ZUHRA YUNUS, BBC, NA MAGOMENI MAPIPA
Ilikuwa Zuhra Yunus anaondoka BBC sasa ishakuwa Zuhra kaondoka.
Labda nianze kwa kusema kuwa nina ''sentiments,'' mapenzi na BBC Idhaa ya Kiswahili toka udogoni katika miaka ya 1960 na hadi leo naweza nikakuimbia ''signature tune,'' iliyokuwa inafungua...