mabomu kujitoa muhanga sijui sokoni, kwenye kituo cha basi n.k .
Nakumbuka hizo habari zilikuwa...
Leo jioni katika matangazo yao, wamerusha kipindi kinachozungumzia matukio muhimu ya 2024 hapa Tanzania. Katika matukio ya kisiasa wamekwepa kabisa
kuzungumzia kilichtokea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa! Hivi kweli unaweza kuzungumzia hali ya kisiasa Tanganyika 2024 bila kugusia hilo...
Takriban wanajeshi 100 wa Korea Kaskazini wameuawa katika mapigano katika vita vya Ukraine tangu waingie kwenye mapigano upande wa Urusi mapema mwezi huu, mbunge wa Korea Kusini amesema.
Lee Sung-kwon, akizungumza na waandishi wa habari baada ya bunge kupewa taarifa na Idara ya Kitaifa ya...
Wakati Kiongozi wa kiroho wa katoliki akielekeza uzinduzi wa kanisa la Notre Dame akiwa Rome, kiongozi wa dini nyingine anaelekeza wafuasi wake wapigane vita syria akiwa Tehrani.
Hivi kiongozi wa kiroho anawezaje kutoa maelekezo kwa wafuasi wake hezbollah na hamas wapigane vita Syria dhidi ya...
Mahakama ya Ubelgiji imeiamuru serikali ya nchi hiyo kuwalipa fidia wanawake watano waliochukuliwa kwa lazima kutoka katika familia zao katika enzi ya ukoloni wa Ubelgiji nchini DR Congo.
Wanawake hao, ambao sasa wana umri wa miaka 70, walichukuliwa kutoka kwa mama zao walipokuwa watoto wadogo...
Mwanamke wa karne ya 19 huko Yuropa ametajwa kuwa mwanamke mwenye sura 'mbaya zaidi' duniani.
Jina lake ni Julia Pastrana. Uso mzima wa Julia ulikuwa umefunikwa na nywele kwa sababu ya ugonjwa adimu wa maumbile.
Alikuwa akifanya kazi kama mwanasarakasi.
Julia alikufa mwaka wa 1860. Baadaye...
Ni mwendo wa kula uliwe
Urusi inakadiriwa kuipatia Korea Kaskazini zaidi ya mapipa milioni moja ya mafuta tangu Machi mwaka huu, kulingana na uchambuzi wa picha za satelaiti kutoka kwa Open Source Centre, kikundi cha utafiti kisicho cha faida chenye makao yake makuu nchini Uingereza.
Mafuta...
Kwenu wadau njaa mbaya:
Gazeti la Korea Kusini la Korea Herald linaripoti, likimnukuu balozi wa zamani wa Korea Kusini nchini Urusi, kwamba badala ya usambazaji wa risasi na kutuma wanajeshi kushiriki katika vita vya Urusi na Ukraine, viongozi wa DPRK watapokea kutoka Moscow takribani tani...
Ama kweli hali ni ngumu duniani kote. Si tu kwa nchi yetu Tanzania, hata dunia kwa ujumla
Shida sio faini waliotandikwa google, tatizo limeanzia kwenye Pato la Taifa la Dunia
Wakuu,
IDF wametoa a brand new video inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho kabla hajafariki, ni video ambayo inaibua maswali mengi sana ukiitazama kwa umakini.
Kwenye video hii, Sinwar anaonekana akiwa ameumia mkono na anajificha ficha kwenye makochi na huko mwishoni...
Tanzania tunachukulia vitu poa sana.
Weka VPN ingia BBC iPlayer angalia kipindi kinaitwa ‘war games’ uone jinsi usalama wa taifa wa marekani walivyoogopa hii scenario na kutaka kujifunza hii situation isitokee tena kwa siasa za demagogue na wapotoshaji.
Sasa endeleeni kuwachekea...
Hizo propaganda zenu baada ya kushindwa Urusi mumehamia Mashariki ya kati? Ukifungua page ya website ya bbc swahili kila kukicha Isreal hivi hivi huku ikishindwa kuandika kabisa mafanikio ya Palestina.
Licha majeshi ya Isreal kupigwa na kurudishwa nyumbani kwao ktk majeneneza lkn wamekuwa...
Wakati joto la uchaguzi likiendelea kufukuta Tanzania, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amedokeza kuwa kutokana na hali ya kisiasa ilivyo nchini kuna kila dalili kuwa uchaguzi ujao hautakuwa wa huru na wa haki.
Akiongea na BBC Swahili, Lissu ametanabaisha kuwa uchaguzi wa 2020 haukuwa...
Nasikiliza sasa BBC Dira ya Dunia na nimekusikia katika Teaser yao ukisema kwa Kujiamini kabisa na ukiwa huna haya (aibu) ukisema hali ya Usalama kwa sasa nchini Tanzania ni Shwari na ukiwapongeza Maaskari Polisi wako.
Hovyo kabisa Wewe na Umetuaibisha sana wana Mkoa wa Mara (Musoma) wote kwa...
Ili nisiwachoshe, naona nibora niwawekee screenshots za cover page na page nyingine mbili ambazo zinafichua
1. BBC ktk taarifa zao waliepuka kutaja kuwa kati ya waliouawa walikuwepo askari wa Hamas
2. BBC waliepuka kutaja kuwa Hamas ina wapiganaji miongoni mwao ambao ni vijana wenye umri...
Juzi juzi hapa mara baada ya jeshi la Ukraine kuivamia Russia hakika habari motomoto za jeshi la Ukraine kusonga mbele zilikuwa zikiandikwa kwa mbwembwe na karibu vyombo vyote vya habari vya Ulaya.
Lakini kwa ukimya huo lazima Ukraine atakuwa anachezea kichapo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.